Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Musa alipoambiwa atengeneze nyoka wa shaba amuweke juu ya mti ili kila amtazamae apone...yule nyoka hakuwa SANAMU?
Kwa hiyo aliyewaambia muweke masanamu kanisani ni nani?unakuta mtu anavaa kabisa Rozari shingoni iliyotengenezwa na mwanadamu kama yeye
 
Wewe Hauna Upeo Kama Walio Anzisha Hiyo Dini Kama Wangeona Hilo Ni Tatizo Basi Wangeondoa Kitambo.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Jaribu kutafuta historia ibada ya masanamu ilianza lini,na nani aliyeianzisha?na usipende kumtegemea mwanadamu katika kutafuta ukweli wa Mungu,tumia akili yako
 
Fuatilia vizuri kuhusu Hekalu alilojenga Mfalme Sulemani uone jinsi Sanamu zilivyowekwa nyingi,na Yesu kipindi chake Cha maisha ya hapa duniani alisali humo mara kadhaa.
Siyo kweli ndugu yangu,kwa kukusaidia soma historia ya Ibrahimu na ibada ya masanamu ndipo utakapojua kwa nini Mungu hapendi masanamu
 
Uliyaweka wewe??
Hlf m hua siongei maneno matupu bishana na ukweli huo

lete hoja usije na maneno matupuView attachment 2216162
20220508_073325.jpg
 
Siyo kweli ndugu yangu,kwa kukusaidia soma historia ya Ibrahimu na ibada ya masanamu ndipo utakapojua kwa nini Mungu hapendi masanamu
Ibrahimu aliyavunja masanamu haswaa hlf shoka akaliweka kwa mkubwa wao
uyo hajui kitu uyo
 
Kuna ubaya gani watu kuhoji?
Dunia imejaa watu wa kila aina.
Kuna ubaya gani mtu mwingine akifanya kile ambacho wewe hukipendi na hakina athari kwako?
Punguzeni kuwashwa tupu zenu.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Uwepo wa Mungu huyo unapingwa na dunia tunayoiona inayoruhusu mabaya.

Mungu huyo angekuwepo, kusingewezekana kuwepo na baya lolote. Magonjwa, njaa, majanga ya asili yasingeweza kuwepo.

Ni hivi, kama Mungu huyo yupo, dunia inayoruhusu mabaya haiwezi kuwepo.

Dunia inayoruhusu mabaya ipo, hivyo, Mungu huyo hayupo.

Wewe una tatizo la kuelewa mifano na kufikiri kidhahania.

Kuamini Mungu yupo na ni jibu la matatizo ya watu ni imani potofu sawa na kuamini mavi ni dawa ya Covid-19.

Sasa wewe umeniuliza, watu baki wakiamini Mungu yupo, mimi napungukiwa nini?

Na mimi nakujibu.

Hao watu wanaoamini Mungu wananitungia mimi sheria za maisha yangu kutokana na imani yao potofu.

Unakwenda sehemu, unataka kula, unaambiwa hapa usile kwa sababu mwezi wa Ramadhani.

Unataka kunywa kinywaji unachotaka, unaambiwa huruhusiwi kunywa kinywaji ni haram.

Unataka kupumzika bila kelele, unapigiwa kelele kutoka msikitini na kanisani.

Unataka kuishi kwenye Jamhuri isiyofuata dini, kila kitu kinaongozwa na dini ya Mungu wa uongo.

Sasa hapo utasemaje kwamba watu wakiamini Mungu mimi inanipunguzia nini?

Hawa ni watu wanaokula mavi na kuamini ni dawa ya Covid-19.

Wanasambaza ujinga wao na maradhi dunia nzima.

Halafu unasema mimi hilo linanipunguzia nini wakati wakila mavi wao kipindupindu kinaenea mpaka kwangu?
Wanajenga shule, hospital na vituo vya watoto yatima pia
 
Dini ni usanii tosha, sawa na bongo movie tu. Waumin wa kiafrika wasiojitambua akili wanakwenda Israel kuabudu ukuta/jiwe wanaona sawa, wengine wanakwenda Uarabuni kuzunguka jiwe (Kaaba) pia wanaona sawa. Hapa Afrika ukiabudu mti au jiwe unaitwa mpagani.....hivi kwanini waafrika hatuna akili? Kwa ujinga huu, hatutaishi kutawaliwa na hawa waliotuletea hizi dini za michingo.
 
