Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg
O

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Ooh!! Pole sana dada, Namba nikupe siri ktkt hilo, ni kweli uvumilivu unahitajika sana,, ila kinacho kukera ktk ndoa yako bado hujagundua, hata kama amepata makinikia nje ya ndoa, haiwezekani akashindwa kuku himili hadi kufikia hatua hio mko fikia, chamsingi mhunguze kwa makini ktk zele nguvu za awali, na za sasa, shida hapo jamaa kapungukiwa nguvu za kiumeni, hapati Hashiki, Hana ham na tendo la ndoa....Na hata kama ana ham?......misuli haina uwezo na kukwambia ana ogopa....anahisi akikwambia utamtoroka,, Msingi!! Fanya ya fuatayo!....ili upate uhakika kwamba nikweli ?...ama...laa?,, kwanza punguza jazba...jidai huisi chochote ktk yeye, kuwa karibu sana nae, Rudisha ile hali ya mwanzo mkiwa kama vchanga ,,Rudia ile mchezo mlie icheza enzi zenu!!* Nazani unanielewa "ee??* Lamwisho baada ya kusema hao, na ndo kubwa zaidi!!" Mchunguze kiumeni kw kuicbezea chezea kale ka chimbio ka makinikia, Haya yote nikutafuta na kubaini kwmba haka kajamaa ni kazima? ...au...laa?* Na nilazima utapata majibu@ mwisho wa yote kilicho uwa ngufu hizo, baada tu!, ya wewe kubaini ,, Usitafute mchawi,,...Uchawi unao mwenyewe, nasii kingine ni...SINDANO ULIZO JICHOMA KWA MUDA WOTE WA ...UZAZI WA MPANGO,..NDIZO ZIMEUA chombo chako, na nigharama kukisafisha,, Pole sana my cster, ..Low network
 
Nahisi ananifundisha hivyo na mm sioni km ni vyema
Kosa kubwa utakalofanya ni weww kuamua kulipiza kwa kutafuta wa ukuridhisha nje. Suluhisho lolote utakalo lifikiria nakushauri kuchepuka isiwe ni option. Ukianza madhara yanayoweza kukukuta ni makubwa na pengine yakaibomoa ndoa na kuisambaratisha kabisa.
 
KWanza kutoka nje na kutokukuridhisha ni ni vitu viwili tofauti wala havina uhusiano.
Kiuzoefu wa kisaikolojia,kutoka nje chanzo nikutokukuzingatia mihimili ifuatayo kwenye mapenzi,kusilizana(kuzungumza na kupata mwafaka halisia wa mada mbalimbali),kutokusitahimiliaa(uvumilivi)kusaidiana hii ni mihimili mikubwa sana ambayo izingatiwa humfanya mwenzi wako kuwa mfalme au malkia kwa upande mwingi.Ki mantiki hujenga kuthaminiana.
Sasa kiuchambuzi kutoka nje hutokana na mapepo ya kudhani nje ni kuzuri na utaridhika sana.ni suala la hjsia ya juu mno kama mvuta bangi(kudhani kafika kwa madiba au yuko newyork)kumbe yuko bongo kalala kwenye nyumba ya tembe.
Kwa hiyo dhan na fikra hiyo,hutokana na tamaa,ya kushindwa kuzungumza na kusaidiana kutatua changamoto mbalimbali za kihisia kuwa mwenza si mtanu ila nje kun autamu wa mbinguni.
Kimsingi inawezekana kwa asilimia chache kama 25% ikawa nisababu zingine kama uchafu,maumbile,tekinolojia na mautundu ya wamama wa nje,kiburi,ujeuri,ufedhuli nafadhaa mbalimbalai.
Lakini kubwa kwa waswahili ni kutokuridhishana
 
Unamsikiliza jirani akipiga kelele gani?

Jaribu kumpotezea na yeye kwa kipindi kirefu fulani hivi... Kama kweli anachepuka, atahisi na wewe unafanya hivyo hivyo... Ataanza kujirudi... Ni ushauri tu, siyo lazima ufanye kazi...



Cc: mahondaw

Heheheeeiyaaaaaaaaaaaa


Wacha nifunge domo langu mie!!
 
