Mungu ameniponya ajali hii mbaya!!

Pole sana Inkoskazi, ni kawaida kwamba inapotokea ajali ya barabarani huwa inakuwa imesababishwa mara nyingi na makosa ya dereva mmoja, kwa hiyo humu barabarani huwa tunasalimika kwa uwezo wa Mungu, unaweza kuwa makini sana lakini akatokea mzushi akakuletea, kwa hiyo hili ni jambo la kushukuru sana,

'kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa'
ni kweli mkuu...na mungu hutupa hata ambavyo hatujamuomba,hakika ninamshukuru sana kwani amenisuru akitaka nieendelee kuwepo duniani
 
View attachment 21696View attachment 21695View attachment 21694View attachment 21693View attachment 21692View attachment 21691View attachment 21690View attachment 21689View attachment 21688

MUNGU NI MKUBWA ,nipo nanyi pamoja kwa uwezo wake!!
pencil.png

give thanks with greatful heart, give thank to the holly one, because he's so good to you
 
Hapo ndipo uwezo wa Mungu unapokuwa hauwezi kufikirika na binadamu wa kawaida. Tunachotakiwa sisi ni kusema Amen.
Lazima ujiulize sana kwanini hukufa?
Basi mwenyezi mungu ana makusudi na wewe.
sasa ni wakati wa kumtambua na kumpa nafasi yake.
Pole sana best.Nimeangalia picha nikakumbuka ajali ya Kiford Arusha miaka ya 1998 damu imesisimka kweli best.
umepona kweli,nenda kacheck system nzima yz body man.
tunashukuru tuko pamoja man.
 
Ikitokea kitu kibaya kama hiki ndiyo watu mnapokumbuka kwamba kuna MUNGU. Tuwe wa imani na kuomba kila siku hujui, siku, saa utakayonyakuliwa. Uwe tayari kwa lolote siyo mpaka litokee la kukutokea.

AMEN
 
Pole sana mshukuru Muumba,mkabidhi Mungu maisha yako hapa duniani sisi ni wapitaji tu hatujui siku wala saa.
 
Pole sana Mkuu, Mshukuru Mungu maana yeye ni muweza wa yote, Mungu akupe maisha marefu na umtumaini yeye kwa yote.
 
kaka nn chanzo cha hiyo ajali iliyokukuta? Tuhabarishe na ss wengine tuweze chukua hatua za kujikinga.
Kwa kweli ni mungu pekee ndo anayejua, pole sana ndugu na uzd kumshukuru molah.
 
daahhhh POLE sana dear
kama siku yako bado ni bado tuuu
Kuna kazi Mungu kakupa hujaikamilisha
mmmmmmhhhhhh
 
Pole! Mbona gari halina plate namba na picha hizo hawakuchakachua? ni mawazo tu....ila usemi unabaki kuwa kweli MUNGU MKUBWA
Plate number waliondoa ,ni picha halisi ila hapo sio eneo la tukio my dear
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom