Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.

Inaonyesha huyu mama si mwaminifu kabisaaa ni mcheza rafu mbaya nje ya ndoa... Inaniuma sana ingawa si wangu.
 
Sa hata kama maneno yangu si kweli:biggrin:

Simu ikitoka kiwandani leo inaongozana na manual yake ya jinsi ya kuioperate huwezi kuingia kwenye menu yoyote kwa akili yako tofauti na mtengenezaji alivyoelekeza ukataraji kupata matokeo yaleyale. Mwanadamu ni kifaa kilichotengenezwa na mungu naye ametoa munual yake namna ya kumfanya aenende juu ya nchi; namna yake ya kuhusiana na wengine, namna yake ya kupata riziki, namna yake ya kupata mafanikio mengine, nk. Huwezi kuweka akili zako hapo katikati na bado ikawa sawa. Yeyote aombae ni lazima apate akikosa hajaomba inavyotakiwa na kwa hiyo maneno yako hayawezi kuwa kweli.
 
Simu ikitoka kiwandani leo inaongozana na manual yake ya jinsi ya kuioperate huwezi kuingia kwenye menu yoyote kwa akili yako tofauti na mtengenezaji alivyoelekeza ukataraji kupata matokeo yaleyale. Mwanadamu ni kifaa kilichotengenezwa na mungu naye ametoa munual yake namna ya kumfanya aenende juu ya nchi; namna yake ya kuhusiana na wengine, namna yake ya kupata riziki, namna yake ya kupata mafanikio mengine, nk. Huwezi kuweka akili zako hapo katikati na bado ikawa sawa
Ukienda kwenye dini usije kukibia takushinda tu....Hebu niletee kitabu gani cha Mungu kinasema kutongozwa dhambi au unataka kujiletea tu maneno ya kwako:A S shade:
 
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
yaani watu wana vituko!
nimecheka mpaka basi.....
kuna kakangu aliwahi kusema siku mkewe akimwambia fulani kanitongoza ndo siku patakapochimbika, kwa madai kwamba huyo alimkataa ndo maana kaja kusema. mbona anaowakubali haji kuwasemea!
Jamani kumbe kutongozwa dili kiasi hiki? lol!
 
Ha ha ha ha
Kutongozwa muhimu.....inakupa makonfo hata kama umeolewa mwenzangu.
yaani mimi nipo tofauti na wewe
nikitongozwa huwa inanipa shida sana.....
najiuliza ni kitu gani kimetokea? yaani pamoja na kuniona na kufuli zangu kwa kidole bado ananitongoza!
nakosa amani kwa kweli
 
amemiss kupigiwa misele,kuimbiwa verse na kudanganywa....


Utamu wake si unaukumbuka??

Tukiacha upande mwingine wa hadithi, mwanamke ambaye hatongozwi kabisa wala kuminyiwa jicho simtaki hata kwa kurumangia...lol!!

Ni sawa na kwenda restaurant, ukaagiza chakula na kati ya majirani zako, hakuna anayekurushia rushia jicho...

No please..... That's why I miss my 1947..lol!!

Babu DC!!
 
Mimi ninaiona ni kiu tu ya kukubalika au kutamanisha (desirable) . Kwani sidhani kwamba one can be with kila anayemtongoza, ile feeling ya kuwa desirable kwa watu wengine zaudi ya watu wetu huenda ina pandisha confidence level.
Kuna baadhi ya wenzi nitasemea kina baba, wanajisikia kuwa wamechagua kitu bomba pale ambapo jamaa wengine wanawatolea macho wake zao.

Hapa sasa umepatia kabisa Kaunga,

Karibia wanaume wote wanajisikia faraja sana kuwa na mwanamke wambaye anaweza kuvutia wanaume wengine


Yaani utembee kama 2km na huoni mtu anamwangalia mkeo au GF, .....yaani unaweza kuhisi umeokota kibudu aisee!!

Wanaosaliti ndoa zao wanaanza hivyo hivyo.

Wanataka kuwa desirable tu, si zaidi.

Mara kijana mtanashati kampigia mbinje, mama anasema "kijana mtanashati kweli, ngoja nimsikilize tu, sifanyi zaidi".

Mara kijana katoa offer ya dinner, mama anajisemea kimoyomoyo "dinner tu, tena kijana mwenyewe mtaratibu sana haelekei hata kuwa na makuu".

Mara dinner inakwenda na wine.

Mama anasema "ni wine tu, hata Yesu alikunywa divai".

In Vino Veritas.

Mara kushikana mikono, kugongeana.Mazungumzo yananoooga, mama anajisikia yuko wingu la saba.

Mara anaongeza glasi, na glasi.Mara "blame it on the al al al cohol".Kijana anajichukulia mzigo kirahisi.

Mama anasema "what he doesn't know will not hurt hubby"

Anasaliti. Anagundulika.Talaka!

Jiepushe.

Uamuzi wa mtu kucheat unakuwa ulishafanyika hata kabla hajatongoza/kutongozwa

Hayo mengine itakuwa ni visingizio tu.....

You never know. Kuna mtu aliambia, "kaunga sio kila mwanaume anayekutongoza anakutaka; we do that because it is expected of us to do so". Hivyo nafikiri 'it is expected of women kutongozwa'. So Kiranga just be a gentleman and tongoza some chicks hata kama you don't mean it kwani haitasumbua coz na mdada anategemea kutongozwa tu bila kwenda all the way! LOL
The Boss na Asprin wanafahamu hii kwa uzuri.

Hujakosea kabisa Kaunga......

Lazima mara moja mtu ufanye test kama skills zime-expire au la.....

Tatizo ni kung'ang'ania......

Kuna wengine hata wakikuangalia tu, wanakuwa wameshamaliza zoezi..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ukiona demu wako anatongozwa na watu zaidi ya kumi elewa kuwa demu wako mzuri anawatoa udenda wanaume wakware.

Na hapo mwenyewe Fidel80 unavimba bichwa na unabadilisha mwendo kama Mkongomani anapiga show ya ndombolo ya solo au kimbindankhohi...lol!!

Mwanamke asiyekatiwa shingo ni hapana aisee!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ukienda kwenye dini usije kukibia takushinda tu....Hebu niletee kitabu gani cha Mungu kinasema kutongozwa dhambi au unataka kujiletea tu maneno ya kwako:A S shade:
Unajaribu tu kuleta ujinga humu kwa sababu hakuna kitabu hata kimoja kinachoongelea mambo ya kutongazana bali kuna kuposa na kuoa na havifanyiki uchochoroni baina ya watu wawili mbali na macho ya mashahidi ila watu wanatongoza kwa shingo zao ngumu na kuiandama zinaa. Kusema ukitongoza utapewa haina maana imeruhusiwa ndio mana vimewekwa mbele yako uzima na mauti na ni juu yako kuchagua. Huko kwenye dini tuko hapa tuliopinda hebu tupige mbio humu tuone nani anaingia mitini
 
mi nimeuliza tu,unamuogopa Mtambuzi.
Hapana, tatizo unanitia majaribuni bana.

734417_608081055874413_1613308365_n.jpg
 
Utamu wake si unaukumbuka??

Tukiacha upande mwingine wa hadithi, mwanamke ambaye hatongozwi kabisa wala kuminyiwa jicho simtaki hata kwa kurumangia...lol!!

Ni sawa na kwenda restaurant, ukaagiza chakula na kati ya majirani zako, hakuna anayekurushia rushia jicho...

No please..... That's why I miss my 1947..lol!!

Babu DC!!
wewe babu unajua adha za kutongozwa? hasa kama ni mke wa mtu?
Ingewezekana ningeamuru ubadilishwe kuwa mmama wiki moja tu utongozwe uone kasheshe yake
 
Back
Top Bottom