Mume wangu huwa hatandiki kitanda

Mume wangu huwa hatandiki kitanda

Sikumbuki lini nimetandika kitanda mara ya mwisho. Nadhani ni Zaidi ya miaka 10 iliyopita. Katika kazi ambayo nilipooa nilistaafu rasmi ni kutandika kitanda na ukitaka nihamie kwa mchepuko mke arudishe ilo jukumu kwangu
 
Sasa kitanda kimewakosea nini mpaka kitandikwe?? Labda fimbo za kukitandika ndio zimeisha..tafuta fimbo mpya zisizokatika kirahisi ili aweze kukitandika vyema!!


[HASHTAG]#StressZaMakinikia[/HASHTAG]
 
Mwambie acpotandika kitanda humpi unyumba uone km hatatandika tena
 
Imekaa njema hiyo dada ake jamaa inaonekana hana michepuko angekuwa na michepuko kwa uvivu huo asingekubali kulalia kitanda vululu vululu
 
Utakua na shuka zile za bei rahisi, mbona kitanda changu shuka haziwi vuluvulu... Na hazichomoki kitandani
 
Kikale. Naomba Mimi nimtetee.Kwanza no body knows her Hubby, so why saying all these?? Ametoa dukuduku linalomkera.Ni afadhali Yy kasema kuliko wangeanzishana vagi.Ushauri aloupata ataufanyia.kazi, but usilazimishe apende kusema utakacho.Wanawake wanaume Ni tofauti .Malalamiko yenu Na yetu Ni tofauti...madogo kwenu sisi makubwa, huwezi ibadili nature.So Eti Sijui Facebook.Iyo umesema Wewe.
Hajaomba msaada wa ushauri ila yeye kaja kutueleza tabia za mumewe...What I can say in simple way...wewe na yeye hamjafundwa huko kwenu...na maadili yenu zero
 
Bora Huyo kuna wengine ni mabingwa wa kutupa tupa nguo soski chumba kinakaa vibayaa
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
shoga huyo kama wangu, aisee huwa nakereka
 
unawahi kuamka sawa.

je unaendaga wapi ?
kwani nani anaingiaga huko chumbani kwenu mpaka uhofie huo uvululuvululu ??
alafu wewe utakuwa mmoja wa wasiotandika, raha ya chumba kiwe smart bwana haijalishi nani anaingia au haingii
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Inaonekana hukupitia kitchen party
Ananiudhi!!
 
Kabla hamjaolewa mnajifanyaga mabingwa sana wa kutandika vitanda kwenye mageto ya wanaume zenu, mnafua sanaa boxer kupika ndio usiseme. Mkiolewa mnaanza kulalama oooh mume wngu hatandiki ooooh hafui boxer..

Mnapanda bangi alafu mnategemea kuvuna Mihogo.
Ahahah mkuu hili ndio jibu sahihi...kwa huduma hizi pamoja na kufanya usafi ndio maana tunavutiwa kuoa. Kumbe wanapalilia ndoa wakishaolewa wanalalama.

Ampe ruhusa housegirl akatandike
 
Ndo mambo ya kuleta huku mamy!!!

Wanaume ni wavivu kufanya shughuli za ndani na wengi wao wapo rough sana na sio organized! Usichoke kumtandikia, kama vipi unamuoma akusaidie kushika upande mmoja, akikuabali wiki nyingine tena unamuomba... Baada ya mda atatandika tu mwenyewe.
 
Watuabisha wanawake wenzako kwan ww hujui majukum ya mke??

Kesho usije ukasema mume wangu hajui kupika ananiudhiii
 
Watuabisha wanawake wenzako kwan ww hujui majukum ya mke??

Kesho usije ukasema mume wangu hajui kupika ananiudhiii
Ni jukumu lake Ila Ndo kitanda kisubiri(kiwe vululuvululu) hata kama aliachwa kitandani kalala?
Sometimes mwanaume ajiongeze.ka mwanamke kaondoka atandike tuu,sio kusubiri atandikiwe.
 
Back
Top Bottom