miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
usijali kuwa mpole tu
uko vizuri sana, very straight madame...Mlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda six anaishi kama mnyama? Samahani.
This is definitely me.
Hii tabia kaanza kabla ya ndoa au baada ya ndoa.Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
ameshaona..badae utajuta kwa kumdhalilisha JF