Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
- Thread starter
- #201
Bidada unafikiri kwetu hakuna policy kama hiyo? Hata kama mmeoana one has to resign; na pia advances zozote haziruhusiwi, lkn ni mpaka mmoja a-file a complaint. Na tungekuwa tunazifile hizo flirt hakuna mwanaume ambaye angebaki.
Ofice zimeproduce sio tu romance hata ndoa pia, hivyo siwezi ita upuuzi; ila kila mwanaume akujue wewe ni too much na ni ugonjwa wa akili kwa kweli. Ukisifiwa tu unafurahi na kuachia yote, it is disgusting.

kwanza babu ukimwona mwanamke anatoka na mtu wa ofcn kwake jua huyo mwanamke akili yake haimtoshi kisawa sawa.
kutoka na ofc mate wako?? dah kuna watu wana guts aisee!
mm huwa naipenda CARE INTL sana hii NGO bana kwenye mkataba wao umeandikwa kabisaa hakuna kutoka na mtu ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtumish mwenzio. hilo ni kosa la kufukuzwa kazi manake wanajua kabaisa mapenzi yakiwekwa ofcn hubomoa ofc kabisa.