Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Wala recorder haihitajiki, maana natongozwa nikijitahidi saana mara 1 kwa miaka 2. Mvuto ni minus maana yake!

Hakuna kitu hapo Kaunga.......

Ni wanawake wachache sana wanaopata airtime ndogo kama hiyo..lol!!

Wengi wao walau wanapata hit mara moja kwa week!!

weweeeeeeeeeeee, kila mdada ana mvuto
wewe hujawahi sikia yule naye sijui kampendea nini!

Usimwamini huyu Kaunga,

Anapiga story hapa JF....

Mie siwezi ila wewe mwombe akuruhusu utembelee PM yake anytime halafu utakuja kunambia....

Ngoja nimwite King'asti tumalizie andishi la project yetu ya kuchungulia chungulia yanayoendelea behindi the scene!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa tuko pamoja,

Naona mkubwa mwenzangu FP yeye huwa anagongwa na tsunami za kweli kweli wala siyo tahadahri za watu TMA..lol!!

Babu DC!!
hao wa masihara hawanipi shida kabisa, kwanza utajua tu huyu mtu anatania maana hata confidence huwa hana
mimi ninaowasemea ni wale ambao unaona kabisa hii ngoma hapa nisipokomaa imekula kwangu....
wananiudhi sababi natumia muda wangu na akili zangu kupanga mashambulizi wakati huo muda/akili ningetumia kufanya mambo mengine, kupotezeana muda tu
 
Kutongozwa ni kuwa na sura ya malaya siyo uzuri
kuna mwalimu (mmama) aliwahi kutuambia ukiona unatongozwa sana ujue una matatizo
akatolea mfano wa embe zima na lililooza, umewahi kuona inzi wengi kwenye zima? na lililooza je? sasa ensi hizo tupo wasichana full kuogopa kutongozwa maana unajihisi umeoza, lol!
 
Ngona niwithdraw maneno yangu....

Naona kama mie nimekamatika kati ya maneno mawili yanayoweza kuchanganywa na wengi...kuhashua (source Gaijin) na kutongoza......

Binafsi nilikuwa nabebana nayo kwa pamoja...

Ila napenda kukuhakikishia kuwa kuna mtu anaweza kukutokea akionesha kama yuko 100% ila kumbe hamna kitu...

Sitaki kutoa ushahidi zaidi kwani hata mzee mwenzangu Asprin keshalisemea hili jambo...

Babu DC!!
Mzee mwenzangu huyu FP anakubishia tu. Ingelikuwa kila tunaowatongoza na kukubaliwa tunawamega, foleni ingeanzia Posta mpaka Mbagala. Wengine kutongoza ni hobby jamani. Kwa siku anatongoza mabinti zaidi ya watatu! Unategemea atawalala wote?

Ni sawa na ushabiki wa mpira, unaenda uwanjani kuishabikia timu yako kwa kuwa unapenda mpira lakini haimaanishi kwenda uwanjani ni lazima timu yako ishinde.
 
Last edited by a moderator:
Duh watu mna mivuto! Mimi siwezi imagine kutongozwa hivyo, nafikiri l am very unfriendly kiasi kwamba inahitaji dhamira ya dhati hadi mtu niliokaa naye kwenye daladala kuanzisha story nami baada ya salamu.

Najua kuangaliwa (stolen look) kiwizi wizi, that happens lkn mtu kuanza kuniimbisha sijui labda kwenye seminar ya kuanzia 3 days. Na mara nyingi najua intentions za watu kupitia kwa watu wengine (wanaowaulizia hbr zangu) hasa madreva.

kwanza naomba niseme siko kama ambavyo umesema hapo bluu, but niliutoa mfano huo ili kukuonyesha kwamba mtu anapotongwaza maa nyingi kwako ulimaanisaha nini na unaposema kutongzwa ni easy going unamaanisha nini.

kwa mfano wangu hapo, ni kwamba hawa wanaume wote wanaoamtongoza huyu mtu hawajuani kabisa so hawana history kwamba ni easy going ama la ila tu wanajaribu bahati zao.

kwangu mimi hali kama hii huwa inanipa shida sana asni kero na pia kuanza kumjibu mtu maswali yake ama kumweleza msimamo wako pia ni bothering. Mara nyingi kwa mwanamke mwenye busara ili ku avoid haya huwa anajipa vijitask vy kufanya ili mtu akose guts za kumwingilia hata kwa salamu tu.
 
Unaona sasa?

Nahisi kama wewe unatamani hayo kwa sababu hujawahi kuwa kwenye hiyo position...

Ni sawa na mtu anayehisi bora asingezaa kwa sababu hakuwa mgumba....lol!!

Nadhani hata wadada wanamna hiyo huwa inafikia mahali inawakera..

Babu DC!!
unakerwa mpaka unamfikiria mtu kakuroga usitongozwe! hiyo sasa balaa
 
mie swala la kutongozwa huwa sion kama ni baya sana manake sio kosa la mtongozwaji wakati mwingine, na pia kiukweli na hapa labda niseme uwazi jamani akina mama wenzangu hivi wiki mwezi mwaka unapita jamani pasi hata mtu kukutamkia maneno nakupenda mtu baki hivi utajiskiaje?? mie binafsi hata nikipendeza ofcn nikiambiwa leo umetokelezea na mkaka huwa najiskia kwamba ni kiumbe ninayeish na nakubalika katika jamii.

kitendo cha kukaa hata ofsn halafu hakuna hata anayesema lunch time jamani fulan huendi ama twende kwangu mimi naona kama ni tatizo kwani inaoaneka wazi kwamba uwepo wako hautambuliki ulipo.

tatzo hapa ni kosa tena kubwa sana kwa mwanamke aliyeko ndani ya ndoa kutongozwa na kukubali kushiriki uzinzi ila kutongozwa as kutongozwa sion kama ni kosa.

tena hupandisha chart sana kama unatongozwa halafu uanwatolea nje watajifunza kukuheshimu huku wakikuadmire zaid na zaid.

Kuna mambo huwa unajua kuachia reality hadi raha.....

Sidhani kama kuna nyongeza inatakiwa....

Kuna jamaa yangu dume, alikuwa anachukiwa na baadhi ya wanawake ofisi eti kwa sababu haonekani kama anaweza kuwatongoza....yeyey kila wakati anaongelea mambo ya kazi....

Kwangu mimi ni sehemu ya maisha ila kujiingiza kwenye uzinzi ndiyo haikubaliki kabisa...lol!!

Babu DC!!
 
Mzee mwenzangu huyu FP anakubishia tu. Ingelikuwa kila tunaowatongoza na kukubaliwa tunawamega, foleni ingeanzia Posta mpaka Mbagala. Wengine kutongoza ni hobby jamani. Kwa siku anatongoza mabinti zaidi ya watatu! Unategemea atawalala wote?

Ni sawa na ushabiki wa mpira, unaenda uwanjani kuishabikia timu yako kwa kuwa unapenda mpira lakini haimaanishi kwenda uwanjani ni lazima timu yako ishinde.
ha haaaa, hizo hobi basi ni balaa...
kwa hiyo wewe mistari ipo kichwani kila ukimwona mdada unaanza kuishusha tu, lol!
 
unakerwa mpaka unamfikiria mtu kakuroga usitongozwe! hiyo sasa balaa

Kesi ya huyo mwanamke aliyemsikia Kaunga achana nayo...ina mambo mengi sana ambayo wazoefu tunahisi yamefichwa kwani hilo wala hakuhitaji kulisema mbele ya wazee. Labda kama angekuwa anapiga umbeya na shoga zake!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City sasa wa humu jamvini si hawanijui, wana imaginations zao wanazozitaka; lkn honestly l am not tonguzable type in real life na sio kwamba sina mvuto, (nikijiangalia kwenye kioo hadi najionea wivu mwenyewe-joking) lkn kupata muda na attention yangu hadi utoe mbili tatu zako ni ngumu.

Ambao nimekuwa nao, kuacha ambao nimewazimikia mwenyewe from day 1; wale niliojifunza kuwapenda took them a lot of time and initiative to get to say something to me. Na kuambiwa umependeza sijui you look mmwaah/succulent sio kutongozwa kwa tafsiri yangu inaweza iwe flirting.
Hakuna kitu hapo Kaunga.......

Ni wanawake wachache sana wanaopata airtime ndogo kama hiyo..lol!!

Wengi wao walau wanapata hit mara moja kwa week!!

Usimwamini huyu Kaunga,

Anapiga story hapa JF....

Mie siwezi ila wewe mwombe akuruhusu utembelee PM yake anytime halafu utakuja kunambia....

