Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,158
- 28,332
Kwa waliotimia vichwani tu,je waweza dadavua msemo huu wa Jaji mstaafu kwa kina na mapana yake?
#Maji ni marefu kwa kesi hii..
#Kwa wale wanaosema hakuna kesi pale eti ni uonevu tu wajitafakari!...
#Binafsi naomba pia hekima na busara itumike tu!,lakini awe chini ya uangalizi kwa miaka 5.
#Maji ni marefu kwa kesi hii..
#Kwa wale wanaosema hakuna kesi pale eti ni uonevu tu wajitafakari!...
#Binafsi naomba pia hekima na busara itumike tu!,lakini awe chini ya uangalizi kwa miaka 5.