View attachment 21696View attachment 21695View attachment 21694View attachment 21693View attachment 21692View attachment 21691View attachment 21690View attachment 21689View attachment 21688
MUNGU NI MKUBWA ,nipo nanyi pamoja kwa uwezo wake!!
Na mimi wakati naangalia hizo picha nikajua tu maana inaonyesha kuwa kuna kitu kizito kilikuja kuligonga gariasanteni sana kwa pole zenu,ni kuwa lorry mbovu ya container ilikosa uelekeo ikanivaa upande wangu,ilikuwa ni karibu mno hivyo kujinusuru nikakwepeshea kulia
ajali ilitokeaa Mbozi Road chang'ombe na hizo picha hazikupigwa eneo la tukio bakli ni wakati scraper hiyo imepelekwa garage..