Ngoja nimwite King'asti tumalizie andishi la project yetu ya kuchungulia chungulia yanayoendelea behindi the scene!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mzee mwenzangu huyu FP anakubishia tu. Ingelikuwa kila tunaowatongoza na kukubaliwa tunawamega, foleni ingeanzia Posta mpaka Mbagala. Wengine kutongoza ni hobby jamani. Kwa siku anatongoza mabinti zaidi ya watatu! Unategemea atawalala wote?

Ni sawa na ushabiki wa mpira, unaenda uwanjani kuishabikia timu yako kwa kuwa unapenda mpira lakini haimaanishi kwenda uwanjani ni lazima timu yako ishinde.

Forwarded to @FP,

Nadhani sasa ataelewa...

Babu DC!!
 
Mimi mke wangu kaniroga, sitongozi!
 
Kuna mambo huwa unajua kuachia reality hadi raha.....

Sidhani kama kuna nyongeza inatakiwa....

Kuna jamaa yangu dume, alikuwa anachukiwa na baadhi ya wanawake ofisi eti kwa sababu haonekani kama anaweza kuwatongoza....yeyey kila wakati anaongelea mambo ya kazi....

Kwangu mimi ni sehemu ya maisha ila kujiingiza kwenye uzinzi ndiyo haikubaliki kabisa...lol!!

Babu DC!!

so tu conclude kwamba kutongozwa sio vby ila tu kukubali zinaa hiyo ni dhambi kabisa na haivumiliki.

btw kuna mtu anaweza akakutongoza ukatafuta kufukiwa na greda mweeh!
hadi unajiuliza hata huyu kaona mie ni saizi yake kweli?? unajua unarudi kwenye kioo kujitazama labda nimeamka na sura ya mtu mwigine lol!
 
Dark City sasa wa humu jamvini si hawanijui, wana imaginations zao wanazozitaka; lkn honestly l am not tonguzable type in real life na sio kwamba sina mvuto, (nikijiangalia kwenye kioo hadi najionea wivu mwenyewe-joking) lkn kupata muda na attention yangu hadi utoe mbili tatu zako ni ngumu.

Ambao nimekuwa nao, kuacha ambao nimewazimikia mwenyewe from day 1; wale niliojifunza kuwapenda took them a lot of time and initiative to get to say something to me. Na kuambiwa umependeza sijui you look mmwaah/succulent sio kutongozwa kwa tafsiri yangu inaweza iwe flirting.

Ya kweli hayo Kaunga??

Unataka sasa kunifanya nijaribu kuomba rufaa ya usatafu ili nione kama curiosity ya cat bado ninayo...

But honestly, kama wapo wanaoflirt basi ujue mwendo ni mdundo tu...

Safari moja inaitafuta nyingine...!!

Hivi kumbe kustaafu ni kama death sentence...it is irreversible eti??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kuna mwalimu (mmama) aliwahi kutuambia ukiona unatongozwa sana ujue una matatizo
akatolea mfano wa embe zima na lililooza, umewahi kuona inzi wengi kwenye zima? na lililooza je? sasa ensi hizo tupo wasichana full kuogopa kutongozwa maana unajihisi umeoza, lol!
Ni mfano mzuri, aisee ofisini kwetu kuna mmama in her 50 anamegwa kishenzi na vitoto; maana huwa waambizana who is accessible n who ana nata!
 
so tu conclude kwamba kutongozwa sio vby ila tu kukubali zinaa hiyo ni dhambi kabisa na haivumiliki.

btw kuna mtu anaweza akakutongoza ukatafuta kufukiwa na greda mweeh!
hadi unajiuliza hata huyu kaona mie ni saizi yake kweli?? unajua unarudi kwenye kioo kujitazama labda nimeamka na sura ya mtu mwigine lol!

Hilo kwa updande wa wanawake linakera sana kwa kweli....

Bahati mbaya kuna wanaume ambao wanatumia men's ego na kuhisi kuwa kila mwanamke ni halali yake...!!

Enzi zangu za 1947, kuna wanawake ambao nilishawatoa kwenye sample size kwani niliona kuwa siwezi ku-match viwango vyao...na wengine nilikuja kusikia baadaye kwamba walikuwa wananilaani kwamba nawatenga...!!

But men need to know their boundaries kabla ya kuanza kumvaa mdada!

Babu DC!!
 
Hao wanaoweza flirt si ni wale wa karibu; coleages n college mate n the like. Mtu mpya hawezi; thanks God ustaafu ni irreversable maana duh.......

Back
Top Bottom