Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

Kutoka 20:4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Kutoka 20:5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Hapa ndipo penye majibu ya swali lako

Hakuna umuhimu wa kuto kuwepo maana hayana msaada wowote katika kuwasiliana na Mungu kwasababu

Mungu anaabudiwa katika Roho na kweli
 
Kutoka 20:4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Kutoka 20:5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Hapa ndipo penye majibu ya swali lako
Mungu anaona wivu😬😬😬
 
Mungu anaona wivu😬😬😬
FP0lrWKXEAMykBs.jpeg
 
Sasa kwa nini watu na elimu zao mfano mzee wetu nyerere,mkapa,magufuri na wengineo walishindwa kulin'gamua hilo?
 
Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Mkuu Wapi wewe ulishawahi kuona sanamu ya Mungu ?

Mungu anaabudiwaje kupitia sanamu akati sanamu yake HAIPO. na haipo kwa sababu hakuna aliyewahi kumuona Mungu mpaka achonge sanamu yake.

Mkuu Nafikiri msingi wa swali lako una makosa unachouliza ni sawa na mtu anayeuliza kwanini makao makuu ya tanzania yaliwekwa newyork.
 
Kwanza kabiza, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo kweli na si sanamu uliloliumba mwenyewe kwenye mawazo yako.

Maana unaweza kuhoji masanamu unayoyaona, huku unaendelea kuabudu masanamu uliyoyaunda mwenyewe mawazoni.

Thibitisha Mwenyezi Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si za kutungwa na watu tu.
 
Hakuna sanamu ni la kushikika hakuna sanamu lilo undwa mawazoni likawa si la kuonekana wala kushikika likaitwa sanamu.

Kingine unataka uthibitishiwe uwepo wa Mola mara ngapi ? Usisumbue watu na kupotezea watu muda, huko tushatoka jenga hona kulingana na mada husika, au kinyume chake ututhibitishie ya kuwa Mola hayupo japo hili najua huwezi wala hakuna aliyewahi kuweza.
 
Unalitengeneza sanamu kwa mikono yako kisha unaliabudu!
Siku likivunjika ndio ina maanisha kua mungu wako kafa?
 
Kwanza kabiza, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo kweli na si sanamu uliloliumba mwenyewe kwenye mawazo yako.

Maana unaweza kuhoji masanamu unayoyaona, huku unaendelea kuabudu masanamu uliyoyaunda mwenyewe mawazoni.

Thibitisha Mwenyezi Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si za kutungwa na watu tu.
Dini ni imani na matendo,wewe endelea tu kuamini unachokiamini,ndio uhuru wenyewe huo,hakuna anaye lazimishwa.
 
Mkuu Wapi wewe ulishawahi kuona sanamu ya Mungu ?

Mungu anaabudiwaje kupitia sanamu akati sanamu yake HAIPO. na haipo kwa sababu hakuna aliyewahi kumuona Mungu mpaka achonge sanamu yake.

Mkuu Nafikiri msingi wa swali lako una makosa unachouliza ni sawa na mtu anayeuliza kwanini makao makuu ya tanzania yaliwekwa newyork.
Hujamuelewa mtoa mada, kuna mambo mnatakiwa muwe na ujuzi nayo kabla hamja yajengea hoja.

Mtoa mada hajaongelea sanamu ya Mungu, ameongelea masanamu yote kwa ujumla wake, hata liwe la ng'ombe au la yule baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu (Yesu), tangu kale watu waliyajaaliya masabamu sifa ya Mola, wakawa wanayaabudu kwa kuyataka msaada yaani wasaidiwe mambo yao kupitia masanamu hayo.

Watu wanafikiri ya kuwa USHIRIKINA unaishia tu kwenye matunguli, hurizi,ria na mfano wao, bali ushirikina mkubwa upo kwenye masanamu, huwa nawaambia kila siku Wakristo, Mabudha,Mayahudi na mfano wao ni WASHIRIKINA, lakini maskini ya mungu sababu wana maarifa machache wanapinga hilo.
 
Hakuna sanamu ni la kushikika hakuna sanamu lilo undwa mawazoni likawa si la kuonekana wala kushikika likaitwa sanamu.

Kingine unataka uthibitishiwe uwepo wa Mola mara ngapi ? Usisumbue watu na kupotezea watu muda, huko tushatoka jenga hona kulingana na mada husika, au kinyume chake ututhibitishie ya kuwa Mola hayupo japo hili najua huwezi wala hakuna aliyewahi kuweza.
Thibitisha Mungu yupo kweli na si dhana tu unayoiamini bila Mungu kuwapo.
 
Back
Top Bottom