fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
Tunarudi pale pale.Nimeuliza andiko linalotoa ruhusa mwanamke kujichanganya na wanaume ili atamaniwe au atongozwe zaidi ya kutosheka na matamanio ya mumewe. Nijuavyo mimi mda wote mwanamke anatakiwa kutia akilini jambo hili kwamba ni lazima ajipambe na ajirembe kwa minajili ya mumewe pekee. Kwanini basi kivazi cha mwanamke ni cha kuficha maungo? hicho unachotaka akakionyeshe kwa wanaume wengine ni baibui au nikab? Unataka undani gani ujulikane zaidi ya kwamba mtawatambua kwa matunda yao? matendo ni matokeo ya kilichomo nafsini na kutaka kutongozwa hadi inakuwa kesi na vikao ni tunda ovu na chafu huhitaji kutafakari kilichoko rohoni pa mwanamke yule. Mbali ya hilo nimesema toa andiko mimi natoa maandiko wewe unaleta ngebe tupu na maandiko yasiyohusika
Ukifata akili kama hizo hutaruhusu hata mke wako afanye kazi, nakuliza vipi wanawake wanao jipamba wanaenda kazini wote wameisha zini au..mana wengine wanajipamba pale wanaenda kazini kuliko wakiwa na wanaume zao:wink:
Afu nakuliza unajua vipi kama huyo mwanamke alilazimishwa kuolewa na huyo mwanamme? Sa labda anajitafutia mme mwingine ambaye nafsi yake itaridhika nae, afu aombe talaka kwa huyo mwanaume au nayo kosa:biggrin: