Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

kuna mwalimu (mmama) aliwahi kutuambia ukiona unatongozwa sana ujue una matatizo
akatolea mfano wa embe zima na lililooza, umewahi kuona inzi wengi kwenye zima? na lililooza je? sasa ensi hizo tupo wasichana full kuogopa kutongozwa maana unajihisi umeoza, lol!

Huyo mwalimu kuna mahali alikosea aisee...

Ilibidi pia awape caveats ili msije kuwakimbia hata watu ambao walikuwa makini!!

Kutoa maneno ya jumla jumla tena kwa mabinti wa enzi zenu ilikuwa ni hatari sana...

Ila angeyasema hayo leo wangemcheka kama chizi!!

Babu DC!!
 
Ni mfano mzuri, aisee ofisini kwetu kuna mmama in her 50 anamegwa kishenzi na vitoto; maana huwa waambizana who is accessible n who ana nata!

Huyo mwoneee huruma,

Ni mgonjwa kama wale waliozwa Muhimbili!!

Babu DC!!
 
Hao wanaoweza flirt si ni wale wa karibu; coleages n college mate n the like. Mtu mpya hawezi; thanks God ustaafu ni irreversable maana duh.......

Kweli kabisa,

Na kwa jinsi ambavyo nilikuwa mpenzi wa kutafuta emperical evidence,

Hii experiment ingeanza now now...lol!!

Babu DC!!
 
Imeandikwa usiwape nguruwe chakula cha watoto watakikanyagakanyaga kisha wakugeukie wakurarue. Mpaka hapo kama hujajiona mjinga kupewa maelezo halafu unasema ni maneno mengi sasa uliuliza nini. Kwa hiyo vitabu vitakatifu vitaandika kila ujinga atakaouwazia mwanadamu chini ya mbingu manake badae kidogo utauliza wapi imeandikwa kunya barabarani ni dhambi. Kimaandiko ikitamkwa seti kuu, vyote vilivyomo kama subset vina-follow suit. Badala ya kuleta hiyo tafsiri yako ya kutongoza inayoendana na uzi ulioko mezani na andiko linalosema ruksa kutongoza mke wa mtu wewe unatema cheche. Unanirarua kwa kuwa hustahili kupewa maandiko yenye akili ambayo ni chakula cha watoto.
Vitabu vyote vimeandika tusikaribie zina kwa hio zina na kutongozwa na vitu viwili tofouti.

Nini mana ya kutongozwa; Kutongozwa kunaweza kutumika kama wanavyo sema mitaani siku hizi kusomesha au kumwaga sera, yani mwanamke anaweza kwenda kumtongoza mwanamke kama hivi, Unajua Angel we ni mzuri sana kuliko yule jirani yetu Rubecca na mama anataka kwenda kumposea brother wangu, lakini brother wangu kavutiwa sana na wewe unasemaje alete uchumba kwako! Sa hapo kosa liko wapi.

Haya mfano mwingine.

Fazaa ana mtogoza Juhaina

fazaa; Jiji unajua wewe ni mzuri sana yani nilipo kuona tu nikaona bora nisimame kwanza kukuuliza una mme au huna?

Juhaina; Fazaa shika dabu yako usinisogelee kabisa.

fazaa; Jiji kwani kukusogelea au kutongoza dhambi? Je we ni mke wa mtu

Juhaina; Hapana si mke wamtu na kuhusu kutongoza ndio dhambi, hukusoma vitabu vya dini vinasema usisogelee zina

fazaa; Jiji au namdekesha tena hapo kumuita Juju hivi zina nini ni haswa?

Juhaina; zina hata kusikia sauti ya mwanamke ni dhambi, na kumtazama zaidi ya mara mbili au kwa kumtamania?

fazaa; Mhhhm basi mimi na wewe hapa tumeisha zini au? na vipi vitabu vya dini vinasema nini unaruhusiwa kutazama au? mimi nadhani unaruhusiwa kutazama sema usizoee au usitazame mara mbili tena kwa nia mbaya...sidhani ukitazama kwa nia nzuri kosa, na mimi nime tazama mara moja tu, na hata nikitazam mara kumi as long na nia nzuri sidhani kama kosa...ujumbe wangu ndo huo je ni zina hio.

Juhaina;Mhhhm sijui niseme nini

fazaa; nilete posa au?

Juhana; Kakimbia na sikujua kakusudia nini?

Je nimezini hapo au nimefanya kosa gan...Nikaenda kwa wazee nikasema kisa ni hicho, mama akacheka akasema ujuwe kisha kupenda yule bint, we peleka posa-posa nikapeleka imekubaliwa na salimkabora kaja kula halua msikitini...afu akabaki anashangaa...Yule bint nilikuwa nampenda sana fazaa kamuoa yote ujinga wangu nimezubaa...hapo unaumia ndani kwa ndani kwenye moyo wake, nani anapata dhambi hapo ni mimi au salimkabora :biggrin:

Mfano wa tatu

Mwanaume anamtongoza mwanamke, mwanamke anamkubalia wana sex hapo ndo dhambi, mwanamke akimkatalia hakuna dhambi hapo hata siku moja na atakaye sema ni dhambi ni mtu hajui dini kabisa.

Huyo mwoneee huruma,

Ni mgonjwa kama wale waliozwa Muhimbili!!
Babu DC!!

Nakubaliana na wewe, hivyo nawe kubali wengine wanatongozwa kwa kuwa wakware wamewagundua wana attention disorder na sio mvuto. LOL
Au sijui midlife crisis, kujihakikishia bado upo upo basi unajilengesha Kijinga kijinga.
 
ha haaaa, hizo hobi basi ni balaa...
kwa hiyo wewe mistari ipo kichwani kila ukimwona mdada unaanza kuishusha tu, lol!

Hivi wewe unadhani msanii/mtunzi anahitaji masaa mangapi kuandika wimbo wa kushindia Oscar??

Rahisi sana kama uko kwenye fani dada yangu..

Babu DC!!
 
Nakubaliana na wewe, hivyo nawe kubali wengine wanatongozwa kwa kuwa wakware wamewagundua wana attention disorder na sio mvuto. LOL

Nimekubali mdogo wangu Kaunga...

Hiyo technique uliyotumia ni kali sana....na siwezi kuruka hapa!

Ni kweli kabisa, kuna watu wanaonesha au kuonekana kama wanaalika watongozaji.......

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
nina wasiwasi na urembo wako.! Lakini kwa nini mke wa mtu utamani kutongozwa una pepo wa ngono.?
 
hilo ndo huwaga la kwanza kujiuliza ninapotokewa
nimefanya nini mpaka anitokee?
 
nina wasiwasi na urembo wako.! Lakini kwa nini mke wa mtu utamani kutongozwa una pepo wa ngono.?

Yaani mmenihamasisha mpaka nimione huyo wifi yangu nimfanyie assessment yangu.
BTW mvuto ni sawa na urembo na pia uzuri?
Mvuto naweza kusema ni charm?
Au urembo huongeza mvuto?
Usafi na uzuri wa asili?
Mkosi huondoa mvuto?
Bahati/nyota ndio mvuto?
Kutamanisha ndio mvuto?
Nini kinachotamanisha? Macho, lips, sura, sauti, miguu, ngozi, wezere, umbo au?
 
Vitabu vyote vimeandika tusikaribie zina kwa hio zina na kutongozwa na vitu viwili tofouti.

Nini mana ya kutongozwa; Kutongozwa kunaweza kutumika kama wanavyo sema mitaani siku hizi kusomesha au kumwaga sera, yani mwanamke anaweza kwenda kumtongoza mwanamke kama hivi, Unajua Angel we ni mzuri sana kuliko yule jirani yetu Rubecca na mama anataka kwenda kumposea brother wangu, lakini brother wangu kavutiwa sana na wewe unasemaje alete uchumba kwako! Sa hapo kosa liko wapi.

Haya mfano mwingine.

Fazaa ana mtogoza Juhaina

fazaa; Jiji unajua wewe ni mzuri sana yani nilipo kuona tu nikaona bora nisimame kwanza kukuuliza una mme au huna?

Juhaina; Fazaa shika dabu yako usinisogelee kabisa.

fazaa; Jiji kwani kukusogelea au kutongoza dhambi? Je we ni mke w amtu

Juhaina; Hapana si mke wamtu na kuhusu kutongoza ndio dhambi, hukusoma vitabu vya dini vinasema usisogelee zina

fazaa; Jina hivi zina nini ni haswa?

Juhaina; zina hata kusikia sauti ya mwanamke ni dhambi, na kumtazama zaidi ya mara mbili au kwa kumtamania?

fazaa; Mhhhm basi mimi na wewe hapa tumeisha zini au? na vipi vitabu vya dini vinasema nini unaruhusiwa kutazama au? mimi nadhani unaruhusiwa kutazama sema usizoee au usitazame mara mbili, na mimi nime tazama mara moja tu na ujumbe wangu ndo huo je ni zina hio.

Juhaina;Mhhhm sijui niseme nini

fazaa; nilete posa au?

Juhana; Kakimbia na sikujua kakusudia nini?

Je nimezini hapo au nimefanya kosa gan...Nikaenda kwa wazee nikasema kisa ni hicho, mama akacheka akasema ujuwe kisha kupenda yule bint, we peleka posa-posa nikapale imekubaliwa na salimkabora kaja kula halua msikitini...afu akabaki anashangaa...Yule bint nilikuwa nampenda sana fazaa kamuoa yote ujinga wangu nimezubaa...hapo unaumia ndani kwa ndani kwenye moyo wake, nani anapata dhambi hapo ni mimi au salimkabora :biggrin:

Maelezo haya hayaendani na maudhui ya mleta uzi kwa maana kisa hapa ni kutongoza mke wa mtu. Waama kuhusu posa msichana ataulizwa na kutoa jibu lake mbele ya wazazi kwamba amekubali ama amekataa hairusiki kwa namna yoyote kukutana peke yenu vichochoroni na kukubaliana chochote. Ya kwamba kakubali na tayari keshaolewa analilia utongozwaji na wanaume wengine kivipi na kwa utaratibu gani hasa wa kimaandiko. Mke mwema hutoka kwa bwana na kisicho rizki hakiliki na hivyo suala la kuumia moyoni hapa halipo kama kweli ni mtu wa imani ya kimungu. Tunapaswa kushukuru kwa yote na huenda mungu wako amekuepusha na janga zito ambalo lingekufikia kupitia mkondo wa huyo mwanamke.
 
Hilo kwa updande wa wanawake linakera sana kwa kweli....

Bahati mbaya kuna wanaume ambao wanatumia men's ego na kuhisi kuwa kila mwanamke ni halali yake...!!

Enzi zangu za 1947, kuna wanawake ambao nilishawatoa kwenye sample size kwani niliona kuwa siwezi ku-match viwango vyao...na wengine nilikuja kusikia baadaye kwamba walikuwa wananilaani kwamba nawatenga...!!

But men need to know their boundaries kabla ya kuanza kumvaa mdada!

Babu DC!!

babu nashukuru Mungu kwamba uzee wangu umeniweka mbali na ibilisi so hata watu wa kunikwaza kama hawa kwa sasa hawapo. Nimebaki namungalia Klein wangu anacheza namba gani manake si wajua tena........

btw babu ivi kumwekea mtoto wa kiume condom ndani like kumekea chumbani just in case ni dhambi?? hiyo nimeikuta leo kwenye jumuiya mmama akisema imebidi amwekee mwane kwani kazidi kwa tabia ya chovya chovya, huyu mama yeye ni nesi.

ila kiukweli inakera sana sana, na sijui kwanini wanaume huwa hawakubali kwamba sio kila mwanamke ni saizi yao wapo kwa class, kama vile ambavyo hata pamba ipo kwa class ama kahawa.
 
Mtu akikufanya ujihisi hivyo basi hana stadi za hiyo kazi.....

Anyway, wengine tulishajistaafia, ngoja tukae kimya!!

Babu DC!!
af babu mbn kama kustaafu kunakuuma sana!kwani ulikuwa hujamaliza kazi uliyoandikishwa kwayo????? NAULIZA TUU!
 
Huyo mwoneee huruma,

Ni mgonjwa kama wale waliozwa Muhimbili!!

Babu DC!!
kwanza babu ukimwona mwanamke anatoka na mtu wa ofcn kwake jua huyo mwanamke akili yake haimtoshi kisawa sawa.
kutoka na ofc mate wako?? dah kuna watu wana guts aisee!

mm huwa naipenda CARE INTL sana hii NGO bana kwenye mkataba wao umeandikwa kabisaa hakuna kutoka na mtu ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtumish mwenzio. hilo ni kosa la kufukuzwa kazi manake wanajua kabaisa mapenzi yakiwekwa ofcn hubomoa ofc kabisa.
 
babu nashukuru Mungu kwamba uzee wangu umeniweka mbali na ibilisi so hata watu wa kunikwaza kama hawa kwa sasa hawapo. Nimebaki namungalia Klein wangu anacheza namba gani manake si wajua tena........

btw babu ivi kumwekea mtoto wa kiume condom ndani like kumekea chumbani just in case ni dhambi?? hiyo nimeikuta leo kwenye jumuiya mmama akisema imebidi amwekee mwane kwani kazidi kwa tabia ya chovya chovya, huyu mama yeye ni nesi.

ila kiukweli inakera sana sana, na sijui kwanini wanaume huwa hawakubali kwamba sio kila mwanamke ni saizi yao wapo kwa class, kama vile ambavyo hata pamba ipo kwa class ama kahawa.

Mzazi ni kama daktari, unatakiwa kudeal na mgonjwa kutegemea na ugonjwa wake.....

Kama katoto kamefikia level ya ustaa kama wakina Messi na Ronaldo unakafanyaje??

Nakubaliana na njia aliyoitumia huyo mama.

Kazi ya mzazi ni kujitahidi kumjua mwanao ili udeal naye kama huyo Klein wako na siyo kama kila teen wa kiume!

Babu DC!!
 
kwanza babu ukimwona mwanamke anatoka na mtu wa ofcn kwake jua huyo mwanamke akili yake haimtoshi kisawa sawa.
kutoka na ofc mate wako?? dah kuna watu wana guts aisee!

mm huwa naipenda CARE INTL sana hii NGO bana kwenye mkataba wao umeandikwa kabisaa hakuna kutoka na mtu ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtumish mwenzio. hilo ni kosa la kufukuzwa kazi manake wanajua kabaisa mapenzi yakiwekwa ofcn hubomoa ofc kabisa.

mwali nipo mabwe tayar hvoo!kilonga longa hakina chaji
 
af babu mbn kama kustaafu kunakuuma sana!kwani ulikuwa hujamaliza kazi uliyoandikishwa kwayo????? NAULIZA TUU!

Uko sahihi kabisa aisee....

Una wewe unatumia ulozi kama huyo baba aliyemroga mke wake??

Yaani kuna wakati unajiona kuwa kuna kazim moja muhimu sana ya kufanya, ila bahati mbaya imejitokeza wakati wewe umeshaachia ngazi...

Hata ungekuwa wewe ungeacha kuumia??

Kustaafu siyo kupotenza senses bwana...lol!!

Babu DC!!
 
Una akili weye, maana haishi kujieleza kila siku kuwa kastaafu as if anam-dare lara 1 kumpima kama kweli kastaafu! LOL

Subirini na nyie zamu yenu...ipo siku mtaachia ofisi tu....

halafu mtu ukabidhi ofisi wakati marupu rupu ndiyo yameongezeka kwa zaidi ya 150%...!!

Inauma bwana, tuache utani...lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom