Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
We unatisha ndio maana.......
![]()
ndo vizuriiiiiiiiii
We unatisha ndio maana.......
![]()
Wakati mwingine unaheshimiwa kuwa ni mke wa mtu ndiyo maana hutongozwi.
NIMESITISHA MSAKO WA KUMSAKA MCHAWI WANGU.lol
Good for you.
Wewe utongozwe hadi na teens halafu ujisifie una mvuto; kweli?????
Da Mkubwa Kaunga leo umenichekesha asubuhi asubuhi.............................akhaa kuwa mume kamroga asitongozwe!! Duniani vituko haviishi.
Umejuaje? Wengine kutongoza ni hobby yetu. Unataka tu umwone binti akitongozwa anakuaje..... ukiona ana mwelekeo wa kukubali na we huna mashamsham naye unajisepea zako tartiiiibu.
Na mwanamke kutongozwa sunna. Ukiona umemaliza miezi mitatu hujatongozwa, kaogee magadi. Nuksi hiyo!
MakubwaHayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
yaani mimi nipo tofauti na wewe
nikitongozwa huwa inanipa shida sana.....
najiuliza ni kitu gani kimetokea? yaani pamoja na kuniona na kufuli zangu kwa kidole bado ananitongoza!
nakosa amani kwa kweli
Hebu wacha kuleta maneno mengi, wapi imeandikwa kutongoza ni dhambi?Unajaribu tu kuleta ujinga humu kwa sababu hakuna kitabu hata kimoja kinachoongelea mambo ya kutongazana bali kuna kuposa na kuoa na havifanyiki uchochoroni baina ya watu wawili mbali na macho ya mashahidi ila watu wanatongoza kwa shingo zao ngumu na kuiandama zinaa. Kusema ukitongoza utapewa haina maana imeruhusiwa ndio mana vimewekwa mbele yako uzima na mauti na ni juu yako kuchagua. Huko kwenye dini tuko hapa tuliopinda hebu tupige mbio humu tuone nani anaingia mitini
wewe babu unajua adha za kutongozwa? hasa kama ni mke wa mtu?
Ingewezekana ningeamuru ubadilishwe kuwa mmama wiki moja tu utongozwe uone kasheshe yake
ume-calculate pia probability wa kuwakataa hao wote?
cc. Fidel80
siyo najisikia vibaya sababu kani-harass... najisikia vibaya kwa nini kanitongoza. hata kama kaja kwa upole kiasi gani.... kwa nini anitongoze na wakati anaona nina kufuli vidoleni? kanionaje mpaka kanitongoza?Mtu akikufanya ujihisi hivyo basi hana stadi za hiyo kazi.....
Anyway, wengine tulishajistaafia, ngoja tukae kimya!!
Babu DC!!
hapa nazungumzia mchanganyiko, kuanzia serengeti boy mpaka mstaafu, lol!Hapa unaongelea watu wazima au watoto watoto?
Watu wazima hawawezi kukerana kwa sababu wanafanya mambo yao organically....
Ila hao wanaokera wala hawana tija...
Babu DC!!
ha haaaa..... umejiweka pazuriiiiiiiiiKwa mwanamume yeyote, expected probability ni approx. 1.0!!
Ila actual probability tunamwachia mhusika mwenyewe...ndiyo maana watu wote wanaotumia principle hii hawanaga haja ya kukimbizana na nyendo za wake au GF zao...
Babu DC!!
siyo najisikia vibaya sababu kani-harass... najisikia vibaya kwa nini kanitongoza. hata kama kaja kwa upole kiasi gani.... kwa nini anitongoze na wakati anaona nina kufuli vidoleni? kanionaje mpaka kanitongoza?
Asante babu Dark City kwa michango yako mizuri; ngoja nitaanza kuweka record ninatongozwa mara ngapi kwa miaka 5, maana nikisema kwa mwezi obvious nitachemsha! LOL
Lakini mitongozo ikizidi kwa mmama wa heshima zake huoni kama inaashiria u-easy fulani? Na huyo mama kuweka complain hiyo kwenye kikao she has a lot of guts eeh.
ha haaa, rafiki ngoja nikununulie recorder, lol! sipati picha..... unaweza ishia njiani kuhesabuAsante babu Dark City kwa michango yako mizuri; ngoja nitaanza kuweka record ninatongozwa mara ngapi kwa miaka 5, maana nikisema kwa mwezi obvious nitachemsha! LOL
Lakini mitongozo ikizidi kwa mmama wa heshima zake huoni kama inaashiria u-easy fulani? Na huyo mama kuweka complain hiyo kwenye kikao she has a lot of guts eeh.
siyo najisikia vibaya sababu kani-harass... najisikia vibaya kwa nini kanitongoza. hata kama kaja kwa upole kiasi gani.... kwa nini anitongoze na wakati anaona nina kufuli vidoleni? kanionaje mpaka kanitongoza?
hilo ndo hasa linaloniumiza kichwa.....Exactly!
Maana hata kwa wanaume hadi akutongoze, atakuwa na matumaini walau hata 30% ya kukubaliwa; so hadi kukuapproach mke wa mtu kuna kauhakika kiasi kuwa unaweza cheat.
lakin ukweli ni kwamba, kama mama hatongozwi kwasababu ya kulongwa na amethibitisha basi kweli mumewe kamkosea manake huko ni kumtia nuksi mkewe na mbaya zaid si kwa wanaume tu bali hata kwa wanawake wenzie kwamba anaweza kukosa mvuto kazini, nyumban, njian na popote pale.
.
ila kama hatongozwi kwasabab hana mvuto ni jambo jingine.
so far kwangu mimi natafsiri, mtongozo kwa mtu mzima wa makamo yangu kwa maana mbili ya kwanza ni mvuto tu ambao mwanamke anao, na huu upo tu mtu anazaliwa nao na jinsi anavyo jikeep.
ila pia kuna mtongozo ule wa kutega manati ambao mwanamke anatega makusudi ili mtongozo upite huu kwangu nauona kama ni kujidhalilisha kwa mtu binafsi.
kote kote tongoozo sio kosa ila kosa laweza kuwa ni matokeo ya mtongozo wenyewe.
Safi sana ume-eleza vizuri sana...mana mwanamke kutongozwa ni kitu cha kawaida na si dhambi, na akiwa ana uzuri kwanini asitongozwe?lakin ukweli ni kwamba, kama mama hatongozwi kwasababu ya kulongwa na amethibitisha basi kweli mumewe kamkosea manake huko ni kumtia nuksi mkewe na mbaya zaid si kwa wanaume tu bali hata kwa wanawake wenzie kwamba anaweza kukosa mvuto kazini, nyumban, njian na popote pale.

Exactly!
Maana hata kwa wanaume hadi akutongoze, atakuwa na matumaini walau hata 30% ya kukubaliwa; so hadi kukuapproach mke wa mtu kuna kauhakika kiasi kuwa unaweza cheat.