Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

vumilia dada, atakuja tulia tu, unakumbuka uliambiwa kwenye ndoa kuna mabonde na milima, usizanie kila siku mambo yananyooka tu kwenye ndoa.
Kucheat na kutomfikisha mks nalo ni BONDE???Hapana naamini WAHENGA hawakumaanisha Bonds ndo hilo
 
Utamvumilia hadi Lin ...mathalaani umegundua anachepuka...ni wakat wako wakufuata nyayo
 
Ndoa hizi jamani [HASHTAG]#Poleee[/HASHTAG]. Subra huvuta kheri [HASHTAG]#Wahenga[/HASHTAG]
 
Mwanamke mwenye hekima huilinda na kuipigania ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe..mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
yani unampa mpaka 0713 lakini bado anatoka nje??? hebu jaribu kumchunguza asije akawa jini...

Mimi napanda mlimani kukuombea...
Umemuuliza swali la mtego mdada wa watu,mbona kwenye vyote umetafsiri TIGO?
Ujue ana matatizo huyo mpe mawazo usimdhihaki
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg


Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Kesi ya mapenzi inamalizika kwa mapenzi pia, sio kulalamika na kusononeka. Hakuna mume wa peke yako wala mke wa peke yako. Mapenzi hapo yamekwisha yamebaki mazoea tu. Kwa ustadi mkubwa tafuta na wewe mume wa mbali kidogo akuridhishe. Hapo ndoa yenu itadumu milele kuliko kusononeka kila siku kuwa unatendwa. Wanaume woote wanachepuka wanachotofautiana ni ustadi wa namna ya kuchepuka. Kuchepuka hakumaanishi kuwa humpendi mke/mume wako bali ni kutafuta tofaiti tu ya muda kama vile mtu anavyoacha kula ugali na kula ubwabwa haimaanishi kuwa ugali haupendi. Jaribu hilo utaona, akini hakiisha kuwa hutembei na shemeji zako au marafiki na majirani zenu. Kabla ya kufanya hivyo rekebisha tabia yako kama vile uchafu wa mwili na nguo, uvivu, kununa, matumizi mabaya ya fedha, kauli chafu kama unavyo.
 
Pole.
Ondoa negative.
Kuna sababu nyingi ktk maisha zinazoleta tatizo hilo.
Tafuta njia nzuri kujenga mawasiliano kwanza.Bila mawasiliano hakuna mapenzi.
Jitahidi kuona linalowapa utofauti kuwa ndilo litakalowajenga.
Ktk kujenga kuwa mpole na mpangilio mzuri kuelekea malengo.
 
Kesi ya mapenzi inamalizika kwa mapenzi pia, sio kulalamika na kusononeka. Hakuna mume wa peke yako wala mke wa peke yako. Mapenzi hapo yamekwisha yamebaki mazoea tu. Kwa ustadi mkubwa tafuta na wewe mume wa mbali kidogo akuridhishe. Hapo ndoa yenu itadumu milele kuliko kusononeka kila siku kuwa unatendwa. Wanaume woote wanachepuka wanachotofautiana ni ustadi wa namna ya kuchepuka. Kuchepuka hakumaanishi kuwa humpendi mke/mume wako bali ni kutafuta tofaiti tu ya muda kama vile mtu anavyoacha kula ugali na kula ubwabwa haimaanishi kuwa ugali haupendi. Jaribu hilo utaona, akini hakiisha kuwa hutembei na shemeji zako au marafiki na majirani zenu
Duuuh [emoji33][emoji33][emoji33]
 
Kesi ya mapenzi inamalizika kwa mapenzi pia, sio kulalamika na kusononeka. Hakuna mume wa peke yako wala mke wa peke yako. Mapenzi hapo yamekwisha yamebaki mazoea tu. Kwa ustadi mkubwa tafuta na wewe mume wa mbali kidogo akuridhishe. Hapo ndoa yenu itadumu milele kuliko kusononeka kila siku kuwa unatendwa. Wanaume woote wanachepuka wanachotofautiana ni ustadi wa namna ya kuchepuka. Kuchepuka hakumaanishi kuwa humpendi mke/mume wako bali ni kutafuta tofaiti tu ya muda kama vile mtu anavyoacha kula ugali na kula ubwabwa haimaanishi kuwa ugali haupendi. Jaribu hilo utaona, akini hakiisha kuwa hutembei na shemeji zako au marafiki na majirani zenu
Mwache alielie shauri lake [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom