Mungu ameniponya ajali hii mbaya!!

kaka nn chanzo cha hiyo ajali iliyokukuta? Tuhabarishe na ss wengine tuweze chukua hatua za kujikinga.
Kwa kweli ni mungu pekee ndo anayejua, pole sana ndugu na uzd kumshukuru molah.
Mkuu ni yalemalori yanayobeba macontainer bandarini lilimshinda jamaa likajaa site yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom