Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 44,769
- 132,330
Si useme tu ni wewe mwenyewe.Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri
Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys
Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne?
Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea mwenyewe japo Hana uwezo Sana lakini maisha yanaenda