Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Kwani nani kasema Mungu ni physical object?

Ndoto, mawimbi ya radio, umeme, vyote hivi vinapimika.

Roho na Mungu ni hadithi tu. Ndiyo maana havipimiki.
Unapimaje hivyo vitu.
Roho ni nguvu itendayo Kazi ndani ya mwili wa kiumbe hai.Hii nguvu inapotoweka na uhai unakoma.
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Duh, kwa kweri Mungu atuambie kwa Nini Sasa alimwambia Musa kwenye Sanduku la Agano lake ziwekwe?.Dah Tena Makerubi (Malaika) yaani Mimi hata simuelewi yaani Mungu anaamulu watu wachonge sanamu za dhahabu za kufanana na Malaika ili ziwekwe mahara Patakatifu Pa Patakatifu??. Hii shida Sasa.

Kutoka 25:18-19
[18]Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku.
[19]Weka kerubi moja mwisho mmoja, na kerubi la pili mwisho wa pili; fanya hayo makerubi ya kitu kimoja na kiti cha rehema, mwisho huku na mwisho huku.

Tena Mungu analeta Nyoka wa Moto wanawagonga watu na kufa Kisha anamwamulu Musa. Atengeneze nyoka wa shaba ili mtu akimwangalia apone. Yaani Dah Mungu huyu kwa Nini aliwalazimisha Wana wa Israel waabudu sanamu???. Hata simuelewi Huyu Mungu wakulazimisha watu waabudu sanamu.

Hesabu 21:8-9
[8]Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.
[9]Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi.
images%20(1).jpg
images.jpg

Kigugumiza Kenice Jesusfreak08 Kiranga Kennedy
Kennedy Jesusfreak08 Ivyblue THE SHADOW ONE Equation x Nurain @Nchi Kavu mathabane
 
Imani yako itakuponya, kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote muhimu havunji sheria wala amani ya mtu mwngne.

Wapo wanaoabudu majiwe, miti mikubwaaa, masanamu ya watu, mito mikubwa na wanapokea majibu ya yale yanayowatatza. Msidhihaki kile wengne wanaona n sawa kukiabudu, maana hivyo n kuingilia uhuru tulio nao wa kuabudu chochote.

Kama ww unaona kuabud sanamu(kama kichwa cha mada kinavyosema) n upuuzi, ww kaa nacho moyoni na uabudu kile unachoona n sawa. Dini tumezkuta n uamuz wa mtu binafs kuzifuata au kutozfuata.

Yangu n hayo tu.........
 
Tunawalingania ili muuache kuabudu hayo masanamu hayana msaada wowote ule
 
Tunawalingania ili muuache kuabudu hayo masanamu hayana msaada wowote ule
Haita saidia kitu, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile akionacho n sawa. S vyema kuingilia uhuru wa mtu, hata mtu aabudu nyumba aliyoijenga n sawa muhimu havunji sharia.

Kusaidka ama kutokusaidika n juu ya muhusika, mambo yao tuwaachie wenyewe katu yaskuumize kichwa mpendwa.
 
Uhuru wa mtu unamaanisha nn??
 
Dunia imejaa watu wa kila aina.
Kuna ubaya gani mtu mwingine akifanya kila ambacho wewe hukipendi na hakina athari kwako?
Punguzeni kuwashwa tupu zenu.
Usiliabudie sanamu bhana hasira za nn si uache...
 
Soma vizuri na uelewe kichwa cha thread cha mtoa mda uone anachouliza.

Humo makanisani kuanzia anakosali mtoa mada mwenyewe kumejaa kila aina ya sanamu, kuanzia jengo analosalia lenyewe ni sanamu, mabenchi anayokalia ni sanamu, maandishi yenyewe ya kitabu anachotumia kumjua huyo Mungu (biblia) ni sanamu pia. Mambo mengi sana yanayo mzunguka mtoa mada humo kanisani kwake anakosalia na kumuabudia huyo Mungu ni sanamu, hata yeye mwenye ni kama sanamu tu mbele ya Mungu kwa sababu kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hivyo mimi na wewe na mto wote ni sanamu ya Mungu.