Zishinde tamaa za mwili,kuwa bize na mambo yako ila usilipe kisasi kwa kuchepuka utaonekana mjinga zaidi yake.
Wewe jibidishe katika sala na maombi
 
Ooh!! Pole sana dada, Namba nikupe siri ktkt hilo, ni kweli uvumilivu unahitajika sana,, ila kinacho kukera ktk ndoa yako bado hujagundua, hata kama amepata makinikia nje ya ndoa, haiwezekani akashindwa kuku himili hadi kufikia hatua hio mko fikia, chamsingi mhunguze kwa makini ktk zele nguvu za awali, na za sasa, shida hapo jamaa kapungukiwa nguvu za kiumeni, hapati Hashiki, Hana ham na tendo la ndoa....Na hata kama ana ham?......misuli haina uwezo na kukwambia ana ogopa....anahisi akikwambia utamtoroka,, Msingi!! Fanya ya fuatayo!....ili upate uhakika kwamba nikweli ?...ama...laa?,, kwanza punguza jazba...jidai huisi chochote ktk yeye, kuwa karibu sana nae, Rudisha ile hali ya mwanzo mkiwa kama vchanga ,,Rudia ile mchezo mlie icheza enzi zenu!!* Nazani unanielewa "ee??* Lamwisho baada ya kusema hao, na ndo kubwa zaidi!!" Mchunguze kiumeni kw kuicbezea chezea kale ka chimbio ka makinikia, Haya yote nikutafuta na kubaini kwmba haka kajamaa ni kazima? ...au...laa?* Na nilazima utapata majibu@ mwisho wa yote kilicho uwa ngufu hizo, baada tu!, ya wewe kubaini ,, Usitafute mchawi,,...Uchawi unao mwenyewe, nasii kingine ni...SINDANO ULIZO JICHOMA KWA MUDA WOTE WA ...UZAZI WA MPANGO,..NDIZO ZIMEUA chombo chako, na nigharama kukisafisha,, Pole sana my cster, ..Low network
Ebu funguka hapo mkuu sindano zinaua nguvu za kiume?

Una utafiti huo?
Pole sana bibie kwa changamoto upitiazo, ni sehemu pia ya maisha ya ndoa... Jaribu kuangalia unakosea wapi ujirekebishe...Pia mshirikishe mjue mustakabali wa hiyo tabia yake upoje...usijaribu kulipiza kisasi kwa kuchepuka na wewe..Ongea nae vizuri, msisitize kila siku umuhimu wa kupenda familia..Focus kwenye kulea familia yako, Pia usisahau kusali sana inasaidia, ipo siku atarudi kwako akijutia.. hizo starehe anazoponda ni za muda mfupi
 
Ukimaliza, ili linakuja pia. Pia km umesoma vizuri mm silalamiki naulizia jambo la msingi km ww mwana ndoa madhani unaweza kuona tatizo. Mm huwa sijui uongo sababu siku hadi siku ni mume wangu lazima nijue jinsi ya kupigana na changamoto zangu. Ushauri wako naomba
Unatakiwa kupata mda wa kutulia na kutuliza akili zaidi kuamua
Ushauri wa Pm usiupokee wengine unawapa fursa ya kukuliwaza huko
 
yani unampa mpaka 0713 lakini bado anatoka nje??? hebu jaribu kumchunguza asije akawa jini...

Mimi napanda mlimani kukuombea...



duh ndo wewe unayshauri haya??nimevunjika moyo kwakweli! dah! hv unadhan had akaja haapa amevumilia mangap huyu dada!kwann unamkebehi ndg [HASHTAG]#aspirin[/HASHTAG]??/ dah
 
Fanya jambo litalokupa furaha, achana kung'ang'ana na mwanaume. Woooi!! wengine tulishasahau kuhangaika na m'me. Fanya mambo yako Mumy, huihitaji mtu akushike mkono akuonyeshe nn ufanye.. Chaaaa!
 
Huo sio

Shauri mzur hta kidg, hem imergine mtu qnakuja umpe ushauri juu yakasa wke a uwo halaf unamshaur hivyo, iv kweli uko serious na kutoa ushaur?


na hawa wanaoshauri haya huenda hawajaoa mie huyu dada nimemwelewa sana! ila mpk sasa sina cha kushauri labda aje [HASHTAG]#helloo[/HASHTAG],heaven sent,[HASHTAG]#shunie[/HASHTAG],[HASHTAG]#nalendwa[/HASHTAG],sakayo,madam b
 
Dada kwanza pole sana hii inatokea sana kwenye ndoa mimi ni mhanga wa hiyo shida sasa ni kinyume kwako mimi mwenzangu anadai namchosha sana kifupi hataki na tuna watoto wawili lkn yeye hana hamu na mimi na hakuna sabb yoyote ile ila nadhani kwake ni hali ya uzazi na ninavumilia tu najuwa ipo siku atahitaji tu na kuhusu matumizi ya familia ndiyo kwanza nazidisha upendo kabisa. So tulia na tumia lugha nzuri ya kunyenyekea na usafi kwako uwe kitu cha msingi pia angalia na vyakula vya kumpa nguvu usimpe mafuta huyo utafanikiwa tu azma yako
 
Wanawake huwa siwaelewi kabisa huwa wanataka nini utakuta kuna siku kadhaa alishakuwa anambania bania mumewe na asikuambie mtu ukinyimwa ndani ukajaribu nje wala hunyimwi na hali ikiendelea utamu wa mke huisha yaani hata ukikamua unaona kama hufanyi kitu
 
Back
Top Bottom