Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.