Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Purple kiukwel unanivutia sana. Yaani nahisi kukupenda sana, na ningependa uwe mpenzi wangu... Pliz P jua kwamba naongea ukwel, naomba unikubali... Naahidi kukupa mapenz motomoto, hutajutia kuwa nami...

hahaha naona umeamua kujilipua kidume!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umejuaje? Wengine kutongoza ni hobby yetu. Unataka tu umwone binti akitongozwa anakuaje..... ukiona ana mwelekeo wa kukubali na we huna mashamsham naye unajisepea zako tartiiiibu.

Na mwanamke kutongozwa sunna. Ukiona umemaliza miezi mitatu hujatongozwa, kaogee magadi. Nuksi hiyo!

naomba magadi babu mie sijatongozwa mwaka wa tano sasa.
 
Hiyo nyongeza ni ya kwako na huwezi kunipa andiko linalotamka hayo mimi nimetoa andiko kama lilivyo unless useme andiko hilo ni uongo. Si kila uombaji ni uombaji ila uombaji wa kweli lazima utunukiwe kilichoombwa.
Sa hata kama maneno yangu si kweli:biggrin:
 
naomba magadi babu mie sijatongozwa mwaka wa tano sasa.
MAGADI YAKO NI JUHUDI ZAKO, HEBU TWENDE PM MARA MOJA NIKAKUTONGOZE.

tumblr_lkt404lcWy1qivrsco1_500.gif
 
MAGADI YAKO NI JUHUDI ZAKO, HEBU TWENDE PM MARA MOJA NIKAKUTONGOZE.

tumblr_lkt404lcWy1qivrsco1_500.gif

kwahiyo nikikutana nao nafanya hivi au,ujue ntajing'ata lips,unitongoze pm loh majaribio yanaanza.
 
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.

Kumbe siku ile na wewe ulikuwepo kwenye kile kikao
Si umeiyona ile sura na mdomo wa mlalamikaji ulivyo chacha atatongozwa nani
 
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
Kudadadeki!
Mwambie ampe na mai wife hiyo dawa ili namimi niishie poz kwa akina Kipipi na Remmy
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.

Mh hii kali ya mwaka! Kaunga aliolewa na mume mchawi huyo dada?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha
Kutongozwa muhimu.....inakupa makonfo hata kama umeolewa mwenzangu.
Heheheee
Haya njoo nikutongoze baadae eeeh totoo!
:A S-heart-2:Halafu nakupendaga ingawa nimekuacha :A S-heart-2:
 
Back
Top Bottom