Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
 
Mbona maelezo hayaendani na heading uliyoitoa? Hebu funguka zaidi na usiume maneno, ili tujue kipi tukushauri.
 
Mbona unaandika kwa kutetemeka..kaa chini tulia na leta habari kamili yenye mtirirko mzuri wadau watoe ushauri.
 
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

mbona umeishia njiani? Au umeenda kutafuta sare ya harusi?
 
Laana kum mkubwa huyo!!!!!!!!!! Jamani mitihani mingine?????? Utauweka wapi uso wako shosti @ Mumeo Basha???????? Azabu yake kama ni kumsemea tu kwa familia, majirani, kazini, kanisani, kote kote! Tuone atambashia nani mjini hapa!!!!!!!!! MXIUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
anashushia kinywaji baridi koo limekauka,ujue kubonyeza keyboard ni zoezi tosha.
 
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
 
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..

kumbe tatizo ni kwamba wewe unamtegemea mume kimaisha.....
 
pole sana dada. huyo mumeo mpe "red card".tena asiwe karibu na watoto wako.
 
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..

huna mume hapo ila unajipa matumaini tu,washirikishe ndugu zenu wa karibu na wataalamu wamsaidie kutoka huko alikofika ikishindikana fungasha vilivyo vyako uanze maisha mapya.Unaishi na shoga...........
 
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..

utegemezi wako ndo unakuponza.........

Yaani mwanaume anaenda kudumbukiza dudu yake kwenye nya ya mwanaume mwenzie halafu anarudi kwako unashika maiki?(najaribu kupata picha tu)

hapo huna ndoa.....ila kama huwezi kuondoka vumilia.....ila kumbuka si kila mvumilivu atapata mbivu......

Na unaporudi kwenu unawaambiaje?

Anyway ulishawahi kuwaita wazee au mshenga wenu mkazungumzia hilo? Viongozi wa dini je? Mumeo ushakaa nae kuzungumza nae?
 
Dunia hii mama lukumba lukumba,Dunia ina mambo mwendo wa ngamia.
 
Sasa mbona hakuna la ajabu hapo? We wasiwasi wako tu. Kama mumeo anatabia hiyo hata 0713 yako ingekuwa ameshaijeruhi. Tuletee ushahidi wenye tija
 
Familia yangu haijui chochote uwa nawaambia tu nina matatizo na ndoa yangu bas..naogopa san kumdhalilisha mume wangu alinisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia sema tu hiyo tabia yake chafu inanikera ni bora angekuw mwanamke huyo kijana...yaan naumia sana juzi tu wametok capetown wote yaan mme wangu haambilik kwa huyo kijana hat sijui cha kufanya
 
Kitu kichisimikwa kwenye mbolea afu kinasimikwa kwenye K? God forbid, hata kama sijui kusoma na kuandika, ntarudi kwetu kujipanga.

Kwani kufugaa kuku/bata/njiwa au kulima mchicha, spinach kunahitaji degree ngapi jamani?
 
Back
Top Bottom