Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Unajua ninaweza kuwa mkubwa kwako; l am not binti bwana.

em ngoja nichukue tape measure!
ahaahhahahahahhahhaa msinivunje mbavu mie!
sasa ngoja aje FP nae msikie anavokomalia shikamoo zenu ndo wote mtakaa chini!
ngoja tu wengine tujinyamaziage!
 
Last edited by a moderator:
That is the kind of people naadmire; sidhani kama kuna mtu mwingine hapo ofisini kwenu amedare kumtokea huyo dada kwa kuwa story na msimamo wake unatambulika.

Tukionana nitakupa story inayofanana na hiyo inayonihusu (l can't here maana nahisi ID yangu ishatambulika job). So story za misimamo ya wanawake inasambaa sana na men do their homeworks before approaching.

Back to mfano wako wa nyuma (watu wanne au watano kumtongoza mdada bila kujua background yake), kuna kitu kinaitwa 1st impression. Muonekano, kauli na body language speaks a lot na hiyo huchangia ktk mtu kumtamkia mdada. Vaa decent na sura ya kazi l am sure atakaye kutongoza atakuwa genuine na sio kina Asprin.
ukiona mwanamke unaambiwa umependeza ukajiachia kwa yote basi wewe ni mgonjwa wa akili,
na ukiona mtu anatongozwa ni mwanamke kisha akalegeza maungo huyu ni kichaa kabisa kama ana ndoa.

mwanamke mwenye busara unatongozwa, kisha unajibu kwa ustaarabu kabisa i cant entertain this tena unasema wazi nakuheshimu sana siwez kusaliti ndoa yangu so lets be good friends. and next time you shld not repeat this to me.

mwanaume akitoka hapo anajua wewe huwezekaniki na akirudia tena basi kauli yako ya pili inakuwa ya ukali zaid na yenye mamlaka kwake.

namkumbuka lab scientist wetu mmoja mdada alitongozwa na bosi wetu, akamweleza kwa ustaarabu sana, kisha akampa onyo. bosi hakuelewa akakaa akarudi kwa huyu bidada na maneno haya haya, bi dada akamwambia sasa usipate tabu you are the boss so choose una nifukuza kazi, utasaini barua yangu ya kuacha kazi ama utanyamaza kimya unipishe nifanye kazi bila usumbufu kutoka kwako.

sasa bosi ilibidi apime, akimfukuza kazi atasema kosa gani?? je kama bidada kesha sema nilimtaka itakuwaje?? na mpaka nimfukuze lazima barua yake iende ngazi za juu je sababu itakuwa ni ipi ilihali binti ni mchapa kazi na ndo kichwa hapa ofcn??

je akiresign atasema sababu ni ipi?? je kwenye hiyo barua akisema ni usumbufu unaotoka kwangu itakuwaje??

ikabidi amruhusu afanye kazi kwa uhuru na amani na mpaka leo bosi huwa hakohoi mbele ya huyu bidada.
 
Last edited by a moderator:
em ngoja nichukue tape measure!
ahaahhahahahahhahhaa msinivunje mbavu mie!
sasa ngoja aje FP nae msikie anavokomalia shikamoo zenu ndo wote mtakaa chini!
ngoja tu wengine tujinyamaziage!

Tuscan birth certificates kule faragha ndipo mtakapotupa shikamoo tunaostahili! LOL
Yaani ka@fp kwa mwaka 89 ndo kadai shikamoo; nofudgingway!
 
Last edited by a moderator:
Vitabu vyote vimeandika tusikaribie zina kwa hio zina na kutongozwa na vitu viwili tofouti.

Nini mana ya kutongozwa; Kutongozwa kunaweza kutumika kama wanavyo sema mitaani siku hizi kusomesha au kumwaga sera, yani mwanamke anaweza kwenda kumtongoza mwanamke kama hivi, Unajua Angel we ni mzuri sana kuliko yule jirani yetu Rubecca na mama anataka kwenda kumposea brother wangu, lakini brother wangu kavutiwa sana na wewe unasemaje alete uchumba kwako! Sa hapo kosa liko wapi.

