Mume wangu anatafuta kazi

Mume wangu anatafuta kazi

Wadau wote wa JF Nliwahi kupost Uzi Hapa wa mume wangu kutokuwa na kazi na Huu ni mrejesho.Tunaendelea kuumia kadri siku zinavyoenda mbele na msaada wangu unakuwa haitoshi Kwa familia yangu.Watu wengi waliahidi kunisaidia lakini mpaka Leo nimeishia kuambulia ahadi hewa tu na uchokozi na utani mwingi kutoka Kwa wadau humu JF.Wenye nafasi tafadhali msaidieni mume wangu yani karibu tunaumbuka na ukizingatia tunaishi nyumba ya kupanga
 
We unayo kazi?Tafuteni dada na umvumilie tu maana hamchelewi kusepa nyie mkiona mambo magumu
 
STORY FUPI YENYE MAFUNZO....
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI

•••••••••••••••••••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu".
Wote wakalala chini.
HII INAITWA DHANA YA USHAWISHI - kubadilisha
njia ya kawaida ya kufikiria.
•••••••••••••••••••••

Kuna dada, kwa woga, akawa amelala chini
kimitego, jambazi akamwambia, "dada hebu kuwa na adabu, chukua kanga jifunike, hili ni tukio la ujambazi na sio la ubakaji.”
HUU UNAITWA WELEDI -
zingatia ulichofundishwa
kufanya.
••••••••••••••••••••••

Walipotoka kwenye wizi
jambazi mdogo, ambaye
anashahada ya uzamili ya
biashara, akamwambia
mwenzake, "tuzihesabu hizi fedha.” Yule mkubwa akamcheka kwa dharau na kumjibu, "wewe. mjinga sana hizo hazina haja ya kuhesabu, saa mbili
watatutangazia kwenye
taarifa ya habari tumeiba
kiasi gani.
HUU INAITWA UJUZI - Siku
hizi ujuzi ndio bora kuliko
vyeti.
•••••••••••••••••••••••

Baada ya majambazi kuondoka, meneja akamwambia mhasibu wa bank, "ujumlishie na zile milioni 80 tulizo iba sisi.”
HUKU KUNAITWA KUOGELEA NA MKONDO WA MAJI - kushabihiana na mazingira magumu kwa faida binafsi.
•••••••••••••••••••••••

Mhasibu akafurahi na kusema, "dah wizi ukitokea kila mwezi itakuwa burudani sana.”
HUKU KUNAITWA KUWA NA MAWAZO CHANYA - Furaha ndio kitu cha muhimu zaidi.
•••••••••••••••••••••••

Meneja kafurahi sana kwakuwa sasa matatizo yake yametatuliwa na wizi uliojitokeza.
HUKU KUNAITWA KUTHUBUTU - shikilia nafasi pale inapojitokeza hata kama ni hatari kiasi gani.
•••••••••••••••••••••••

Haya usiku wake taarifa ya habari ikatangaza kuwa wizi mkubwa sana wa million 100 umetokea leo benki.
Majambazi kuskia hivyo
wakaanza kuhesabu zile pesa lakini wakajikuta na milioni 20 tu. Yule jambazi mkubwa akashtuka na kusema, "dah! yaani meneja kaiba mara nne zaidi yetu bila kuchezesha msuli? Bora umeneja kuliko ujambazi.
”HII INAITWA ELIMU NDIYO KILA KITU - ishike sana elimu, ina nguvu kuliko dhahabu.

ISHIKE SANA ELIMU, MWAMINI SANA MUNGU, IKO SIKU UTAFANIKIWA.

DHIHAKA KWA BINADAMU NI KITU CHA KAWAIDA, ZISIKUKWAZE MPENDWA.

Mwalimu aliingia darasani akiwa tafrani amechoka sana akawataka w'funzi wote wakae kimya kilikuwa ni kipindi cha dini mara usingizi ukamchukuwa pale pale darasani, ghafla mkaguzi akaingia akasimama pembeni kwa yule mwalim. Mara mwalim alizinduka huku akipiga miayo alipotupa macho pembeni alimuona mkaguzi ndipo alipojibabaisha na kuwaambia w'funzi: "Na Hivi ndivyo walivyolala WANAFUNZI wa YESU, walipokua wanamsubiri kule mlimani, Jee kuna mwenye swali"? mkaguzi akapiga makofi na kumsifia kwa kufundisha kwa vitendo.

Nikutakie mafanikio mema. Mungu aendelee kukubariki na kukutia moyo. usikate tamaa.

Amina.
 
Nlivyoanza kusoma nkajua unacheza na akili za watu kadri nlivyoendelea nkagundua ni mahubiri mazuri yanafaaa sana, Ubarikiwe
 
Mama unemployment rate ni kubwa sana!

