Mfumo wa elimu yetu, na bongo zetu zimetawaliwa na mawazo ya kusoma ili tuajiriwe. Kujiajiri wenyewe imeokuwa ni kama ajira ya wasiosoma. Too bad.
Tatizo ni kwamba wanaoshauri kusome ili UJIAJIRI wao wameajiriwa! Ushauri wa KUJIAJIRI ungekuwa unatoka kwa WALIOJIAJIRI ungekuwa na mashiko (from the horse's mouth). Hii imekuwa sawa na STD VII failure aka UPE kwenda kufundisha STD VII!