Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Nilitaka kuandika kitu kibaya. Busara imenituma kumezea.

Ndugu Ndoa Ndoana. Na ndoana ina makali yaliyo na ncha inachoma na kukung'ang'ania na kuleta maumivu makali
 
Nahisi ananifundisha hivyo na mm sioni km ni vyema

......."Kwa busara yangu kuna namna tatu za kutatua changamoto hii ,1) kugombana na kutukanana ,hakutakuwa na suluhu ya changamoto,hapa kunahitajika uashauri nasaha kwenu nyote bila kujali,kwanza kujua tatizo uoande wako na pia upande wa mumeo,ndo tiba na ushauri sahihi utapatikana.mtafuteni mtaalamubwa mambo ya ndoa,saikolojia,mshauri nasaha au mzee mwenye busara asaidie kutafuta suluhu ya tatizo hili.kwa ujumla ninyi nyote limewashinda.
2)Masuala haya yanahitaji ushauri makini kwa mshenga au mchungaji/padri kuwapa ushauri nasaha wa tatizo hili kiukweli.
3)Mtafute kati ya ndugu ambaye ni wa karibu yake sana kama mjomba,shangazi ,baba mdogo achangie kutoa ushauri nasaha.msitumie suala hili kama jukwaa ya kukomoana bali iwe sehemu ya kutatua mlipokwama.Naamini mkitafuta watu sahihi wa tatizo hili ni dogo linatatulika.
4)Tumieni sana fulsa ya maombi/dua ,shetani anatumika sana kwenye kuhativu ndoa,tafuteni muchanji au mtumishi mzuri kwenye mwelekeo chanya akipiga maombi ya ngivu mapepo yanayoizonga ndoa yenu yataonsoka na kuwa aacha huru mkiburudika .
Nachelea kusema kuwa kuchepuka usifanye hivyo,anayekushauri hajui athari za kuchepuka na madhra yake ni madhara makubwa na mabaya kiasi ukiyapata utajuta na kujilaumu sana .Hakuna utatuzi wa changamoto za ndoa kwa kuhatibu.
Kumbuka,mna watoto,mna jqmaa wanaowazunguka wanawaheahimu,msiwe kichaka cha kuchekwa kwa matendo mbaya,simamia mazuri,hakuna changamoto isiyopita,yatapita,inawezekana pepo mbaya kapita na ataondoka
 
Amina
 
Dada acha ujinga.... Maisha ni zaidi ya huo upuu...unaowaza hapo..
Focus kwenye kukuza watoto wenu, vingine msaidie..
Hata hivyo namhurumia sana huyo jamaa kuoa mwanamke unaeshindwa kuvumilia jambo kama hilo na kuwasiliana ndani ya nyumba yenu...au hata kushirikisha watu wenu wa karibu sana..

Hapa kwenye mitandao utaumia zaidi na pia nakusisistiza
Acha ujinga..
Kwahiyo aliolewa ili akakuze watoto?
Yeye hana hisia?
 
Dada acha ujinga.... Maisha ni zaidi ya huo upuu...unaowaza hapo..
Focus kwenye kukuza watoto wenu, vingine msaidie..
Hata hivyo namhurumia sana huyo jamaa kuoa mwanamke unaeshindwa kuvumilia jambo kama hilo na kuwasiliana ndani ya nyumba yenu...au hata kushirikisha watu wenu wa karibu sana..

Hapa kwenye mitandao utaumia zaidi na pia nakusisistiza
Acha ujinga..
Heaven Sent come zis way.
 
yani unampa mpaka 0713 lakini bado anatoka nje??? hebu jaribu kumchunguza asije akawa jini...

Mimi napanda mlimani kukuombea...
Huwa wanasema ukizeeka sana unarudia utoto, kweli leo nimeamini.
 
Unamsikiliza jirani akipiga kelele gani?

Jaribu kumpotezea na yeye kwa kipindi kirefu fulani hivi... Kama kweli anachepuka, atahisi na wewe unafanya hivyo hivyo... Ataanza kujirudi... Ni ushauri tu, siyo lazima ufanye kazi...

Cc: mahondaw
 
Wala kutoka nje si sababu ya kushindwa kukushughulikia,mumeo ni mvivu!
 
Funga na kuomba huo mchepuko autelekeze maana hisia zote anamalizia kwa mchepuko
 
KWanza kutoka nje na kutokukuridhisha ni ni vitu viwili tofauti wala havina uhusiano.
 
"Truth is a Weapon"
Huo ndio msimamo nionao Mimi.
Kama unaju anachepuka na nani, mfate huyo mchepuko wake mwambie ila cio mgombane.

Unaweza kwenda kuwashirikisha wazazi, na ikishindikana hata viongozi wa dini.

Lakini waweza ongea au kushirikisha marafiki zake wa karibu.
 
Back
Top Bottom