Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 779
Ndugu upoo?? Aisee nimekua busy imebidi nipitie bandiko lako moja baada la lingineHivi nitamwamkiaje mume wangu? Kama unataka nikuamkie usinivue nguo.
mh...kisa kukuvua pixhu tu ndo iwe shida !!!! makubwa !!! Ila mm nilimuona mama akimwamkia baba kwa kiluga kila baba akiamka hukoo kijijini kwetu kolomije.Hivi nitamwamkiaje mume wangu? Kama unataka nikuamkie usinivue nguo.
Yaani, si kuoa tu, fikiria unakwenda chuo baada ya kuoa, huko hutatandika kitanda, hutapika, jamani msijiendekeze. Yota haya yanasababishwa na umasikini. Kama tungetakiwa kuwalipa wafanyakazi wa ndani kima cha chini cha mshahara wangapi hapa wangeweza kuwa na wasaidizi. Mkitoka kazini mnagawana majukumu, mmoja anapika mwingine anapiga pasi nguo za kesho.Yaani mimi hizi kazi ndogo ndogo hua siwazi kabisa, making the bed, kupika kifua n.k yaani nikiwa na nafasi nafanya bila kinyongo hata kama nipo na mwanamke ndani
Ila inategemea na malezi, mzee wangu alikua bandindu sana.. Licha ya kua na uwezo alitulea ki maadili sana, nakumbuka tulikua na wasichana wawili na kijana mmoja wa kazi ila likizo sisi ndo tulikua tunapiga kazi karibia zote
Mfumo dume ulishakufa kwa wasomi, so making the bed is just one simple chore
Btw, Evelyn Salt yupo???
Mabandiko ya sasa ni porojo zaidi bwana.Ndugu upoo?? Aisee nimekua busy imebidi nipitie bandiko lako moja baada la lingine
Yale mapenzi ya wazazi wetu yamepita mkuu, siku hizi wanawake ndinga tunanunua wenyewe, na tukichelewa tusiulizwe tunatoka wapi, kuna mambo mengi makazini, seminar elekezi na mikutano.mh...kisa kukuvua pixhu tu ndo iwe shida !!!! makubwa !!! Ila mm nilimuona mama akimwamkia baba kwa kiluga kila baba akiamka hukoo kijijini kwetu kolomije.
Mkuu exposure ni ndogo wengi wetu, nlienda Colorado kwa muda nikashangaa sana, wenzetu haya mambo ya kua na wafanyakazi hawana, so kazi za nyumbani mtafanya wote mkitoka mihangaiko, and gender doesn't matter at allYaani, si kuoa tu, fikiria unakwenda chuo baada ya kuoa, huko hutatandika kitanda, hutapika, jamani msijiendekeze. Yota haya yanasababishwa na umasikini. Kama tungetakiwa kuwalipa wafanyakazi wa ndani kima cha chini cha mshahara wangapi hapa wangeweza kuwa na wasaidizi. Mkitoka kazini mnagawana majukumu, mmoja anapika mwingine anapiga pasi nguo za kesho.
Haha, stories za ma shosti ukapunguza siku iziMabandiko ya sasa ni porojo zaidi bwana.
Kabisa mkuu, ndiyo maana kuna dish washer, washing machine, microwave, kettle na vinginevyo.Mkuu exposure ni ndogo wengi wetu, nlienda Colorado kwa muda nikashangaa sana, wenzetu haya mambo ya kua na wafanyakazi hawana, so kazi za nyumbani mtafanya wote mkitoka mihangaiko, and gender doesn't matter at all
Nilikula visuto, walikuja kufahamu siri zao ni public properties za JF, πππHaha, stories za ma shosti ukapunguza siku izi
Mama alikuwa senior clinical officer ,ila alikuwa anamwamkia mkuu.... # mshua headmaster wa olevel ..,but they have been living a happily life ever.......Yale mapenzi ya wazazi wetu yamepita mkuu, siku hizi wanawake ndinga tunanunua wenyewe, na tukichelewa tusiulizwe tunatoka wapi, kuna mambo mengi makazini, seminar elekezi na mikutano.
Binafsi nikiwahi kutoka kazini hua napendelea sana kupika... Nina kaka yangu he has a big job, nje huko anaogopeka sana ila ukimkuta nyumbani yupo jikoni anakaangiza mambo, mke kapumzika sitting anashusha wine baridiKabisa mkuu, ndiyo maana kuna dish washer, washing machine, microwave, kettle na vinginevyo.
Atakuwa alipata utapiamlo utotoni. Huyo mgawe buuure.Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Haha, pole sana sky!! Aisee ilikua unatupa burudaniNilikula visuto, walikuja kufahamu siri zao ni public properties za JF, πππ
[emoji4][emoji4][emoji4]Hapa dawa ni mume kuongeza mke, maana mmoja ni mzembe
Kiuhalisia, mke mmoja hudumaza akili
Hayo ndiyo mapenzi, West Africans first date atakupeleka restaurant, ya pili lazima akupikie nyumbani kwake, kama itatokea ya pili.Binafsi nikiwahi kutoka kazini hua napendelea sana kupika... Nina kaka yangu he has a big job, nje huko anaogopeka sana ila ukimkuta nyumbani yupo jikoni anakaangiza mambo, mke kapumzika sitting anashusha wine baridi