"Mungu hakosei " nashindwa kuuelewa huu msemo

"Mungu hakosei " nashindwa kuuelewa huu msemo

architectural structure ya viumbe vyote imedesigniwa na Mungu ila alivifanya viumbe vyote visitimilike ili abaki pekee mwenye ukamilifu na utimilifu wa milele.
Hivyo, aliruhusu kuwe na mazingira yatakayoleta matokeo vyovyote itakavyokuwa maadamu umilele ni wake pekee na hajutii ktk lolote linalotokea duniani na mahali pengine!
Dunia haiongezeki umbo ili kuendana na ongezeko la viumbe hai na ili isiwe tabu Mungu aliweka ukomo wa uhai kwa viumbe ili kubalance rasilimali dunia na viumbe hai! Utaratibu wa kufanya na kuleta ukomo wa uhai unafanywa na mawakala wake na si tatizo kwake maana hakuna namna!
mawakala wake ni pamoja na njaa, ajali, mafuliko, matetemeko ya ardhi, tsunami n.k. Yote hayo si chukizo kwa Mungu! na hiyo ndio maana ya kusema "MUNGU HAKOSEI" bila shaka maelezo hayo mafupi umeyaelewa mleta uzi!
 
Usamehewe tu mkuu, mungu si wa kumuita hivyo,me kila nikiangalia uumbaji wa vitu vilivyopo angani planets, stars, galaxies, blackholes,quisar.......kichwa changu huwa kinaganda najua hakika mungu yupo tena wakuogopwa sana tena sana, mkuu mfano tu speed ya dunia kulizunguka juu ni kama 100,000km kwa saa bado jua ni kama 720,000 kwa saa.. huu ni uumbaji wa hali ya juu sana kama una akili za kuwaza mbali sana, pamoja na yote hayo hizo zipo at incredibly speed lakini hazigongani,kumbuka kuna stars nyingi kuliko mchanga wa beach zote duniani,na bado kila star ina planets,moon hata comets na asteroid na zote zinapita kwenye precise calculated path.....this is amazing bro, mungu yupo na wala si katili kama unavyofikiria
Hivyo vitu nani alikwambia kuwa Mungu ndiye aliyeumba? na una uhakika gani?

Zamani dini iliamini kuwa jua ndilo linaloizunguka dunia, ili hali ni kinyume chake...kitu kilicho sababisha kuuwawa kwa Gallileo...je kwanini Mungu asingewafunulia watu huo ukweli?
 
Mkuu kuumbwa kwa ulimwengu mambo ya kuzunguka kwa jua......tafuta Quran utayapata..tumia tu Google utaona mkuu
 
Mkuu kuumbwa kwa ulimwengu mambo ya kuzunguka kwa jua......tafuta Quran utayapata..tumia tu Google utaona mkuu
Siku nyingine nikikuuliza swali utoe jibu na siyo kuleta fiction....kama hujui basi tulia tu maana siyo lazima kujibu.
 
Usingekula Lile Tunda Wala Usingepata... Haya ulijitakia Mwenyewe Uwezo Wa Kujua Mema Na Mabaya.. Sasa unalalamika Nini

The World Was The Best Place Under Him. Kwani ulisikia eden kulikuwa na haya mambo.. Ulipojifanya Kumfuata Nyoka so Jiandae Kufuata Matokeo yake Pia

Yeye si ana uwezo wa kuzuia yote? Kwa nini hakumzuiya nyoka asiwarubuni viumbe wake wa mwanzo? Alizidiwa uwezo? (kama ndiyo basi siyo muweza yote) Hakupenda kumzuia nyoka? (kama ndiyo basi hana hana upendo wa kweli kwa viumbe wake)
 
Aliyegundua dini aliwateka wengi sana Mkuu....wengi wa mateka ni low capacity.
 
Yeye si ana uwezo wa kuzuia yote? Kwa nini hakumzuiya nyoka asiwarubuni viumbe wake wa mwanzo? Alizidiwa uwezo? (kama ndiyo basi siyo muweza yote) Hakupenda kumzuia nyoka? (kama ndiyo basi hana hana upendo wa kweli kwa viumbe wake)
Hivi wee Ushaambiwa Mtu Yeyote Aliyevaa Nguo Nyekundu si mzuri Usishirikiane Naye... Halafu Mtu Mwingine Anakuja Anakuambia Mbona Huyo Mtu Si Mbaya shirikiana Nayw Tu....

