Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,852
- 131,462
Leo unakitu gani kipya cha kipekee ambacho umekipata kinachoweza kuthibitisha kwa haraka kabisa kuonesha Mungu yupoHii pia ni namna katika namna nyingi nyingi za kujenga hoja, ulitakiwa ukosoe alichokiandika na uonyeshe kama kweli kwanini unadai watu hawashughuliki nazo.
Ukweli ni kuwa hoja hizo ni nzito sana na zinamaliza mjadala mapema sana sema zinataka uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri na kung'amua mambo. Nyinyi sababu mna uwezo mdogo huwa tunatumia hona zinazo endana na nyinyi.
Jaribu leo huwenda ukawa na bahati