Labda mtoa mada angeenda moja kwa moja ni sanamu zipi izo alitaka kumaanisha, ila kama ni kwenye kichwa cha uzi kinavyosema, basi si kweli kwamba kuna sanamu ya Mungu, Sanamu ya Mungu haipo kwani tangu mwanzo Mungu baba hajawahi kuonwa na mtu isipokuwa kupitia kwa mwanae ambaye watu walimwona na waliishi naye wakamfahamu na kumbe kuchonga sanamu ya kufanana naye Isingeliwezekana.
Umeandika ujinga mpaka naona uvivu kukuelewesha aisee.

Soma nilichokiandika na usome alichokiandika mtoa mada.
 
Hoja za namna hii siku hizi hazifanyi kazi jaribu kuangalia wenzako waliokuwa wazoefu na mijadala kama hii kama wana shuhulika na mtindo wa aina hii ya hoja
Hii pia ni namna katika namna nyingi nyingi za kujenga hoja, ulitakiwa ukosoe alichokiandika na uonyeshe kama kweli kwanini unadai watu hawashughuliki nazo.

Ukweli ni kuwa hoja hizo ni nzito sana na zinamaliza mjadala mapema sana sema zinataka uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri na kung'amua mambo. Nyinyi sababu mna uwezo mdogo huwa tunatumia hona zinazo endana na nyinyi.
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?

Wewe wataka ugomvi na wakatoliki.

Kanisa katoliki masanamu kama yoote yaani.

1 Sanamu la Yese
2 . Sanamu la bikira maria
3 Sanamu la Yosefu
4. Masannu ya malaika

5. Na masanamu mengine sijui ni akina nani wale
 
Haita saidia kitu, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile akionacho n sawa. S vyema kuingilia uhuru wa mtu, hata mtu aabudu nyumba aliyoijenga n sawa muhimu havunji sharia.

Kusaidka ama kutokusaidika n juu ya muhusika, mambo yao tuwaachie wenyewe katu

Wewe wataka ugomvi na wakatoliki.

Kanisa katoliki masanamu kama yoote yaani.

1 Sanamu la Yese
2 . Sanamu la bikira maria
3 Sanamu la Yosefu
4. Masannu ya malaika

5. Na masanamu mengine sijui ni akina nani wale
Ni kiukweli hayo masanamu hayakuwepo wakati wa Yesu,na hata alipoondoka akawaacha Mitume wake hawakufanya ibada ya masanamu,Lakini halikuwepo kabla ya Yesu katika dola la kirumi,kwa hiyo ni lahisi kusema masanamu ni utamaduni wa kipagani wa kirumi,hayana uhusiano na Yesu
 
Umeandika ujinga mpaka naona uvivu kukuelewesha aisee.

Soma nilichokiandika na usome alichokiandika mtoa mada.
Acha ujuaji na mambo ya kuwahukumu wenzenu.

Mbona mtoa mada na wachangiaji wa mwanzo wamenielewa iweje wewe ndio usielewe huoni kuwa wewe ndio mwenye tatizo, ungeshambulia nilicho-andika na kuonesha ujinga wangu na sio kuishia kuita ujinga huko ni kushindwa kuelewa na kutetea unachokiamini na kubaki kushambulia watu.

Mtoa mada kauliza kwenye kichwa cha thead au kusoma kunakupa shida " Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu ? " sasa kama hakumaanisha masanamu ya mungu alimaanisha masanamu yapi ? Tuambie.
 
Mtoa mada kauliza kwenye kichwa cha thead au kusoma kunakupa shida " Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu ? " sasa kama hakumaanisha masanamu ya mungu alimaanisha masanamu yapi ? Tuambie.
Nimekupa maelezo mepesi sana na yako wazi mno.

Maana yake watu watumia masanamu kama wasila na kuyaabudu masanamu, ndiyo maana mwanzo kabisa nikasema hui ni USHIRIKINA. Sasa lile gazeti ulilo liandika halina maana. Jambo liko wazi.
 
Back
Top Bottom