Hapo Kosa Ni Lako au La Mungu ambaye Alikupa Warning toka Mwanzo usishirikiane Naye.. Halafu Unakuja Kumlaumu Mungu Kwanini Usimlaumu aliyekushawishi kushiriki na Huyo Mtu amabye Ni shetani? Kwann Lawama Mnampa Mungu pekee Sijawahi sikia mkimlaumu Shetani kawadanganya
 
Kama ukuu wake unashudiwa ktk vitu vyenye kasoro yeye atakuwa wa namna gani?
Mkuu acha jeuri wewe...binadamu ni kiumbe dhaifu sana ktk viumbe vya Mungu japo umepewa akili lakini hyo akili uliyopewa hebu jaribu uwe unaitumia vzr,Mungu ni kitu kingine jamani na kumbuka ni wa pekee,hakuna mtu au kiumbe yeyote atakayeweza kukupa au kukujuza matendo na malengo ya Mungu ktk uumbaji wake.Kupata kwako ka'PHD si kwamba unajua kila kitu,hako ka' elimu ulikonako ni 0.00000000000000...ya ujuzi wa Mungu.Ukumbuke shahawa ni moja ya malighafi iliyotumika mpaka wewe ukatokea hapa duniani na hukuwahi kupanga,kuwaza wala kufikiria kama utakua member ktk ulimwengu huu.Sasa wewe uliyetokana na Shahawa,kisha ukaja duniani kupitia njia ya haja ndogo ya kike,umejinyeanyea na kujikojolea hovyo,maji ulikuwa unaita "mma"wewe hatimaye ukapelekwa shule then shule ikakupa sehemu ndogo sana ya ufahamu juu ya viumbe na ulimwengu wa Mungu..eti sasa hv na wewe unamchallenge Mungu..daah!!! yan Mungu ana huruma sana!! ila subiri IPO siku ameiandaa ya kukusanya vyote alivyoviumba..kweli utaifahamu hapo.
 
Siku nyingine nikikuuliza swali utoe jibu na siyo kuleta fiction....kama hujui basi tulia tu maana siyo lazima kujibu.
Nakuletea majibu mkuu na mistari kabisa unataenda ku prove mwenyewe
 
Hivi wee Ushaambiwa Mtu Yeyote Aliyevaa Nguo Nyekundu si mzuri Usishirikiane Naye... Halafu Mtu Mwingine Anakuja Anakuambia Mbona Huyo Mtu Si Mbaya shirikiana Nayw Tu....

Hapo Kosa Ni Lako au La Mungu ambaye Alikupa Warning toka Mwanzo usishirikiane Naye.. Halafu Unakuja Kumlaumu Mungu Kwanini Usimlaumu aliyekushawishi kushiriki na Huyo Mtu amabye Ni shetani? Kwann Lawama Mnampa Mungu pekee Sijawahi sikia mkimlaumu Shetani kawadanganya
Kosa ni la aliyewaumba huyo mtu aliye vaa ngu nyekundu pamoja na huyo mshawishi.
 
Mkuu acha jeuri wewe...binadamu ni kiumbe dhaifu sana ktk viumbe vya Mungu japo umepewa akili lakini hyo akili uliyopewa hebu jaribu uwe unaitumia vzr,Mungu ni kitu kingine jamani na kumbuka ni wa pekee,hakuna mtu au kiumbe yeyote atakayeweza kukupa au kukujuza matendo na malengo ya Mungu ktk uumbaji wake.Kupata kwako ka'PHD si kwamba unajua kila kitu,hako ka' elimu ulikonako ni 0.00000000000000...ya ujuzi wa Mungu.Ukumbuke shahawa ni moja ya malighafi iliyotumika mpaka wewe ukatokea hapa duniani na hukuwahi kupanga,kuwaza wala kufikiria kama utakua member ktk ulimwengu huu.Sasa wewe uliyetokana na Shahawa,kisha ukaja duniani kupitia njia ya haja ndogo ya kike,umejinyeanyea na kujikojolea hovyo,maji ulikuwa unaita "mma"wewe hatimaye ukapelekwa shule then shule ikakupa sehemu ndogo sana ya ufahamu juu ya viumbe na ulimwengu wa Mungu..eti sasa hv na wewe unamchallenge Mungu..daah!!! yan Mungu ana huruma sana!! ila subiri IPO siku ameiandaa ya kukusanya vyote alivyoviumba..kweli utaifahamu hapo.

Kiongozi umenigusa sana Moyo wangu huwa najiuliza hawa watu wanao criticize mambo ya Mungu wanapata wapi ujasiri huo? Au kqasababu yahizo degree zakugushi ndy mnapata kiburi kumkashifu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo?? Yaan naandika huku natetemeka maana naujua ukuu wa Mungu wetu
 
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo kumbe sio Mungu wako sasa unajishughulisha nae kwa nini??
 
Tuanze na suala la orbits,na refer Quran sababu ndio kitabu pekee cha dini kinachoendana na science na pia kimeandika sayansi kwa wingi kuliko kitabu chochote cha dini

Orbits
It is he who created the night and day and the sun and moon.they swim along each in an orbit q 21:33
"By the sky full of paths and orbits" q 51:7

Kabla ya karne ya 19 hakuna aliyekuwa anajua kwamba sun, earth zinazunguka kwenye orbits, ila hiii imeandikwa kwenye quran miaka 1400 iliyopita na mtu ambaye sio msomi hata kidogo

Kuhusu movement ya jua
"And the sun runs to it's resting place. that is the decree of the almighty, the all knowing q 37:38
Hakuna aliyekua anajua kama jua nalo lina movement mpaka karne ya 19

Expansion of the universe
" And it is we who have constructed the heaven with might,and verily, it is we who are steadily expanding it" q 51:47
Expansion of the universe ni moja ya ugunduzi mkubwa kabisa kwenye tasnia ya astronomy iligundulia na mrussia mwaka 1929 kuwa ulimwengu unapanuka at a very high speed yaani galaxies zina keep apart from each other, kama vile potu lenye vidoti ukilipuliza

Splitting of earth and heaven
" do not the unbelievers see that the heavens and earth were joined together, before we clove them asunder, and we made water from every living thing, will they not then believe" q 21:30
Hii aya ina support big bang theory

Protected roof
" we made the sky a preserved roof yet still they turn away from our signs q 21:32
Hapo roof ni atmosphere na magnetism

Uumbaji wa binadamu
"It is we who have created you why, then do you not accept the truth? have you ever considered that seed which you emit? It is you who create it or are we the creators? Q 56:57-59

Drop of semen
"Does a man reckon he will be left uncontrolled ( without purpose) was he not once a drop of ejected semen" q 75:36-37

He who has created all things in the best possible way. he commenced the creation of man from clay, then he made his progeny from an extract of discarded fluid q 32:7-8

Sex of baby
He has created both sexes, male and female from a drop of semen which has been ejected q 53:45-46
Ni karne ya 20 ndipo ilipogundulika kwamba sexy of baby inatoka kwa mwanaume yaan xy halafu yy ni kwa mwanamke

Kinachotangulia kati ya mfupa na muscles wakati ukiwa tumboni

" we formed the drop into a clot and formed the clot into a lump and formed a lump into bones and clothed the bones in flesh; and then brought him into being as another creature.blessed be god, the best of creators q 23:14
Hii iligundulika na daktari mmoja wa Canada kwa kutumia microscope karne ya 20 kipi kinatangulia ukiwa tumboni kati ya muscles na bones,kabla ya hapo wanasayansi walikua wanaamini vyote vina kuwa kwa pamoja

Upekee wa cha za vidole
Verses kwenye sura namba 75
1.naapa kwa siku ya kiyama
2. Tena naapa kwa nafsi inayojilaumu
3.he,mtu anafikiri ya kuwa sisi hatutaikusanya mifupa yake
4.naam!,tunaweza hata kuzisawazisha ncha za vidole vyake
Hii imekuja kungundulika Karne ya 19 kuwa fingertips ni ya unique kwa kila mtu chakusangazaza iliandika karne ya 7 na Muhammad(asiye msomi kabisa)

Wakuu mungu yupo, charmi we bisha ila moyoni mwako unajua ukweli dhahili
Hapo juu ni baadhi tu ya verses ambazo zinaelezea sayansi na uwepo wa mungu
 
samahani kama nitakuwa nimekosea spelling, pia kwenye sexes of baby nimechanganya kati ya yy na xy ipi ya mwanaume na ya mwanamke
 
Back
Top Bottom