Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

uwiiiiiiii

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
341
365
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg


Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
 
Dada acha ujinga.... Maisha ni zaidi ya huo upuu...unaowaza hapo..
Focus kwenye kukuza watoto wenu, vingine msaidie..
Hata hivyo namhurumia sana huyo jamaa kuoa mwanamke unaeshindwa kuvumilia jambo kama hilo na kuwasiliana ndani ya nyumba yenu...au hata kushirikisha watu wenu wa karibu sana..


Hapa kwenye mitandao utaumia zaidi na pia nakusisistiza
Acha ujinga..
 
Back
Top Bottom