snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Mkuu na wewe umerogwa?hutongozwi?
si ndio na mi nashangaa !
hahahahahahhhahhhhhhhhh uwii ikujua i see kuwa uchawi una kazi nying hiv!
Mkuu na wewe umerogwa?hutongozwi?
Good for you.
Wewe utongozwe hadi na teens halafu ujisifie una mvuto; kweli?????
Da Mkubwa Kaunga leo umenichekesha asubuhi asubuhi.............................akhaa kuwa mume kamroga asitongozwe!! Duniani vituko haviishi.
Purple kiukwel unanivutia sana. Yaani nahisi kukupenda sana, na ningependa uwe mpenzi wangu... Pliz P jua kwamba naongea ukwel, naomba unikubali... Naahidi kukupa mapenz motomoto, hutajutia kuwa nami...kumbe kutongozwa deal mjini enh? haya nakaribisha mitongozo kwa moyo mkunjufu:A S-heart-2:
Yaani mwenyewe nilipigwa na butwaa kwanza halafu nikaangua kicheko. Yaani nyumba hizi asikwambie mtu; yanayosimuliwa humu hata 1/8 hayafikii pamoja na u-anonymous wote.
Hujambo lakini?
Umejuaje? Wengine kutongoza ni hobby yetu. Unataka tu umwone binti akitongozwa anakuaje..... ukiona ana mwelekeo wa kukubali na we huna mashamsham naye unajisepea zako tartiiiibu.You never know. Kuna mtu aliambia, "kaunga sio kila mwanaume anayekutongoza anakutaka; we do that because it is expected of us to do so". Hivyo nafikiri 'it is expected of women kutongozwa'. So Kiranga just be a gentleman and tongoza some chicks hata kama you don't mean it kwani haitasumbua coz na mdada anategemea kutongozwa tu bila kwenda all the way! LOL
The Boss na Asprin wanafahamu hii kwa uzuri.
Mwanamke kama hatongozwi nayo noma, ana haki ya kulalamika kwanini hatongozwi:biggrin:
Kutongozwa kwani dhambi?
Ku sex nje ya ndo ndio dhambi:A S shade:
Na hapo hapo kumbuka, si kila ukiomba utapewa na si kila ukigonga utafunguliwa:biggrin:Umesahau aombaye atapewa na agongaye atafunguliwa?
Na hapo hapo kumbuka, si kila ukiomba utapewa na si kila ukigonga utafunguliwa:biggrin: