BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Mke mwenza, hapa uite wazee wa nini? Wazungumze nini? Au unazungumza nini na mmeo? Kwamba huwa unamfanyaje? No way, kwangu hapana aisee.
Mie hata mtu akiniibia huwaga simtafuti wala simuulizi, naona kama najishusha, sembuse mwanamme ananiibia mme? Jamani!
Hivi utajadiliana nini na mme?ujue mambo ya kingono mtu hachagui anapenda tu. Mfano kuna mtu anapenda kokrochi death, hata ufanyeje hatafurahia mbuzi kagoma kivile.
Ndio watajifunza kama degee inatunza mume au inakukomboa kwenye utumwa wa utegemezi.
heheheheh mke mwenza nimependa hayo maneno yako ya mwisho......
Ila tatizo la huyu bi shost(kama story yake ni ya kweli) ni utegemezi...... Hataki kumuacha mume kwa kuwa anamsaidia....basi aite wazee wazungumze na mume aache (ingawa sijui kama wanaachaga watu wa hivi) au wamtafutie mshauri nasaha....
Ila hapa kwa upande wangu hakuna ndoa ni kudhalilishwa na mume na kuendelea na huyo mwanaume ni kujidhalilisha....
I see heri uibiwe na mwanamke mwenzio kuliko kuibiwa na mwanaume....full kinyaa na kichefuchefu
hebu imagine mwanaume ndo karudi home anakukumbatia anataka unyumba ppppttuuuuuu....
Degree oyeeeeeeee wanawake wasome tu jamani degree muhimu