Mume wangu anatafuta kazi

Kama hachagui kazi hata ya 500,000 anafanya ni pm kuna wahindi washkaji zangu wanataka mtu, sema ndo hivo kwa wahindi, 500,000 ikizidi sanaaa 600,000 na ukubali kuwa mnyonge! Kama umeridhika ni pm cv yake! Au ni pm nikupe email


Nimeitafuta hii post ,God bless you lara 1
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo mkuu sasa hivi upo pande zipi? Ilikua zamani sana hiyo tukio? Pole sana boss. Inavyoonekana, utakua mcheshi au mkarimu au unamuonekano wa kirafiki sana. Nasema hivi kwamaana, huyo mtu kuleta tu mwanae, inaelekea mkapiga story kidogo tu akakukubali. Nakuombea ufanikiwe. Pamoja boss.

npo dsm bunju, si sku nyingi sn ni mwezi wa 3 mwaka huu, mi ni mkimya sn na mpole sn, huwa ni mwepesi wa kumsaidia mtu hasa kwa jambo lililo ndani ya uweza wangu, huyo mtu alileta mtoto wake shulen bt cha kushangaza akawa hana malipo yoyote na ili aweze kupokelewa lazma awe na rist ya ada na malpo mengne,na mimi ndo nlikuwa napokea shughuri zote za kifedha huwez amini mama alisema anaomba nmkatie rist za malipo yote ili mwanae aanze masomo maana alikuwa amechelewa sn na akaniahid baada ya sku mbili ataleta pesa, kweli nlimkatia rist ya lak 7.2, ikaonesha amelpa kumbe hajalpa,sku mbli zkapta hakutokea nkamfatilia mpaka akanpa bla tatzo ukawa ndo mwanzo wa mm na yeye kuwasliana naye.
 
Back
Top Bottom