Haya mfano mwingine.

Fazaa ana mtogoza Juhaina

fazaa; Jiji unajua wewe ni mzuri sana yani nilipo kuona tu nikaona bora nisimame kwanza kukuuliza una mme au huna?

Juhaina; Fazaa shika dabu yako usinisogelee kabisa.

fazaa; Jiji kwani kukusogelea au kutongoza dhambi? Je we ni mke wa mtu

Juhaina; Hapana si mke wamtu na kuhusu kutongoza ndio dhambi, hukusoma vitabu vya dini vinasema usisogelee zina

fazaa; Jiji au namdekesha tena hapo kumuita Juju hivi zina nini ni haswa?

Juhaina; zina hata kusikia sauti ya mwanamke ni dhambi, na kumtazama zaidi ya mara mbili au kwa kumtamania?

fazaa; Mhhhm basi mimi na wewe hapa tumeisha zini au? na vipi vitabu vya dini vinasema nini unaruhusiwa kutazama au? mimi nadhani unaruhusiwa kutazama sema usizoee au usitazame mara mbili tena kwa nia mbaya...sidhani ukitazama kwa nia nzuri kosa, na mimi nime tazama mara moja tu, na hata nikitazam mara kumi as long na nia nzuri sidhani kama kosa...ujumbe wangu ndo huo je ni zina hio.

Juhaina;Mhhhm sijui niseme nini

fazaa; nilete posa au?

Juhana; Kakimbia na sikujua kakusudia nini?

Je nimezini hapo au nimefanya kosa gan...Nikaenda kwa wazee nikasema kisa ni hicho, mama akacheka akasema ujuwe kisha kupenda yule bint, we peleka posa-posa nikapeleka imekubaliwa na salimkabora kaja kula halua msikitini...afu akabaki anashangaa...Yule bint nilikuwa nampenda sana fazaa kamuoa yote ujinga wangu nimezubaa...hapo unaumia ndani kwa ndani kwenye moyo wake, nani anapata dhambi hapo ni mimi au salimkabora :biggrin:

Mfano wa tatu

Mwanaume anamtongoza mwanamke, mwanamke anamkubalia wana sex hapo ndo dhambi, mwanamke akimkatalia hakuna dhambi hapo hata siku moja na atakaye sema ni dhambi ni mtu hajui dini kabisa.


Hapo ndo mnakosea mwanamke ni kiumbe ameumbwa tofouti na mwanaume, mwanamke asipo tongozwa anajiona kama ana kasoro vile...na hasa kama alikuwa mzuri kabla ya kuolewa, sa akiona kama hajatongozwa anajiona kapoteza uzuri wake ndo mana anakuwa anawasi wasi.

Afu huyo mwanamke inawezekana wanawake wenzake wakikutana naye wanamsifu mzuri anaona vipi yeye mzuri bado na hakuna mwanaume kamtongoza, hata kama ni mke wa mtu unless kuna uchawi tu.

Nakuliza wewe una mke huna? Kama una mke, hivi mke wako hajawahi kutongozwa na wanaume wengine bada ya wewe kumuoa? Unless uwe unaishi Saud Arabia labda:biggrin:

FYI mwanamke siku zote target yake kuvaa vizuri awe mke wa mtu asiwe mke wa mtu, nikutaka kuonekana yeye ni mzuri hata kama mwanamke katulizana na ana adabu zake, asipo tongozwa pia anajiona kama ana kasoro flani vile :biggrin:

WEWE NI MUISLAM sio, hukusikia kile kisa cha yule mwanamke alimfata Prophet Muhamamd akasema nimekupenda nataka unioe, na prophet Muhamamd akamtazama hakumpenda aka kaa kimya, si aliruka jamaa kule akasema ya Rasul Lah, ikiwa wewe huna haja naye niozeshe mimi? Sa huyo mwanamke utasema alienda jitongozesha kwa mtume Muhammad? Yani ni malaya? Leo akitokea bint akakufata akasema niowe si utasema ni malaya kutokana na akili zenu.

