Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Empty head
Hili sanamu la jiwe pale maca lenye umbile wa uke liteketezwe , Kuna watu ma million wanaliamini na wanalisujudia kuelekea lilipo , na kila mwaka wanaenda kulibusu au walipungie
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Afadhari hayo masanamu unayaona huyo Mwenyezi Mungu mwenyewe hata hayupo katika uhalisia Zaidi ya imagination na myth za kale,
Na ndio Maana katika ulimwengu wa kisasa Hana impact yoyote Ile!

Wajinga hawataisha Mpaka bahari ikauke,
Mwenye kusikia na asikie!
 
Back
Top Bottom