Wewe una mume ambaye ni jobless,wengine wana wazazi,wapenzi,kaka,dada,mchepuko hawana kazi.

So usidhani kama uko peke yako tu.

Halafu mwambie mumeo aje mwenyewe ajieleze hapa,why akutume wewe daily?
 
Babu Asprin umetisha. Mada: Hivi watu walikupromc kwamba mumeo watampa ajira? Mumeo amekata tamaa kabisa ya kutafuta kazi? Ana umri gani? Umemsoma vizuri Asprin hapo juu, ?
Je katika kazi 10 alizoomba ngapi anaitwa kwenye interview?
Samahani kwa maswali mengi ila naomba majibu kama unayo. Ile kazi ya facebook aliifuatilia?
 
Last edited by a moderator:
Hizo kashfa sasa mume wake nakumbuka kama alisema ana postgraduate we nani umfanye house boy wako.

Acha umbumbumbu na umbulumundu wewe! Nani kakuambia kazi ya house boy ni kashfa? We mbona unadharau kazi za wenzako? au kwakuwa ww ni manager? Hiyo postgraduate ndo inakutisha? Acha mawazo mgando watu wanalisha family zao kwa hizo kazi. Hata wabeba box wengi mtoni ni wapishi na wanaleta huge amount of money kwa familia zao
Kipi bora kukaa jobless au kuwa house boy na kupata chochote kitu? Nenda India huko na middle east uone Phd za wahindi wanavyouza magenge ya nyanya na kazi za upishi mahotelini utajua nn namaanisha
Shirikisha akili yako unapochangia mada sensitive.
 
Mama unemployment rate ni kubwa sana!

Wewe una mume ambaye ni jobless,wengine wana wazazi,wapenzi,kaka,dada,mchepuko hawana kazi.

So usidhani kama uko peke yako tu.

Halafu mwambie mumeo aje mwenyewe ajieleze hapa,why akutume wewe daily?

My dear soma hapo chini;
1.Hajanituma
2.Ni maamuzi binafsi kupost Ishu zangu Hapa my dear
3.Wewe comment na upite tu
 
Wadau wote wa JF Nliwahi kupost Uzi Hapa wa mume wangu kutokuwa na kazi na Huu ni mrejesho.Tunaendelea kuumia kadri siku zinavyoenda mbele na msaada wangu unakuwa haitoshi Kwa familia yangu.Watu wengi waliahidi kunisaidia lakini mpaka Leo nimeishia kuambulia ahadi hewa tu na uchokozi na utani mwingi kutoka Kwa wadau humu JF.Wenye nafasi tafadhali msaidieni mume wangu yani karibu tunaumbuka na ukizingatia tunaishi nyumba ya kupanga

Ni jana tu hapa nimepost kuwa mapenzi si pesa! Nashukuru dada hapa umewapa ushuuuda. Nakuombea kwa mungu shemeji apate kazi, pole kwa masikhara wanayokupa wana-JF, ndio hivo hata vidole vyetu mikononi havilingani!
 
Babu Asprin umetisha. Mada: Hivi watu walikupromc kwamba mumeo watampa ajira? Mumeo amekata tamaa kabisa ya kutafuta kazi? Ana umri gani? Umemsoma vizuri Asprin hapo juu, ?
Je katika kazi 10 alizoomba ngapi anaitwa kwenye interview?
Samahani kwa maswali mengi ila naomba majibu kama unayo. Ile kazi ya facebook aliifuatilia?

Kazi ya Facebook ilikuwa ahadi tu na alifuatilia sana ila Jamaa walisema wanaitaji Mtu ambaye a naishi Mbeya
 
Last edited by a moderator:
Acha umbumbumbu na umbulumundu wewe! Nani kakuambia kazi ya house boy ni kashfa? We mbona unadharau kazi za wenzako? au kwakuwa ww ni manager? Hiyo postgraduate ndo inakutisha? Acha mawazo mgando watu wanalisha family zao kwa hizo kazi. Hata wabeba box wengi mtoni ni wapishi na wanaleta huge amount of money kwa familia zao
Kipi bora kukaa jobless au kuwa house boy na kupata chochote kitu? Nenda India huko na middle east uone Phd za wahindi wanavyouza magenge ya nyanya na kazi za upishi mahotelini utajua nn namaanisha
Shirikisha akili yako unapochangia mada sensitive.

Mfumo wa elimu yetu, na bongo zetu zimetawaliwa na mawazo ya kusoma ili tuajiriwe. Kujiajiri wenyewe imekuwa ni kama ajira ya wasiosoma. Too bad.
 
Back
Top Bottom