Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

Dada hii story n ya kweli au?Kama ni kweli basi nawe halmashaur yako ya kichwa imelala doro na umeridhika na hayo yote na kwasababu umeridhika endelea tu kukaa na kufurahia ndoa yako ikiwezekana huyo kijana ahamie hapo kwako kuepusha usumbufu wa mumeo kumfuata huko dawasco cjui na gharama ya kodi,we si unapenda kua tegemez endelea kukaa hapo na hakuna kulalamika humu!
 
Sikiliza kwa makini wimbo wa abiudi mishoni, (siku ya mateso yangu)tatizo la kumtegemea binadamu ndo hilo endelea kuvumilia mangeu na cameroon wako, chukua maamuzi magumu ya kula mlenda kwenu ila still utu,na heshima unavyo!
 
Pole sana bi dada..........................
 
Yaani kila nikiingia hili jukwaa huwa najihis kama nazeeka haraka haraka aisee!
 
Laana kum mkubwa huyo!!!!!!!!!! Jamani mitihani mingine?????? Utauweka wapi uso wako shosti @ Mumeo Basha???????? Azabu yake kama ni kumsemea tu kwa familia, majirani, kazini, kanisani, kote kote! Tuone atambashia nani mjini hapa!!!!!!!!! MXIUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hawo hata uwasemee wapi.... hawaoni wala kusikia....hhahahahhahaaaa...akome kuchunguza simu ya mmewe......
 
Mbona maelezo hayaendani na heading uliyoitoa? Hebu funguka zaidi na usiume maneno, ili tujue kipi tukushauri.
soma post yote.....
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
 
Familia yangu haijui chochote uwa nawaambia tu nina matatizo na ndoa yangu bas..naogopa san kumdhalilisha mume wangu alinisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia sema tu hiyo tabia yake chafu inanikera ni bora angekuw mwanamke huyo kijana...yaan naumia sana juzi tu wametok capetown wote yaan mme wangu haambilik kwa huyo kijana hat sijui cha kufanya

Iwapo nimekusoma vema ni kuwa una suggest kuwa ingalukuwa afueni kubwa kwako endapo huyo kijana angalikuwa ni demu na halafu mumeo anamla tigo tu basi kila siku🙂 Wacha wee🙂! Sasa kama hivyo ndivyo hiyo si ndio wazungu wanasema 'the differents is the same'🙂 au?

Kwa kifupi wenye tatizo kama lako wako wengi tu kwenye jamii yetu sema wengi hawaweki hadharani. Wako Wazee wengi wenye wake na familia zao na heshima zao serikalini shughuli ndio hizo. Wanawachimbua vijana wadogo wenye tamaa kama hakuna kesho vile🙂.
Na kuna wanawake pia ambao wako kwenye ndoa zao na ni wa mama wenye heshima katika jamii wana tatizo kama la mumeo (yaani ana mpenzi ambae ni mwanamke mwenzie na vinajulikana hata na watoto zao. Lakini utakuta waume wamejinyamazia kama hawajui lolote vile. Hata wewe usingejua kama sio chunguzanguza na pekenyua zako.

Mwisho kuondoka kirahisi sio sululisho wala idea ya kuwa ati ni afadhali angalikuwa kijana ni demu pia sio sululusho ...Mimi nilifikiri ukiharamisha umeharamisha na kuwa tigo ni tigo tu..iwe ya ke au me ...au zina ladha tofauti🙂?
 
Kama anakupa pesa miaka yote hiyo unataka kusema huwa haujisevii kidogo pembeni?

Inabidi uamke na kuanza kujiangalia wewe, pole sana mamii kwa kushare na mwanaume.

Sasa as unampenda sababu ya pesa( mtu anayemtegemea mtu kumwangalia huwa ni pesa ndo inakuweka) hii imekaa kushoto. Kwani wewe umesoma? Ni mama wa nyumbani au?

Jitahidi kujiangalia ili ujiendeleze kivyako, anza kuandika majina kwenye mali zenu na wewe uwemo.

Sorry for this mumeo hakupendi, na anakutumia kufucha mambo yake. Kijana yule amekubali wewe upo na yeye hajali. Sasa mumeo anajua usipokuwepo nae maishani watu watamshutukia kuwa yeye ni g. Na ungesema kama wewe bado anakupatia kama kawa kama hivyo basi yeye ndio dume kule.

Sali Sali mamii, miujiza inatokea kila wakati.
 
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
Binafsi sina uhakika kama hili linaweza kutokea, wala siamini kama yanaweza kutokea....! Lakini, please, siku zote, mwanaume mwenye ujasiri wa kumuinamisha mwanaume mwenzie na kumlawiti, basi kwa vyovyote vile, naye alipata kuinamishwa, tena kwa hiari yake, au huwa na elements za kukubali kuinamishwa na mwanaume mwingine....! Psychologists believes so....!
So, napata shaka kwa mumeo kuhusu historia yake, au maisha yake ya baadaye....!
Na siku zote ukitaka kumua nyani, usimuangalie usoni, maana kama hautamuogopa kwa sura yake, basi utamfananisha na binadamau na kumuonea huruma, hivyo utashindwa kumuua....! Nawe unapotafuta uamuzi wa kufanya hapa, usifikirie ndoa, na huduma nyingine unazopataga kumpitia huyo mumeo....!
 
japo siamini kam ni kweli kutokana na mtiririko mbovu.....kama ni kweli basi achana nae utajua jinsi ya kuishi ukiisha achana nae

Familia yangu haijui chochote uwa nawaambia tu nina matatizo na ndoa yangu bas..naogopa san kumdhalilisha mume wangu alinisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia sema tu hiyo tabia yake chafu inanikera ni bora angekuw mwanamke huyo kijana...yaan naumia sana juzi tu wametok capetown wote yaan mme wangu haambilik kwa huyo kijana hat sijui cha kufanya
 
wajojo Hujui mateso ya ndoa.. mme wangu aliniambia anaenda south kikaz..utamfichia passport?,ila nilikuja kujua kuwa alienda na huyo jamaa baad ya kufany uchunguz

we nawe hueleweki ss mala useme ulimsikia anaongea na simu wanapanga kwenda south..mala useme hukujua...haya bas kaa na basha lako ila uwe unalala vizur ipo siku ataila tigo yako pia
 
Dada hii story n ya kweli au?Kama ni kweli basi nawe halmashaur yako ya kichwa imelala doro na umeridhika na hayo yote na kwasababu umeridhika endelea tu kukaa na kufurahia ndoa yako ikiwezekana huyo kijana ahamie hapo kwako kuepusha usumbufu wa mumeo kumfuata huko dawasco cjui na gharama ya kodi,we si unapenda kua tegemez endelea kukaa hapo na hakuna kulalamika humu!

ahahahaha
 
Omba/fanya maombi roho chafu wamtoke,vinginevyo itawagharimu....
 
"kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu.."

KUMBE TATIZO NI HILO TU, KWAHIYO?

Back
Top Bottom