Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

nampatia picha siku ukimfumania Mchanga!!hilo timbwili lake

Mchaga bwana tushakubaliana akinifuma atachofanya ni kunicharanga mapanga tu, ndo azabu itayo kizi moyo wake. Na mimi ilikuwa nikimfuma ni kumloga tuuu asisimamishe tenaaa, tuone atchitije! Sema ndo hivo tena mimi na mchaga we are having serious issues mda huu wa lala salama, so i smell the end. Siku hizi niko na MTU MZIMA (Sio kivile kama 33 hivi, n he is single) najipooza moyo, purukushani za sharo wa kichaga si mchezo. I am takin a long vaccation for my self exploring THE ARCHIEVES (Mtu Mzima)
 
Yaan nashindwa kukaa vizur na mume wangu sabab ya huyo kijana..mi namuona huruma tu anavyoharibiw mi mtoto wangu tu nikimfikiria ndo naumia na haya magonjwa.
 
Picha niliyoipata hapo ni hii kwamba mme wake ndo anabanduliwa tigo na huyo bwana mdogo na ndiye atakayeolewa na si bwana mdogo. Pia kama yeye mme wake na mtoa mada mdo anabandua tigo ya dogo hawezi kuomba tigo ya mkewe kwa sababu ya kujitunzia heshima kwa mkewe.


Kuongezea apo labda mtoa mada ajaribu kumgea tigo if the dude z top, then the problem will be solved but if the dude z bottom ... She shud get a vibrator for that dudez ass. Alafu akishapewa haki yake naye nae amdunge kilo vibrator mk***uni. Lastly, she could get to know the third party and work on the possibility of a threesome. Just saying
 
majibu mengine ya maswali yapo wazi, wala hahitaji sana ushauri, ila tatizo inaonekana unamtegmea 100% ndio maana unakuwa mgumu kufanya maamuzi.
 
Hapana nilishawah kukuta msg kweny simu ya mume wangu.hivyo sishawishik kuw mume wangu anafanyiw mchezo mchafu.yy ndiye anamuhudumia yule kijn kwa kila kitu..

Hahaha ur funny sis. Utashanga kujua anaudumia ili abonyweze vizuri. Watoa uduma mara nyingi ndo wanapigwa dudu.
 
Laana kum mkubwa huyo!!!!!!!!!! Jamani mitihani mingine?????? Utauweka wapi uso wako shosti @ Mumeo Basha???????? Azabu yake kama ni kumsemea tu kwa familia, majirani, kazini, kanisani, kote kote! Tuone atambashia nani mjini hapa!!!!!!!!! MXIUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nampatia picha siku ukimfumania Mchanga!!hilo timbwili lake
 
Yaan nashindwa kukaa vizur na mume wangu sabab ya huyo kijana..mi namuona huruma tu anavyoharibiw mi mtoto wangu tu nikimfikiria ndo naumia na haya magonjwa.

Badala ya kujihurumia wewe unamuhurumia shoga wa mumeo
Elimu ya diploma unayo,tafauta kazi ma pia uanze masoma ya jioni ya degree maisha yasonge
We umekaa tu na kweli mwanao ata athirika kisaikolojia huko mbeleni
 
Siyo kwamba mumeo anapelekewa moto, ulishawahi kuchunguza
 
Hii thread iwe moved 2,ndio nini sasa kuleta stori nusu nusu kama crs ya missing!
 
familia yangu haijui chochote uwa nawaambia tu nina matatizo na ndoa yangu bas..naogopa san kumdhalilisha mume wangu alinisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia sema tu hiyo tabia yake chafu inanikera ni bora angekuw mwanamke huyo kijana...yaan naumia sana juzi tu wametok capetown wote yaan mme wangu haambilik kwa huyo kijana hat sijui cha kufanya

una mtoto mmoja tu?

Divorce. Anza mbele
 
yaan nashindwa kukaa vizur na mume wangu sabab ya huyo kijana..mi namuona huruma tu anavyoharibiw mi mtoto wangu tu nikimfikiria ndo naumia na haya magonjwa.

we hebu tokaa hapa.

Hebu divorce fasta. Mumeo ndo anaeinamishwa
 
Akilala usiku mfungue huko nyuma umulike na tochi kama tundu ni kubwa basi jua ye ndo analiwa. Ukiwa unaogopa wakati anakuduu ingiza kidole huko nyuma kikitumbukia chote yeye ndo analiwa.
zifatazo ni fact ambazo lazima uzijue
shetani haondolewi kwa mazungumzo ndani ya mwili wa binadamu
sijajua imani yako ila kama unaamini katika ukristo,wapo watu wenye uwezo wa kukuponya wewe na mmeo hususani manabii kwa africa mashariki sijui,ila kwa wale tunaopenda kumtazama nabii joshua wa emanuel tv nigeria anaweza kukusaidia nenda kamwone coz mmeo hawezi kukubali kwenda nae atakutibu na atamtibu mmeo
 
Huyu dada namfaham vizur..na huyo mume wake na huyo kijan mtaa mzima wanajua mahusiano yao sema huyu dada anadharau sana,hana mawasiliano mazur na majiran zake kisa tu mume wak anafany kaz benki,anaish tegeta na huyo mume wake kampangia nyumba huyo kijan maeneo ya boko dawas yaan had kinyaa..kutwa wapo wote anajifany mdog wake kumb ------ mwenzie.wote na mume wake wanajisikia sana kama nitakuwa sijakosea ni wew
 
...hili pepo la kupenda kinyume na maumbile sijui limetoka wapi,kilisiku lipo mitaani kuangamiza jamii yetu...
 
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..

Haya ni mambo yenu ya ndani. Wakati mnatongozana hamkutushirikisha. Hayatuhusu.

 
Familia yangu haijui chochote uwa nawaambia tu nina matatizo na ndoa yangu bas..naogopa san kumdhalilisha mume wangu alinisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia sema tu hiyo tabia yake chafu inanikera ni bora angekuw mwanamke huyo kijana...yaan naumia sana juzi tu wametok capetown wote yaan mme wangu haambilik kwa huyo kijana hat sijui cha kufanya

Bila shaka hii ni hadithi tu,ndiyo madhara ya kuangalia tamthliya za kifilipino na kuzileta humu jukwaani ili mtuumize tu vichwa kwa vitu vya kubuni,kama ni kweli yamekukuta nawe basi tunakupa pole na wewe tafuta wako pembeni maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom