Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

kidumba

Member
Aug 16, 2013
56
125
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Weww unachezea watu akili hizi post zako hizi

Najuta kumpenda mwanaume asiyenipenda mwenzenu, naombeni ushauri wenu wadau
 
chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
1,500
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Njoo PM nikupe ushauri safi na hatarudia tena
 
Brightfame

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,179
2,000

Nunua sex- toy, lina uwezo wa kukukojoza mpaka basi.
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
564
1,000

Pole sana kuna kipindi ulikuwa unatafuta Mme humu ndani bila shaka ujio wa tatizo hili la sasa limeniaminisha kuwa tatzo la kwanza lilitatulika vyema , sasa tatzo huleta tatzo nimeamini

La kufanya jalibu kumbadilishia lishe kwa wiki mzima mlishe matunda yenye maji maji kwa wingi , matunda yenye nyuzi nyuzi
Itamsaidia kutoa sumu na mwili kuwa mwepesi na akili itakuwa sawa
Atakufulaiya maana ataona kama kuna kitu umemtibu mwilini mwake

NB MWANAUME NI SIMBA UKIMCHOMOA MWIBA MGUUNI ATAKUPENDA ZAID
 
Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
1,781
2,000
Dawa ya moto ni moto, ila hata maji yanazima, so usijijengee fikra kichwani kwamba huridhishwi
tuambiane tuu ukweli, huku haukufuata ushauri wa tatizo lako, hata kwenye kichwa chako kuna solution tayari (hypothesis), nayo ni kuchepuka ila umekuja tuu ku prove kama ni sahihi au laa!!., usifanye hivyo, umeolewa wewe, bado tunaishi kwenye mfumo dume, cheza game kwa akili, hata ukienda kugawa kwa mtu mwengine hutokuja kuacha, quote me, nasemaje hutokuja kuacha, yaani utakuwa ume install, cheat kama sehemu ya maisha yako, hata siku imetokea mumeo kakutungua vizuri (sorry for blunt word) huto feel yaani comment itakuwa ni ileile tuu, KABORONGAA:D:D:D:D:D:D:D
 
Edzone

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,038
2,000
Vumilia y
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Yanapita tu.
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,488
2,000
Dawa ya moto ni moto, ila hata maji yanazima, so usijijengee fikra kichwani kwamba huridhishwi
tuambiane tuu ukweli, huku haukufuata ushauri wa tatizo lako, hata kwenye kichwa chako kuna solution tayari (hypothesis), nayo ni kuchepuka ila umekuja tuu ku prove kama ni sahihi au laa!!., usifanye hivyo, umeolewa wewe, bado tunaishi kwenye mfumo dume, cheza game kwa akili, hata ukienda kugawa kwa mtu mwengine hutokuja kuacha, quote me, nasemaje hutokuja kuacha, yaani utakuwa ume install, cheat kama sehemu ya maisha yako, hata siku imetokea mumeo kakutungua vizuri (sorry for blunt word) huto feel yaani comment itakuwa ni ileile tuu, KABORONGAA:D:D:D:D:D:D:D
Kweli kabisa, yawa kama kaja JF apewe moyo afanye ufuska wake...
Nina uhakika hata mume akisimamia vidole haitasaidia, akilini kwa huyu mke ni kwamba jamaa kaputi kabisa kitandani...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom