You must be too young to loose that appetite....Kwahiyo aliolewa ili akakuze watoto?
Yeye hana hisia?
Babu na Bibi zetu waliishia kusema 'kitanda hakizai haramu' baada ya kujaribu kila mbinu ikashindikana kuwa na mke na mume mmoja tu wa ndoa. 40% ya watoto wote duniani sio wa baba zao wanaowafahamu. Hakuna anayekutenda ila unajitenda mwenyewe dadaMwache alielie shauri lake [emoji23] [emoji23]
Ninaongea,tunagombana anatulia kwa muda baadae anaanza
Dah!huu ndio ushauri ambao ameomba au?
I thought that is the thing of the past for you[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huo ndiyo ukweli.
Uamuzi ni wake, abaki kuishi na ****** au aachane Mae atafute rijali waone. Ambao dunia ya sasa wanapungua kila kukicha.
Nimeupenda ushauri wako. Watu wengi hatujui kuwa kila kitu hapa duniani kinaanzia ktk ulimwengu wa kiroho kabla ya kudhihirika ktk ulimwengu wa kimwili.Piga goti sana ukiomba Mungu ndo pekee anaweza kumbadilisha mume wako.Usichoke kumuombea mwenza wako na Mungu atasikia maombi yako.Zaidi ya hapo huwezi kupata msaada kwa binadamu juu ya kuchepuka na kutokukuridhisha mume wako.
Ninaongea,tunagombana anatulia kwa muda baadae anaanza
Pole sana...njoo dm tuyasolve...![]()
Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.
Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.
Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!
Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Ndio hapo sasa!!!Kwanini lakini alilie na kuhangaishwa na mbouo moja, ina maua? Ina nchi ngapi sijui.....
Two wrongs does not make one rightDawa ya moto ni moto,tafuta wa kukutuliza wewe mwenyewe binadamu mbona tunatesana hivo.
Mwenzio anakula bata wewe unaendelea kulilia mapenzi.
haya mambo ya vumilia tu ndo uwa siyataki kabisa.... we uvumilie tu mpaka lini kama yeye kashindwa kuvumilia.. tit for tat sema inabid ucheze kwa step makini sana zaidi ya makinikia..vumilia dada, atakuja tulia tu, unakumbuka uliambiwa kwenye ndoa kuna mabonde na milima, usizanie kila siku mambo yananyooka tu kwenye ndoa.