Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

kumbe kutongozwa deal mjini enh? haya nakaribisha mitongozo kwa moyo mkunjufu:A S-heart-2:

Unajua wewe dada mimi nakuangaliaga sana na nafuatilia sana michango yako hapa JF mhhh...... ndoo nshaanza kukutongoza hivyo jibu sio unashangaaa ha ha hahahaaaaaaa
 
Mambo kama haya yananifanya niamini kwamba kama baadhi ya wanaume wanavyotaka kuwa na mke zaidi ya mmoja, kuna wanawake wanatamani kuwa na mume zaidi ya mmoja.

Jamii inawakatili tu.

Mimi ninaiona ni kiu tu ya kukubalika au kutamanisha (desirable) . Kwani sidhani kwamba one can be with kila anayemtongoza, ile feeling ya kuwa desirable kwa watu wengine zaudi ya watu wetu huenda ina pandisha confidence level.
Kuna baadhi ya wenzi nitasemea kina baba, wanajisikia kuwa wamechagua kitu bomba pale ambapo jamaa wengine wanawatolea macho wake zao.
 
Kweli story ni ndefu, halafu nimeisikia kutoka upande mmoja tu; lkn hiyo kauli nimeiona ni ya mesma. No Barreto who is at fault, kushutumu kubaniwa kutongozwa is something else.

ni kweli na inashangaza. kauli hiyo haiwezi kuja vivi hivi tuu..kutakuwa na mambo yaliyopelekea huyo mama kusema hivyo - kama sikosei - lakini haiwezi kuibuka tuu from nowhere!
 
I also think the same. Actually nimemwambia kaka yangu wafanye maombi, anasema mkewe hataki kusikia chochote kuhusu kusali au kanisa.

basi yawezekana kehsaingizwa chaka na masangoma!!! hawakosagi kisa mradi kutengeneza chuki na uhasama na sababu ya kutaka kutengeneza pesa!!!
 
Mimi ninaiona ni kiu tu ya kukubalika au kutamanisha (desirable) . Kwani sidhani kwamba one can be with kila anayemtongoza, ile feeling ya kuwa desirable kwa watu wengine zaudi ya watu wetu huenda ina pandisha confidence level.
Kuna baadhi ya wenzi nitasemea kina baba, wanajisikia kuwa wamechagua kitu bomba pale ambapo jamaa wengine wanawatolea macho wake zao.

Wanaosaliti ndoa zao wanaanza hivyo hivyo.

Wanataka kuwa desirable tu, si zaidi.

Mara kijana mtanashati kampigia mbinje, mama anasema "kijana mtanashati kweli, ngoja nimsikilize tu, sifanyi zaidi".

Mara kijana katoa offer ya dinner, mama anajisemea kimoyomoyo "dinner tu, tena kijana mwenyewe mtaratibu sana haelekei hata kuwa na makuu".

Mara dinner inakwenda na wine.

Mama anasema "ni wine tu, hata Yesu alikunywa divai".

In Vino Veritas.

Mara kushikana mikono, kugongeana.Mazungumzo yananoooga, mama anajisikia yuko wingu la saba.

Mara anaongeza glasi, na glasi.Mara "blame it on the al al al cohol".Kijana anajichukulia mzigo kirahisi.

Mama anasema "what he doesn't know will not hurt hubby"

Anasaliti. Anagundulika.Talaka!

Jiepushe.
 
inawezekana mama alikuwa anafikisha ujumbe kwa wazee kiaina.....mume hatoi ushirikiano
 
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.

Hili nadhani ni tatizo la inferiority complex na low self esteem. Huyu mwanamke haamini km yeye bado ni mzuri wa sura, na anahisi tatizo halitokani na yeye ila mtu mwingine asiyekuwa yeye. Huenda hana nia mbaya, ila tu kule kutongozwa kunampa kujiamini fulani hivi.
 
inawezekana mama alikuwa anafikisha ujumbe kwa wazee kiaina.....mume hatoi ushirikiano

You never know. Kuna mtu aliambia, "kaunga sio kila mwanaume anayekutongoza anakutaka; we do that because it is expected of us to do so". Hivyo nafikiri 'it is expected of women kutongozwa'. So Kiranga just be a gentleman and tongoza some chicks hata kama you don't mean it kwani haitasumbua coz na mdada anategemea kutongozwa tu bila kwenda all the way! LOL
The Boss na Asprin wanafahamu hii kwa uzuri.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mwanamke unatongozwa juwa kuwa unakubalika na bado unadai lakini ukiona kimya ujue umechoka umechakaa...
 
Kaolewa halafu anataka atongozwe.
Digitali imetumaliza sana Tanzania
HIV kweli itakwisha wakati mtu aliyeolewa anataka kitongozwa. Ina maana ni kutongozwa tu ndiyo shida yake / anataka baada ya kutongozwa

Akale tunda na huyo mtongozaji.
Wakati mwingine unaheshimiwa kuwa ni mke wa mtu ndiyo maana hutongozwi.

Linda nyumba yako unaweza vaa maradhi na mwisho shida zikakuandama.
 
Ukiona mwanamke unatongozwa juwa kuwa unakubalika na bado unadai lakini ukiona kimya ujue umechoka umechakaa...

Sio kwamba uko loose, you seem to be readily available?
 
Ukiona demu wako anatongozwa na watu zaidi ya kumi elewa kuwa demu wako mzuri anawatoa udenda wanaume wakware.
 
Back
Top Bottom