Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Kwani wewe toka uanze kumuomba huyo Mungu ushawahi kusikia sauti yake ikijibu maombo yako?
Be very careful with what you talk.

Mhubiri 5:2 "Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache".

Mathayo 12:36 "Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu".
 
Jibu hoja!

Kama Kaini alimjibu Mungu kwa Hoja nzito, iweje mimi nisihoji..
Screenshot_20220508-092839.png
 
USELESS kabisa.

Ukweli ulio wazi kwa hisia zako na mihemko yako ya kidini bila proof yeyote ya kimaandiko ndio unataka mimi nikuelewe ?

Unaelewa hata maana ya sanamu kweli wewe, kama hata maana ya sanamu yenyewe hujui je maana ya ibada ya sanamu au kuabudu sanamu utakujua maana yake ?

Unahabari kuwa wewe mwenyewe hapo ni sanamu ya Mungu sababu uliumbwa kwa sura na mfano wake.

Unaelewa kuwa hata jengo unalotumia kusalia na kufanyia ibada zako ni sanamu, unamuamubudu huyu Mungu wako ndani ya lisanamu unaloliita jengo. maandishi yalioko kwenye kitabu chako unachokiita biblia unaelewa kuwa ni sanamu. Unasoma masanamu ili kumuelewa huyo mungu anayepinga izo sanam

Wewe huna hoja... Haya niambie sasa na yale mavazi ya kuendeshea ibada/swala/sala mfano, mavazi ya mapadre, wachungaji, mashehe hayajatengenezwa na wanadamu? Au wenzetu t

Wewe huna hoja... Haya niambie sasa na yale mavazi ya kuendeshea ibada/swala/sala mfano, mavazi ya mapadre, wachungaji, mashehe hayajatengenezwa na wanadamu? Au wenzetu mmeshushiwa na Mungu?
Tokea utoto wake Ibrahimu alikuwa akiyachukia hayo masanamu kwani alishangaa kuwa vipi wanaabudu mawe ambayo wanachonga wenyewe na ambayo hayakuweza kumdhuru au kumfaa mtu kwa chochote;sasa mpaka hapo tumuamini Ibrahimu baba wa manabii na mitume wote,au tuwaamini viongozi wako wa kanisa ambao ni binadamu kama wewe?
 
Mimi ni mkatoliki pure mzee. Unaenda unainama mbele ya lisanmu nakuanza kutaja shida zako na sala zako mbele yanlisnamu la kununua halafu useme hiyo sio ibada?

Limsalaba la mpingo linatembezwa barabarani na huku tunaimba na kusifu hiyo sio ibad?
Kusema uongo ni dhambi.
Wewe siyo mkatoliki, labda uliwahi kuwa mkatoliki ambaye hakupata kuuelewa ukatoliki.

Hes 21:8-32 SUV
Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi. Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi.

Unless kama utasema Mungu ana kigeugeu.
 
Sasa kwa nini watu na elimu zao mfano mzee wetu nyerere,mkapa,magufuri na wengineo walishindwa kulin'gamua hilo?
Shetani alimzidi akili binadam pale Eden. Hakuna mwanadamu anayeweza kumzidi shetty akili bila uweza wa Mungu

Kumbuka hilo.
 
Kwanza kabiza, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo kweli na si sanamu uliloliumba mwenyewe kwenye mawazo yako.

Maana unaweza kuhoji masanamu unayoyaona, huku unaendelea kuabudu masanamu uliyoyaunda mwenyewe mawazoni.

Thibitisha Mwenyezi Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si za kutungwa na watu tu.
Hii mada imewaalika Atheists...

Mungu ni Imani.

Unaweza kunielezea wewe unaamini nini?
 
USELESS kabisa.

Ukweli ulio wazi kwa hisia zako na mihemko yako ya kidini bila proof yeyote ya kimaandiko ndio unataka mimi nikuelewe ?

Unaelewa hata maana ya sanamu kweli wewe, kama hata maana ya sanamu yenyewe hujui je maana ya ibada ya sanamu au kuabudu sanamu utakujua maana yake ?

Unahabari kuwa wewe mwenyewe hapo ni sanamu ya Mungu sababu uliumbwa kwa sura na mfano wake.

Unaelewa kuwa hata jengo unalotumia kusalia na kufanyia ibada zako ni sanamu, unamuamubudu huyu Mungu wako ndani ya lisanamu unaloliita jengo. maandishi yalioko kwenye kitabu chako unachokiita biblia unaelewa kuwa ni sanamu. Unasoma masanamu ili kumuelewa huyo mungu anayepinga izo sanamu.
Hahaha.

Walei wa kikatiliki mnabudu masanamu ila mkiambiwa mnakuwa wkali kama gongo la mapapai[emoji16][emoji16]
 
Wanajenga shule, hospital na vituo vya watoto yatima pia
Hata mimi najenga. Huhitaji kuamini Mungu kufanya yote hayo.

So, that is a moot point.

Ukipewa ndoo ambayo imechanganywa nusu mkojo, nusu maji, ukaambiwa unywe kwa sababu ndoo ina maji utakunywa?
 
Hahaha.

Walei wa kikatiliki mnabudu masanamu ila mkiambiwa mnakuwa wkali kama gongo la mapapai[emoji16][emoji16]
Hao walevi wa kikatoriki wanao-abudu masanamu mmewazidi nini kuanzia elimu, afya, uwekezaji nk. Huoni kuwa wewe mfuasi wa nabii wa kike na kundi lenu la kutaka kupanda ndege bila nauli kisa mnaenda kuhubiri injili ndio hamnazo kabisa

Kazi kula matangopori ya mke wa mtu Bi Ellen G white. mlie aminishwa kuwa ni nabii mpaka leo. Biblia yenyewe ishawashinda kazi kumeza manuscript za bibi white.
 
Siyo kweli ndugu yangu,kwa kukusaidia soma historia ya Ibrahimu na ibada ya masanamu ndipo utakapojua kwa nini Mungu hapendi masanamu
Kweli wewe ni Kigugumiza,Mimi nazungumzia Hekalu la Mfalme Sulemani wewe Unasema hbr za Ibrahim,km huwezi kutulia kwenye hoja tulia tu.
 
Tokea utoto wake Ibrahimu alikuwa akiyachukia hayo masanamu kwani alishangaa kuwa vipi wanaabudu mawe ambayo wanachonga wenyewe na ambayo hayakuweza kumdhuru au kumfaa mtu kwa chochote;sasa mpaka hapo tumuamini Ibrahimu baba wa manabii na mitume wote,au tuwaamini viongozi wako wa kanisa ambao ni binadamu kama wewe?
Huweki hata aya inayosapoti unachokisema.. Unaonyesha unakisema kile ambacho mchungaji wako amekulisha
 
Back
Top Bottom