Morning glory
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 149
- 55
- Thread starter
- #161
amen!vumilieni Mungu ni mwaminifu!
Thanks dear,mume mwenyewe mzuri hata simwachi mwenzangu,ntapambana mpaka kufa
amen!vumilieni Mungu ni mwaminifu!
Samahani kama nitakukwaza ila naomba nikuulize ili suala la kujiajili unalichukuliaje wee unaetoa mawazo hayo???kujiajili kunataka Plan, Pesa, na vinginezo...sasa mtu anakwambia hana mbele wala nyuma ile kupata mlo shida unamwambia akajiajili atawezaje au kujiajili mie sikuelewi nini napotoka jaman wadau hebu nisaidieni maana watu wengi wanasema sana suala la kujiajili mtu hana chochote zaidi ya yeye mwenyewe yaani Human Resource tu sasa combination ya Capital ataipata wapi hebu fikilieni bana sio mnakurupuka tu JIAJILI...ajiajili na Hewaaaa!!!😕Mfumo wa elimu yetu, na bongo zetu zimetawaliwa na mawazo ya kusoma ili tuajiriwe. Kujiajiri wenyewe imekuwa ni kama ajira ya wasiosoma. Too bad.
Ni vizuri umwambie ajitokeze mwenyewe humu, maana kuna ushauri au vitu vinamuhusu mwenyewe moja kwa moja, maana maswali mengine yanahitajika majibu ya muhusika.Wadau wote wa JF Nliwahi kupost Uzi Hapa wa mume wangu kutokuwa na kazi na Huu ni mrejesho.Tunaendelea kuumia kadri siku zinavyoenda mbele na msaada wangu unakuwa haitoshi Kwa familia yangu.Watu wengi waliahidi kunisaidia lakini mpaka Leo nimeishia kuambulia ahadi hewa tu na uchokozi na utani mwingi kutoka Kwa wadau humu JF.Wenye nafasi tafadhali msaidieni mume wangu yani karibu tunaumbuka na ukizingatia tunaishi nyumba ya kupanga
Ni vizuri umwambie ajitokeze mwenyewe humu, maana kuna ushauri au vitu vinamuhusu mwenyewe moja kwa moja, maana maswali mengine yanahitajika majibu ya muhusika.
Wadau wote wa JF Nliwahi kupost Uzi Hapa wa mume wangu kutokuwa na kazi na Huu ni mrejesho.Tunaendelea kuumia kadri siku zinavyoenda mbele na msaada wangu unakuwa haitoshi Kwa familia yangu.Watu wengi waliahidi kunisaidia lakini mpaka Leo nimeishia kuambulia ahadi hewa tu na uchokozi na utani mwingi kutoka Kwa wadau humu JF.Wenye nafasi tafadhali msaidieni mume wangu yani karibu tunaumbuka na ukizingatia tunaishi nyumba ya kupanga
Wadau wote wa JF Nliwahi kupost Uzi Hapa wa mume wangu kutokuwa na kazi na Huu ni mrejesho.Tunaendelea kuumia kadri siku zinavyoenda mbele na msaada wangu unakuwa haitoshi Kwa familia yangu.Watu wengi waliahidi kunisaidia lakini mpaka Leo nimeishia kuambulia ahadi hewa tu na uchokozi na utani mwingi kutoka Kwa wadau humu JF.Wenye nafasi tafadhali msaidieni mume wangu yani karibu tunaumbuka na ukizingatia tunaishi nyumba ya kupanga
Mi na wasiwasi mabazazi yanaweza mpoka mmeo majukumu ya kifamilia.
Yaani nimesisimka kuona hiyo heading... Natamani nipate mke wa Hivi..... Hata kama nitakufa nikiwa maskini Ili nitakua nimeifaidi sana dunia.... Mungu akupe hitaji lako nä akurehemu nä kukupa wingi wa Siku za kuishi duniani...
Mkuu nani kakutisha nimchape?
mkuu good observation "cuting" btwn ze line. ila kuna kitu imesahau kumgusia "umri"Habari dada, uzi wako tokea wa kwanza niliuona ila uzi huu naona kama nina mzigo wa kuchangia.
Nina mambo baadhi ninapenda nikuulize na pia nikushauri,
1. Mumeo anayo drive (Msukumo binafsi wa kutafuta ajira??) Kuna watu wengi sana wanalia hawana kazi ila ndani mwao hawana msukumo wa kutafuta ajira kwa nguvu. Msukumo kama ulionao wewe wa yeye kuwa na ajira.
2. kazi ya kwanza aliipataje na ilikuwaje akaiacha? na hivi sasa anajishughulisha na nini au ana malengo gani mbali na kutafuta kazi??
3.Mbinu gani mnazitumia kutafuta kazi?? how are you updated when it comes to the job market?? mnanunua magazeti? mitandao?? mbinu gani za kuwahabarisha?
4. Nakushauri (sijui kama umelifanya hili,) andaa Cv ya mumeo, yenye current information, muandalie na cover letter nzuri wewe ndio uchukue jukumu la kufanya application kwa niaba ya mumeo, pia uipeleke tume ya ajira mwishowe anaweza kuitwa kwenye interviews na hatimaye kupewa kazi.
5.Mshirikisheni Mungu kwa kila mnalofanya na muombe pamoja kulichukulia jambo hilo kwa uzito sana kwa sababu jambo lisiposogea kwenye ulimwengu wa roho hata ulimwengu wa mwili linabaki pale pale.
Ni matumaini yangu kazi za accounts na procurement zipo nying tu na ana advantage ya kufanya kazi miaka mitatu tena kwahiyo chances za yeye kupata kazi ni kubwa.
Nawatakia kila la heri.
muulize kama anaweza kazi za ndani tuwasiliane.
mkuu good observation "cuting" btwn ze line. ila kuna kitu imesahau kumgusia "umri"
Thanks dear,mume mwenyewe mzuri siwezi mkimbia aisee ntapambana mpaka mwisho wa Maisha yangu