Mkuu Wapi wewe ulishawahi kuona sanamu ya Mungu ?

Mungu anaabudiwaje kupitia sanamu akati sanamu yake HAIPO. na haipo kwa sababu hakuna aliyewahi kumuona Mungu mpaka achonge sanamu yake.

Mkuu Nafikiri msingi wa swali lako una makosa unachouliza ni sawa na mtu anayeuliza kwanini makao makuu ya tanzania yaliwekwa newyork.
Kwani yesu sio mungu? Au mimi ndio nachanganya!!
 
Mkuu Wapi wewe ulishawahi kuona sanamu ya Mungu ?

Mungu anaabudiwaje kupitia sanamu akati sanamu yake HAIPO. na haipo kwa sababu hakuna aliyewahi kumuona Mungu mpaka achonge sanamu yake.

Mkuu Nafikiri msingi wa swali lako una makosa unachouliza ni sawa na mtu anayeuliza kwanini makao makuu ya tanzania yaliwekwa newyork.
Post#3 imeshajibu swali la mtoa mada, kumbe Mungu ameagiza hataki kuchonga chonga sanamu
 
Dunia imejaa watu wa kila aina.
Kuna ubaya gani mtu mwingine akifanya kile ambacho wewe hukipendi na hakina athari kwako?
Punguzeni kuwashwa tupu zenu.
Mkuu ubaya unakuja pale yule unamuamini amekukataza kufanya kitu wewe unakifanya ukiamini unamrizisha yeye
 
Kwa hiyo aliyewaambia muweke masanamu kanisani ni nani?unakuta mtu anavaa kabisa Rozari shingoni iliyotengenezwa na mwanadamu kama yeye
Wewe huna hoja... Haya niambie sasa na yale mavazi ya kuendeshea ibada/swala/sala mfano, mavazi ya mapadre, wachungaji, mashehe hayajatengenezwa na wanadamu? Au wenzetu mmeshushiwa na Mungu?
 
Duh, kwa kweri Mungu atuambie kwa Nini Sasa alimwambia Musa kwenye Sanduku la Agano lake ziwekwe?.Dah Tena Makerubi (Malaika) yaani Mimi hata simuelewi yaani Mungu anaamulu watu wachonge sanamu za dhahabu za kufanana na Malaika ili ziwekwe mahara Patakatifu Pa Patakatifu??. Hii shida Sasa.

Kutoka 25:18-19
[18]Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku.
[19]Weka kerubi moja mwisho mmoja, na kerubi la pili mwisho wa pili; fanya hayo makerubi ya kitu kimoja na kiti cha rehema, mwisho huku na mwisho huku.

Tena Mungu analeta Nyoka wa Moto wanawagonga watu na kufa Kisha anamwamulu Musa. Atengeneze nyoka wa shaba ili mtu akimwangalia apone. Yaani Dah Mungu huyu kwa Nini aliwalazimisha Wana wa Israel waabudu sanamu???. Hata simuelewi Huyu Mungu wakulazimisha watu waabudu sanamu.

Hesabu 21:8-9
[8]Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.
[9]Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi.
View attachment 2215243View attachment 2215245

Kigugumiza Kenice Jesusfreak08 Kiranga Kennedy
Kennedy Jesusfreak08 Ivyblue THE SHADOW ONE Equation x Nurain @Nchi Kavu mathabane
Mkuu ujifunze kuandika,
 
♦️ Wakati Suleiman anajenga, hekalu je! hiyo amri ilikuwa imeshatolewa? Unakumbuka katika kulipamba hekalu aliweka nini na alisema vinawakilisha nini?

♦️Mnakumbuka nyoka wa shaba jangwani?

Ninyi mnao soma maandiko kwa kukariri ndio tatizo lenu
 
Ninakielewa nichoandika. Nimeandika kwa kumukejeri mleta Uzi. Ndiyo maana hunielewi. Kama hunielewi Sona nukuu tu za Bibilia utaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom