Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Hao walevi wa kikatoriki wanao-abudu masanamu mmewazidi nini kuanzia elimu, afya, uwekezaji nk. Huoni kuwa wewe mfuasi wa nabii wa kike na kundi lenu la kutaka kupanda ndege bila nauli kisa mnaenda kuhubiri injili ndio hamnazo kabisa

Kazi kula matangopori ya mke wa mtu Bi Ellen G white. mlie aminishwa kuwa ni nabii mpaka leo. Biblia yenyewe ishawashinda kazi kumeza manuscript za bibi white.
We muabudu masanamu unadhani ukienda hospitali ama shule ya inayomilikiwa na kanisa lako lakuabudu masanamu utapewa huduma bure kisa muabudu sanamu mwenzao?
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Masanamu ama michoro iliyopo kwenye nyumba za ibada hayaabudiwi kwa vyovyote.

Ni mapambo ama michoro kwa ajili ya liwazo au kuvuta hisia za waumini tu.

Eleza ni madhehebu gani hayo yanayoabudu sanamu badala ya kumuabudu Mwenyezi Mungu na hizo ibada za kuabudu sanamu zinaendeshwaje kwa mfano wake?
 
Unaelewa kwamba hoja yako ya kwamba kila kilichopo kinahitaji muumba inaonesha Mungu hawezi kuwepo?

Kwa sababu, kwa hoja yako hii, Mungu naye atahitaji kuwa na muumba wake, na akishakuwa na muumba wake, anakuwa si Mungu tena, na huyo muumba wake atahitaji muumba wake, bila mwisho?
Mkuu mbona unawaza kama hadithi za kuku na yai kipi ni senior kwa kingine?

Kuhoji Mungu yupo ama hayupo ni mada za kuliwaza ubongo tu kwa mtu ambaye kiuhalisia anauelewa ukweli.
 
Kweli wewe ni Kigugumiza,Mimi nazungumzia Hekalu la Mfalme Sulemani

Masanamu ama michoro iliyopo kwenye nyumba za ibada hayaabudiwi kwa vyovyote.

Ni mapambo ama michoro kwa ajili ya liwazo au kuvuta hisia za waumini tu.

Eleza ni madhehebu gani hayo yanayoabudu sanamu badala ya kumuabudu Mwenyezi Mungu na hizo ibada za kuabudu sanamu zinaendeshwaje kwa mfano wake?
Ijumaa kuu huwa hatubusu misalaba?huko siyo kuabudu masanamu?na sala za jumuhia huwa tunazunguka na sanamu la bikira maria la nini?
 
Kuamini Mungu hayupo ni imani pia coz huwezi kuthibitisha kua hayupo,

Kingine ni kwamba wewe hata ukithibitishiwa na Dunia nzima uwepo wa Mungu huwezi kuamini,ndio maana nikakushauri kuendelea na unachokiamini,

Halafu kama watu wanamuamini Mungu na kumuabudu wewe unapata hasara gani? Kinapungua nini kwenye maisha yako?

Waache waamini uwepo wa Mungu na wewe endelea na maisha yako,kwanini unateseka kwa imani za wengine?
Hili linaweza kuwa ni jibu zuri kwa aliyeanzisha uzi huu.
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Kama maibada ya kuabudu Jiwe , lisilo sikia ila Allah anasema atalifanya liwe na macho na mdomo liongee , kwa hiyo hapa yeye ndio analipa lisabamu jiwe uhalali

Muhammad said about the Black Stone: "By Allah! Allah will raise it on the Day of Resurrection with two eyes by which it sees and a tongue that it speaks with, testifying to whoever touched it in truth." Jami` at-Tirmidhi 961
 
Ijumaa kuu huwa hatubusu misalaba?huko siyo kuabudu masanamu?na sala za jumuhia huwa tunazunguka na sanamu la bikira maria la nini?
Pole sana,kwa hiyo wewe unapombusu demu wako unakuwa unamuabudu??,Na je kuzunguka na Sanamu ya Bikira Maria ni kuabudu?.Hivi unaelewa maana ya kuabudu?.Kwa taarifa yako unaweza kubusu au kuzunguka na Sanamu lkn usimaanishe kuabudu, halikadhalika unaweza usibusu wala kuzunguka na Sanamu lkn ukawa unaabudu Sanamu, maana Ibada ni tendo la Kiroho na si Kimwili.
 
Mkuu mbona unawaza kama hadithi za kuku na yai kipi ni senior kwa kingine?

Kuhoji Mungu yupo ama hayupo ni mada za kuliwaza ubongo tu kwa mtu ambaye kiuhalisia anauelewa ukweli.
Hujajibu hoja yoyote.

Unaongeza maswali tu.

Ukweli ni nini na unajuaje huu ni ukweli?
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Usifikiri kirahisi hivi maana utawaza ile mifano na vielelezo vilivyo makanisani. Labda jambo ambalo hukuja kuwa watu wengi duniani tunaabudu sanamu. Namaanisha maana halisi ya kuabudu ni kuinamia na kuinamia kitu inamaanisha unakiogopa. Mfano soma Danieli 2:46
"Ndipo Nebukadreza, mfalme, akaanguka kifudifudi, akamsujudia Danielii, akatoa amri wamtolee
Danielii sadaka na uvumba."
Ajabu Mfalme anasujudu kwa Danieli? Mungu aliye ndani ya Danieli ndiye aliyesujudiwa

Sasa tunaabudu nini?
Mfano simu; Yaani mtu anaogopa simu kuliko kumuogopa Mungu. Mtu yupo kanisani mkono wake umeshika simu kwamba anachelewa kuchati
pia mtu anaogopa kumkosea mwanadamu kuliko hata kumkosea Mungu mfano mchungaji wake akisema jambo hata kama Mungu akamwambia hicho usifanye atafanya la mchungaji wake ili asitengwe kanisani au apate huduma za kanisani mfano maziko, ubatizo nk.
Kifupi tuna sanamu nyingi sana kuliko hizo tunazoziona.
 
Jibu hoja!

Kama Kaini alimjibu Mungu kwa Hoja nzito, iweje mimi nisihoji..
View attachment 2216286
Kumbe unaamini Kaini alihojiwa na Mungu na bado hauamini uwepo wa nguvu zake? Nazani unatambua pia kwa kosa alilofanya Kaini alilaaniwa yeye na kizazi chake. Ndo maana nimekusisitizia uwe makini na unachoongea ipo siku simu yako itakushuhudia hayo uliyosema.
 
Kwa nini imani iwe muhimu, wakati unaweza kuamini uongo?
Jitihada za kukwepa swali.

Hata kama ni uongo sema ni uongo upi unauamini.

Evwrything.has the meaning and its purpose. Sisi hatupo tupo tu, bali a conttoller ndiye anayejua fate ya kila kitu.
 
Jitihada za kukwepa swali.

Hata kama ni uongo sema ni uongo upi unauamini.

Evwrything.has the meaning and its purpose. Sisi hatupo tupo tu, bali a conttoller ndiye anayejua fate ya kila kitu.
Imani si kitu muhimu kwangu, kwa sababu unaweza kuamini hata uongo na mimi sitaki uongo.

Tutafute ukweli, si kushikilia imani.

Kwa sababu ukiniuliza ninaamini nini, halafu nikakwambia naamini Mimi ndiye niliyeumba ulimwengu na vyote vilivyomo utaniambia nini?
 
Back
Top Bottom