wanasemaga macho hayana pazia.... ingawa kwa sasa inabidi tuanze kuyashonea, lol!Kwa vile teacher wa ukweli gfsonwin yuko hapa, naomba labda kwanza atupatie maana ya neno "kutongoza"
Labda mie ninalielewa tofauti...
Hivi nikikuangalia kwa jicho la uchokozi (na kusepa) pamoja na kufuli zako utajisikia vibaya??
Babu DC!!
lakin ukweli ni kwamba, kama mama hatongozwi kwasababu ya kulongwa na amethibitisha basi kweli mumewe kamkosea manake huko ni kumtia nuksi mkewe na mbaya zaid si kwa wanaume tu bali hata kwa wanawake wenzie kwamba anaweza kukosa mvuto kazini, nyumban, njian na popote pale.
.
ila kama hatongozwi kwasabab hana mvuto ni jambo jingine.
so far kwangu mimi natafsiri, mtongozo kwa mtu mzima wa makamo yangu kwa maana mbili ya kwanza ni mvuto tu ambao mwanamke anao, na huu upo tu mtu anazaliwa nao na jinsi anavyo jikeep.
ila pia kuna mtongozo ule wa kutega manati ambao mwanamke anatega makusudi ili mtongozo upite huu kwangu nauona kama ni kujidhalilisha kwa mtu binafsi.
kote kote tongoozo sio kosa ila kosa laweza kuwa ni matokeo ya mtongozo wenyewe.
mmmh! labda nikuulize Kaunga hivi mtu ukitongozwa posta may be kwenye mgahawa, ukarudi ofsin hapa Azikiwe ukatongozwa na bosi ama mtumish mwenzi, jion ukia njian kwenye dala dala ukatongozwa na neighbor wako kwenye siti, uliposhuka kwenye gari njian ukatongozwa na mtu ambaye alikuwa anaenda njia moja na wewe je wewe uta i define vipi hii??
wote wakawa wanakutamkia kabaisa dada u mzuri napenda kuwa karibu na wewe.
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
kwangu mimi natafsiri kutongoza kama ni njia ya kumtaka ama kumtamani mtu ili atende jambo unalolitaka hii inaweza kuwa kwa vitendo tu ama kwa kumtamkia maneno. hii ni definition yangu mm.Kwa vile teacher wa ukweli gfsonwin yuko hapa, naomba labda kwanza atupatie maana ya neno "kutongoza"
Labda mie ninalielewa tofauti...
Hivi nikikuangalia kwa jicho la uchokozi (na kusepa) pamoja na kufuli zako utajisikia vibaya??
Babu DC!!
Safi sana ume-eleza vizuri sana...mana mwanamke kutongozwa ni kitu cha kawaida na si dhambi, na akiwa ana uzuri kwanini asitongozwe?
Kama hana uzuri akitongozwa yeye mwenyewe anawezea kujishangaa...vipi nimetongozwa, lakini huyo mama anaonyesha alikuwa anatongozwa sana zamani...lakini mme wake kamrogo tu ndo haoni hata mwanaume anamtongoza, kama alikuwa hatongozwi vipi alalamike na wakati anajijua hana mvuto unless awe kichaa tu, na kama kichaa vipi huyo mwanaume angeishi naye au kama hana uzuri:biggrin:
AFU KUNAMSEMO UNASEMA WAZURI KWA WAZURI NA WABAYA KWA WABAYA...yani hata kama hana uzuri, hata wale wanaume wasio wazuri hakuna atakae mtongoza.
Hebu wacha kuleta maneno mengi, wapi imeandikwa kutongoza ni dhambi?
Afu lazima ujuwe kwanza neno kutongozwa lina mana gani, kabla ya kukimbilai kuongea maneno mengi yasio fahamika.
Yeah and btw mimi huwa sijali kuitwa mjinga na wajinga...We kama umeshindwa kujibu swali langu sema tu nimeshindwa...Swali, WAPI KWENYE VITABU VYA MUNGU IMEANDIKWA KUTONGOZA NI DHAMBI:biggrin:
wewe babu acha masihara.....Hapana Kaunga,
Kuna mtu anaweza kuflirt tu bila hata 1% ya mategemeo...just to make you feel that your an adorable woman....
Babu DC!!
Hivi mtu akitamka maneno kama hayo unaweza kama mtu ambaye yuko serious kweli??
Mie naamini kinachoangaliwa ni jinsi mtu alivyojikunja na kujipanga....
Ila hao wengine wanapass time......
Babu DC!!
wewe babu acha masihara.....
hivi kuna mtu anaweza akamtokea mdada akitegemea kukataliwa kwa 100%
sasa kwa nini unamtokea?
sina tatizo na RED, huwa yanatokea mara kwa mara.....Sidhani kama mumewe kweli alimroga asitongozwe (maybe l am wrong, there is a lot going on duniani humu), lkn kweli can you say it aloud tena kwenye kikao? I think she is either posessed au hayuko okay upstairs.
Turudi ktk kutongozwa, inategemea; kuna watu mlionao karibu kazini au sehemu nyingine. Wanaweza kukutongoza kiutani fulani hivi bila kuacha maswali na wewe unaweza kuwatolea nje kiutani bila kuacha madhara au uadui (flirting), it happens all the time especially kama wewe mama ni mcheshi na mtu wa utani kiasi. Lkn kuna ile ambayo kila anayekuja (tena huwa wanauliza baada ya tathmini ya awali if huyo mtu analika au vipi) wewe ndio unayetongozwa, this is disgusting.
Kuna wamama wanavutia lkn wakaka wanakosa guts za kuwatokea kwa jinsi walivyo reserved.
babu maneno kama haya huwa yanapangwa na kurembwa kiasi cha kutaka kumdodosha ng'ombe kibla.
of course mwanaue anayetongoza kwa nia a kumpata mtu huwa anakuwa na maneno tofauti nayule anayekuja kwa nia ya kupass by. hata patience na utayari wa kumsikiliza mtongozwaji huwa tofauti kabisa.
weweeeeeeeeeeee, kila mdada ana mvutoWala recorder haihitajiki, maana natongozwa nikijitahidi saana mara 1 kwa miaka 2. Mvuto ni minus maana yake!
sina tatizo na RED, huwa yanatokea mara kwa mara.....
napenda watu wani-treat kama hapo blue..... yaani mtu anakosa nguvu ya kukuambia upuuzi wake