Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Wakati naoa nilimaanisha na sikuwa na mpango wakuhangaika na wanawake tena lakini sasa nimejikuta katika wakati mgumu na kusamehe haiwezekani. Kama upo Dar nikuoneshe evidence utashangaa.
pole !sasa hizo evidence ndo zinakuumiza !hebu jitahdi kumsahau jaman !pia ukiweza msamehe !
usije kufa siku si zako !tunakupenda bado !ila usioe mapema !
 
Ni maelezo ya upande mmoja haya, tutaamini vipi kama usemayo yana ukweli!?
 
pole !sasa hizo evidence ndo zinakuumiza !hebu jitahdi kumsahau jaman !pia ukiweza msamehe !
usije kufa siku si zako !tunakupenda bado !ila usioe mapema !
Kusamehe haipo nilimwambia ajirekebishe akadharau mpaka nikamkamata bora nife tuu lakini siyo kusamehe.
 
Asante nakubalina na wewe suala la kutooa mapema. Kusahau ngumu sana kwa kuwa nilimwoa kwa upendo na si vinginevyo. Kwa hiyo nilimpenda sana.
najaribu kuingia kwenye viatu vyako sitoshei ! jaman wanawake wengine hata wapendweje !mwee!
 
Kama yy hakufikishi nani anakufiksha? Acha umalaya.
 
Kwani wewe umepanga kufanya nini dada angu?, (sidhani kama umepanga kuendeleza uvumilivu).

Haya ikumbuke hii kanuni; 'MAITAJI YANATAFUTWA'. ukiyajua maitaji yako usisite kuyatafuta.
 
Kuridhishwa ni mpaka na wewe uwe tayari kuridhika. Kuna wale wanatenga tu kama ugali "haya kula" halafu unategemea uridhishwe?? Nikiridhika mimi basi cuz wewe hauko tayari hata baada ya mimi kutumia muda kukuandaa.
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg


Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Hiyo avatar ni wewe ?
 
Mara nyingi huwa wanawake hujisahau kwenye lugha na majibu yao,usafi,kila kitu Dada wa kazi anaachiwa yeye na kujifanya wao wapo bize au wamechoka na kuwa karibu na mashoga kuliko care ya mume so hapo lzm uachwe Mimi yamenikuta hayo nichofanya MTU alipewa likizo aliporudi alijikuta kanyooka mwenyewe sasa tunaishi vzr anajitambua maana siku anaondoka likizo nilichukuwa bahasha nikaweka hela kiasi na barua ndefu yenye kero nikimwelezea mamkwe wangu amfunde mwanae na aliporudi kawa kwenye line moja
Hii uliifanya kisomi sana
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg


Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Dada kwanza pole sana,ukiwa no Musa nook pm younger Nolie Maginot utafurahi tu
 
Nimekusikia mke wangu.. Nimekuelewa..
Nalifanyia kazi
 
My dea I bealive love is for the two, ninachojua mwanamke ana nafasi kubwa ya kumbadilisha mumewe, kama una any source of income time mume wako ameishiwa mpe surprise ya kumtoa out na kumpa chakula anachopenda sana mwite majina ya upendo mnapotoka then huo usiku mpe mzigo as if hutawahi fanya tena I tell you ataanza kuona alienae hamfai, we men what we want ni really love and care hicho ndicho wanawake wa nje wanazidia wa ndani ila pole sana
 
Back
Top Bottom