Mume wangu anatafuta kazi

MUNGU NI MWEMA, nami pia nilikaa na mke wangu mwaka mzma yeye kaajiliwa mimi sna kaz nahangaika tu,nkapata kaz shulen kama records officer, akaja mtu mmoja kaleta mwanae shulen akasema anakampun ya kukodsha magari hvyo anataka kunpa ofa nyngn na mshahara mzuri c nkakubali nkaondoka pale shulen nmefka huku acha kabsa kuna madada nlmkuta kumbe alikuwa anahamishwa ktengo hcho npewe mimi na huyo dada akawa hatak alnpga vta sn mpaka ushrikina mwisho wa sku nkaachishwa kaz, nkarud mtaan upya, MUNGU AWATETEE SANA, NAWAPENDA.
 
Duuuu aiseeee
 
Sijawahi kusoma uzi mrefu hivi mwanzo mwisho...nimesoma kila comment coz I can feel hali anayopitia mume wako...but kuna kitu kimoja sijakiona wengine waki-comment... huenda cheti anachotumia ni kikwazo, kama ana cheti cha ngazi ya chini ajaribu kukitumia hicho...then akishaingia kazini baada ya muda anaweza kuonyesha hicho kikubwa kama italazimu!! Hakuna jambo linalomshinda Mungu....Hata hilo nalo analiweza!!
 
Duh pole mkuu
 
Thanks Kwa mawazo mazuri na kututia Moyo
 
Kama hachagui kazi hata ya 500,000 anafanya ni pm kuna wahindi washkaji zangu wanataka mtu, sema ndo hivo kwa wahindi, 500,000 ikizidi sanaaa 600,000 na ukubali kuwa mnyonge! Kama umeridhika ni pm cv yake! Au ni pm nikupe email

waoooow kumbe na mimi muda wa kutembea na bahasha ukifika refariii upo eeeh naandika kwenye diary kabisaaaaa
 
aisee cio siri hali ni mbaya sana mi siku hizi kazi naziangalia tu hata siombi na nina degree yangu ya procurement
 
Kama hachagui kazi hata ya 500,000 anafanya ni pm kuna wahindi washkaji zangu wanataka mtu, sema ndo hivo kwa wahindi, 500,000 ikizidi sanaaa 600,000 na ukubali kuwa mnyonge! Kama umeridhika ni pm cv yake! Au ni pm nikupe email

Hivi kwa Tz kazi ya 500,000-600,000 ni kazi usiyo nzuri (nono)...just kwa maisha ya kawaida? Dah aisee labda mwenzetu unapokea $$ za ukwehee, mi kazi ya 600,000 naona bonge la job eti😜
 
Hivi kwa Tz kazi ya 500,000-600,000 ni kazi usiyo nzuri (nono)...just kwa maisha ya kawaida? Dah aisee labda mwenzetu unapokea $$ za ukwehee, mi kazi ya 600,000 naona bonge la job eti

Internationa standards inakuwa unalipwa $300 and below! Hahahaaaaaaaaaa! Not bad but come on! Labda uwe na marupu rupu au unakwapua kishkaji.

Ila nimeona nimtaftie ya juu kidogo since ana familia!

Mi nalipwa COMISSIONS tu mkuu, so nachopata kinategemea nachoingiza!
 
Huyu ni mfano wa wanawake strong wachache waliobakia Tanzania na nchi za maziwa makuu.
Wanawake wengi wa siku hizi wanapenda tu kusikia umepandishwa cheo, unaamia Dar kikazi, unapelekwa Ulaya masomoni na kampuni baaasi, swala la kuachishwa kazi, kutafuta kazi, haliwahusu.

:focus: Mie nawaombea tu kila lakheri.
 
MUNGU NI MWEMA, nami pia nilikaa na mke wangu mwaka mzma yeye kaajiliwa mimi sna kaz nahangaika tu,nkapata kaz shulen kama records officer, akaja mtu mmoja kaleta mwanae shulen akasema anakampun ya kukodsha magari hvyo anataka kunpa ofa nyngn na mshahara mzuri c nkakubali nkaondoka pale shulen nmefka huku acha kabsa kuna madada nlmkuta kumbe alikuwa anahamishwa ktengo hcho npewe mimi na huyo dada akawa hatak alnpga vta sn mpaka ushrikina mwisho wa sku nkaachishwa kaz, nkarud mtaan upya, MUNGU AWATETEE SANA, NAWAPENDA.

Kwahiyo mkuu sasa hivi upo pande zipi? Ilikua zamani sana hiyo tukio? Pole sana boss. Inavyoonekana, utakua mcheshi au mkarimu au unamuonekano wa kirafiki sana. Nasema hivi kwamaana, huyo mtu kuleta tu mwanae, inaelekea mkapiga story kidogo tu akakukubali. Nakuombea ufanikiwe. Pamoja boss.
 
Internationa standards inakuwa unalipwa $300 and below! Hahahaaaaaaaaaa! Not bad but come on! Labda uwe na marupu rupu au unakwapua kishkaji.

Ila nimeona nimtaftie ya juu kidogo since ana familia!

Mi nalipwa COMISSIONS tu mkuu, so nachopata kinategemea nachoingiza!

Okay sawa sawa kumbe una cha juu hapo? Mmh aisee ndio fursa zenyewe pia vyema umeconsider familia
 
Back
Top Bottom