Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

Duuuh serious?
Ya kweli haya?
Bado ukaishi naye tu?
Mpe hata sumu huyu ni zaidi ya shetani hafai kuwa mbele ya jamii
 
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
Pole sana mkuu huyo sio mume uliyenae
 
Pole sanaaaa, ila kwa mujibu wa hizo msg umeona kua mume wako ndio mume wenu nyote na huyo mwanamme? manake huwezi kujua inaweza ikawa opposite mwenyezu mungu atustiri, na shosti ivi ni shida gani ambayo huwezi kuihimili inayo kufanya mpaka ukastahmili yote hayo? jee aliwahi kutaka kukuingilia kinyume na maumbile hata mara moja? au kujaribu ile yakujifanya hajui ni wapi njia sahihi? sorry kama ntakua nauliza sana au nakukera manake i find it very hard to understand you, baada ya kuyaona yote haya still anakwambia rudi nyumbani na unarudi kama vile hakija tokea kitu na kilichotokea ni jambo la kawaida,au uliwaelezea wazazi wako ni kwa sababau gani umerejea nyumbani au ilikua siri yako? sababu sidhani kama mzazi angeweza kuku advice mtoto wake urejee kwenye uchafu kama huu, anyway kama umeamua kuendelea nayo sawa lakini anagalia na maradhi yatakayo kupata na hela au maisha mzuri unayo ishi ipi muhimu,ukiniuliza mie ntakwambia bora nile ugali na bamia lakini nna afya kuliko kula biriani huku mgojwa...
 
Familia yangu haijui chochote uwa nawaambia tu nina matatizo na ndoa yangu bas..naogopa san kumdhalilisha mume wangu alinisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia sema tu hiyo tabia yake chafu inanikera ni bora angekuw mwanamke huyo kijana...yaan naumia sana juzi tu wametok capetown wote yaan mme wangu haambilik kwa huyo kijana hat sijui cha kufanya
Mwache aangaike nae ipo siku atamuacha kwa matatzo atakayoyapata

2logM@km
 
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
Tuache upuuzi inaonyesha wewe ni dume. please daniel...
Cc rubii
 
Pole sanaaaa, ila kwa mujibu wa hizo msg umeona kua mume wako ndio mume wenu nyote na huyo mwanamme? manake huwezi kujua inaweza ikawa opposite mwenyezu mungu atustiri, na shosti ivi ni shida gani ambayo huwezi kuihimili inayo kufanya mpaka ukastahmili yote hayo? jee aliwahi kutaka kukuingilia kinyume na maumbile hata mara moja? au kujaribu ile yakujifanya hajui ni wapi njia sahihi? sorry kama ntakua nauliza sana au nakukera manake i find it very hard to understand you, baada ya kuyaona yote haya still anakwambia rudi nyumbani na unarudi kama vile hakija tokea kitu na kilichotokea ni jambo la kawaida,au uliwaelezea wazazi wako ni kwa sababau gani umerejea nyumbani au ilikua siri yako? sababu sidhani kama mzazi angeweza kuku advice mtoto wake urejee kwenye uchafu kama huu, anyway kama umeamua kuendelea nayo sawa lakini anagalia na maradhi yatakayo kupata na hela au maisha mzuri unayo ishi ipi muhimu,ukiniuliza mie ntakwambia bora nile ugali na bamia lakini nna afya kuliko kula biriani huku mgojwa...
Soma na hii huyu please daniel...
 
Aisee jf inanipa raha yani mnakuja kutoa ushauri kwa kitu cha mwaka 2013????? Na sidhani hata huyo mwenyewe kama yupo humu na hata akiwepo lazima itakuwa alishapata solution
 
Aliingia mara ya mwisho na account hiyo 2014.. leo watu wanamshauri....😱😱😱😱😱
 
Hii nilisomaga kitambo enzi hizo guest, duuh watu wameifufua

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Huyu dada namfaham vizur..na huyo mume wake na huyo kijan mtaa mzima wanajua mahusiano yao sema huyu dada anadharau sana,hana mawasiliano mazur na majiran zake kisa tu mume wak anafany kaz benki,anaish tegeta na huyo mume wake kampangia nyumba huyo kijan maeneo ya boko dawas yaan had kinyaa..kutwa wapo wote anajifany mdog wake kumb ------ mwenzie.wote na mume wake wanajisikia sana kama nitakuwa sijakosea ni wew

mkuu wewe unamjua karibia kila m2? warumi
 
Back
Top Bottom