Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
Nlishamsalimia asubuhi tulivoamka na kupata morning glory
CC: King'asti
Purple kiukwel unanivutia sana. Yaani nahisi kukupenda sana, na ningependa uwe mpenzi wangu... Pliz P jua kwamba naongea ukwel, naomba unikubali... Naahidi kukupa mapenz motomoto, hutajutia kuwa nami...
Nini mume The secretary ?
Leo nataka kukutoa out wewe na mkeo..uko tayari?
Heheheee
Haya njoo nikutongoze baadae eeeh totoo!
:A S-heart-2:Halafu nakupendaga ingawa nimekuacha :A S-heart-2:
duh kutongozwa dili....
Mtu kashaolewa, anataka kutongozwa ili iweje?
Ili afahamu kwamba nae bado wamo!! Kila mwanaume akupite utazani jini chongo!!
Kama wake wenyewe ndio dizaini hizi bora tusioe tu, tuwaachie uhuru wa kujiona "wamo" siku zote bila kumkwaza mume.
Kiranga bana sasa usipooa wafikiri ndio suluhisho??Kama wake wenyewe ndio dizaini hizi bora tusioe tu, tuwaachie uhuru wa kujiona "wamo" siku zote bila kumkwaza mume.
Sasa rafiki, ukiwa na mke hata hatazamwi kwa jicho pembe unajisikiaje? Mie nikipita na handsome man wangu nafurahia wadada wakipaliwa ama kujikwaa. Well, at least wageuze hata shingo na mie niendelee kujisikia mshindi, lol