Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Pole sana maisha ya Ndoa ni mtihani na usipojikaza utaharibu kila kitu,kua vizuri kitandani sio sababu ya kumzuwia mume asichepuke ila inasaidia,jee kwenye usafi wa nyumba na mwili uko vizuri? chakula unapika wewe au vyote anafanya dada? kauli yako kwake mapokezi yako kwake anaporudi kazini yapoje ? je unamjali na kumkubali kama yeye ndio Mume? jengine jaribu kukaa nae chini muda muafaka ongea nae mueleze how u fell na muuliza nini anahisi kimepungua mpaka ana kua hivyo? kumbuka wewe ndio mke wengine ni Michepuko mpaka amekubali kukuoa wewe ujue tayari umewapiku wote,sasa usiwape nafasi mchepuko akawa mke au akachukua nafasi yako kama dini yako hairuhusu mke wa pili,
baadhi ya sisi wanawake tukisha olewa nakuzaa basi tunajisahau kua mume bado anahitaji love and care sikwambii ni rahisi
lakini jitahidi kutenga muda wa watoto na muda wa baba yao,unajua zaidi nini mumewako anapenda kuliko hata Mchepuko ebu rudisha yale mapambano yalomchanganya mpaka akatangaza ndoa u can do it darling hujachelewa huyo ni mumeo
unajua wapi uguse unajua chakula gani anapenda,unajua upapase wapi kuliamsha Dude,mwanake hua hashindwi kwa urahisi amka shosti umrudishe mumeo ndani na muombe mungu sanaa kwenye hili wewe uko kwenye ndoa mwenyezi mungu atakusaidia..
 
mazungumzo ndio dawa,ukichepuka wakati naye anachepuka wote mtakuwa nje ya mstari wa ndoa,kwa hiyo makosa mawili hayataleta jawabu la tatizo,ni mpito tuu ongea naye ,wazazi wake na kwa rafiki yake mkuu but utumie weledi wa hali ya juu,bcs hili linaweza kuharibu zaidi.good luck
 
Dada acha ujinga.... Maisha ni zaidi ya huo upuu...unaowaza hapo..
Focus kwenye kukuza watoto wenu, vingine msaidie..
Hata hivyo namhurumia sana huyo jamaa kuoa mwanamke unaeshindwa kuvumilia jambo kama hilo na kuwasiliana ndani ya nyumba yenu...au hata kushirikisha watu wenu wa karibu sana..

Hapa kwenye mitandao utaumia zaidi na pia nakusisistiza
Acha ujinga..
Ongea naye kwa upendo,ukute amepatwa na kisukari ila anauchuna tu.
 
Wanaume wa Miaka hii ni washamba sana! Lea wanao na achana nae mpuuze wala usimuulize chochote unapoteza muda tu na unapomuuliza mwenzio kwake ni sherehe kwako huzuni, muache ipo siku atakaa afikirie kwann humfatilii
 
Kuna kitu kimoja ambacho wanawake wengi wakishaolewa huwa wanajisahau,sisi wanaume tunavutiwa sana na hisia za macho,kwa hiyo kina dada wakishaolewa wakazaa basiii anafikiri ameshamaliza kwa hiyo ile namna iliyomvutia mume wake awali anaiacha,ngoja nikuambie mwanaume ni yule yule kama alikuwa anavutiwa na mavazi uliyokuwa unavaa au u smart uliokuwa nao usidhani kwamba hahitaji tena hiyo hali no anahitaji Sana'a,kwa hiyo kama unashinda na dira akirudi anakukuta na dira uliloshinda nalo kutwa mzima wakati nje huko kuna wanaopiga vitu anavyovutiwa navyo lazima uibiwe,kabla ya kulala mtie tamaa ya ngono mumeo ukiwa chumbani vaa night dress inayoonyesha Nguo yako ya ndani kwa mbaali na uwe na shughuli za kujizungusha zungusha mahali alipo,pia wakati wa usiku epuka story zitakazomtoa kwenye Mudy mumeo mpaka baada ya tendo waweza ingiza story zako hata kama kakukosea subiri akupe dozi then mwambie lililo moyoni,nitarudi baadae.
Huu nimeukubali
 
Mara nyingi huwa wanawake hujisahau kwenye lugha na majibu yao,usafi,kila kitu Dada wa kazi anaachiwa yeye na kujifanya wao wapo bize au wamechoka na kuwa karibu na mashoga kuliko care ya mume so hapo lzm uachwe Mimi yamenikuta hayo nichofanya MTU alipewa likizo aliporudi alijikuta kanyooka mwenyewe sasa tunaishi vzr anajitambua maana siku anaondoka likizo nilichukuwa bahasha nikaweka hela kiasi na barua ndefu yenye kero nikimwelezea mamkwe wangu amfunde mwanae na aliporudi kawa kwenye line moja
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Tatizo lako ni lipi hapo? Yy kuchepuka au ww kukojozwa? Maana mtu anaweza kuchepuka na home game likawa kama kawaida kileleni kama zamani. Kaeni muyaongee, mkumbushe zamani haikuwa hivyo, au labda ana ugonjwa unaomsababishia ugoigoi? Ongea nae, kama hakutaki aseme, tupo wengi wa dei waka twaweza saidia.
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Hayo mambo yanatokeaga mda mwingine hisia zinapotea.Usitake kila siku uwe unataka mda mwingine potezea tu mda mwingine anamawazo si unaona ulivyokaa hovyo huu usawa mambo magumu
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.

Kumwaacha unasubiri nini unasubiri virusi. Mianaume mingine bwana inapata wake waaminifu yenyewe haiheshimu. Achana naye huyo utakuua. Mie nimeachana na mke wangu kwa umalaya.
 
dah !nahis bado inakusumbua sana pole sana
 
Wakati naoa nilimaanisha na sikuwa na mpango wakuhangaika na wanawake tena lakini sasa nimejikuta katika wakati mgumu na kusamehe haiwezekani. Kama upo Dar nikuoneshe evidence utashangaa.
 
Yaani Bintiyaza nimevurugwa haijapata kutokea.

nakusomaga sana !pole tena !hebu delete kila kitu kumhusu mkeo !choma hata picha zake ,badilisha makazi km ulipanga ,badilisha na njia ukiweza !mbona easy tu ! ukitaka kumsahau mtu km huyo mkumbuke kwa mabaya yake !mkumbuke ulipomfumania!utashida mapema sana !
 
Back
Top Bottom