Nyie wa Islam wengine ndio mnaharibu Uislamu kujidai kila kitu kosa, dini inakusudia mingine nyie mnakuja na mingine:biggrin:
Usilete mambo ya akili zako hapa lete andiko linalosema ni faraja mke wa mtu kutongozwa wakati hata vazi lenyewe ni la kumficha mwili mzima unless awe ndani kwake na mumewe. Kuhusu mwanamke kujitongozesha kwa Mtume hilo sio suala la daraja ya mwanadamu kama wewe. Mitume ni viumbe wa daraja ya juu na ndio walioyaleta maandiko na tafsiri zake na walikuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Mwenyeez mungu kufanikisha ujumbe wao na mungu mwenyewe alikuwa akiwainulia kila chenye msaada kwao kufanikisha kazi zao na hapo hapo shetani nae alikuwa akiinua watu wake kukwamisha kazi za mitume. Waweza kutoa sababu kwanini alimkataa?
 
Aah wapi hakuna cha ukame wala nini, tena ninyi mliokulia kipindi hakuna HIV (kama wewe kweli ni mmoja wao) mlifaidu sana.
Sasa hivi mavazi tu na beauty enhancement ndizo zinazosaidia lkn wakivaa birth suit zao ni the same tena wa enzi zenu walikuwa natural (kuku wa kienyeji).

Kweli Kaunga,

Kuna baadhi ya vitu kweli tulifaidi ila bado kuna baadhi ya maeneo ambayo tunahisi kwamba vijana wanatupiga bao.

Mfano, sisi ilitubidi kutumia nguvu nyingi sana katika uwindaji ingawa ilikuwa na raha zake. Ila siku hizi nasikia baadhi ya midume inawindwa!
 
Last edited by a moderator:
That is the kind of people naadmire; sidhani kama kuna mtu mwingine hapo ofisini kwenu amedare kumtokea huyo dada kwa kuwa story na msimamo wake unatambulika.

Tukionana nitakupa story inayofanana na hiyo inayonihusu (l can't here maana nahisi ID yangu ishatambulika job). So story za misimamo ya wanawake inasambaa sana na men do their homeworks before approaching.

Back to mfano wako wa nyuma (watu wanne au watano kumtongoza mdada bila kujua background yake), kuna kitu kinaitwa 1st impression. Muonekano, kauli na body language speaks a lot na hiyo huchangia ktk mtu kumtamkia mdada. Vaa decent na sura ya kazi l am sure atakaye kutongoza atakuwa genuine na sio kina Asprin.

Una utani na Mzee mwenzangu Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Kuna njia nyingi za kutongoza unajua; halafu sitafurahi naye akilalamika mkewe kamroga. LOL

Ndiyo maana nikamwita aje afanye interpretation ya maandishi yako.

Si unajua wenzio macho yetu yamekaa ki-1947....lol!
 
that is the kind of people naadmire; sidhani kama kuna mtu mwingine hapo ofisini kwenu amedare kumtokea huyo dada kwa kuwa story na msimamo wake unatambulika.

Tukionana nitakupa story inayofanana na hiyo inayonihusu (l can't here maana nahisi id yangu ishatambulika job). So story za misimamo ya wanawake inasambaa sana na men do their homeworks before approaching.

Back to mfano wako wa nyuma (watu wanne au watano kumtongoza mdada bila kujua background yake), kuna kitu kinaitwa 1st impression. Muonekano, kauli na body language speaks a lot na hiyo huchangia ktk mtu kumtamkia mdada. Vaa decent na sura ya kazi l am sure atakaye kutongoza atakuwa genuine na sio kina asprin.
abomination!!
 
Back
Top Bottom