Tena Biblia ndo kabisa ( mke ama mume wako ni yule aliyepiga Hodi na kuondoa Buki............... wengine wote wazini. Je mnaondika hapa ni wangapi hamkufanya kabla ya ndoa? je mliooolewa ni wangaoi waume zenu ndo waliondoa utando? je kwa wanaume milikuwa hamjaona utupu wa mwanamke yeyote kabla? et baada ya kuoa sasa mnatulia!!!!
mie nakushauri binti mweleza huyo jamaa kuwa unahitaji ndoa sasa!! full stop akikueleza kuwa namuacha mke wake hafai!!!! maana atakuacha kwa mwingien as well. mpe black and white. shida misaada unayondelea kupata!! na ushauri unaoomba!! KATA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Habari ndugu zangu,
Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,
Amekuwa akinisaidia sana katika maendeleo yangu mume wa mtu huyu ndie mshauri wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwezi kufika naye mbali tayari yeye ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yangu tutaishi maisha haya mpaka lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpaka leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpaka lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye.
Wala sitetei my dear ila najaribu kuonesha tu kuwa haya mambo sio simple sana sababu yashaleta madhara tayari sababu kuna watu wanawekeza mioyo,roho,figo ,mawazo,hisia na kila kitu ujue!!!!!
Mi naamini kqbisa huyo jamaa alikuwa anajua kuna siku ataambiwa tu kuwa bi dada anataka kuolewa so ni yeye kujipanga na kueleza hoja na kuzisimamia!!
Muite masai dada akupe kisa yake hapa!!!!
Yanakuwa tight sababu wengi wanakuwa ni kama asylum seekers!!!!!Hatari sana! Ila hayo mapenzi ya Nyumba ndogo huwa ni mazito kuliko ya nyumba kubwa sijui kwa nini! ingetokea akakuoa atabadilika kabisaa
mwambie akuoe,nijuavyo mm ukiristo hauna maandishi/neno/aya ya kuzuia wakristo wacoe mke zaidi ya mmoja.
Unamfanyia vituko mtu uliyetuambia hapa hapa kuwa anakusaidia, anakushauri na mengine mengi mengi mengi!!!!!!!!!!!!!!!!!!Ama kweli fadhili mfadhili Mbuzi binadamu.......we acha tu. Back to the topic..... kama kweli unafikiri kuwa unataka kuwa huru uendelee na maisha yako fanya hivi. Mtoe out mtu wako, sehemu tulivu na siyo kwenye mafuriko ya Dar kama uko huko. Siku hiyo gharama zote kwako. Mle, mnywe na ikiwezekana mjirushe kwa roho zenu. Mwisho wa siku mweleze jinsi unavyompenda. Mkumbushe jinsi alivyokuwa msaada kwako kwa muda wote huo. Mkumbushe mlivyoanza mahusiano yenu, magumu na marahisi mliyoyapitia mpaka hapo mlipofika. Mwambie unavyojua kuwa anakupenda na mwambie kuna mambo huku nyuma ulimfanyia lkn hayakuwa ya kiungwana na in advance mwombe msamaha akusamehe. Then mwambie lengo mahsusi la ww kumtoa out ni kama ifuatavyo; Muite jina lake halisi na siyo lile jina ulilozoea kumuita. Kama ni Chacha kama jina langu basi muite..... hivi wanaume kama nyinyi bado mpo duniani!?!
Mmmmmmmm yaani leo nimepata kitu kipya kabisa!
Hata me naona anatafuta excuse ya kuendelea kuwa na huyo mwanaume, hakuna kitu kinaitwa kushindwa kumuacha mtu tena mtu mwenyewe mume wa mtu, usitudanganye bwana
Nowadays mume wa mtu anaweza kuwa bora kuliko huyo single, uzuri wanawake wengi wanaelewa tabia za wanaume trust me hakuna mwanaume ambaye hana mchepuko suala ni kujua, wewe zaa naye kabisa ili akujengee nyumba na akununuliye na gari.Habari ndugu zangu,
Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,
Amekuwa akinisaidia sana katika maendeleo yangu mume wa mtu huyu ndie mshauri wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwezi kufika naye mbali tayari yeye ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yangu tutaishi maisha haya mpaka lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpaka leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpaka lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye.
We tulia tuu kama umeshindwa kumuacha tindikali itakuusu tutaona kama hutamuacha!!
angeniua yule mwanaume, sijawahi kuona mwanaume wa ajabu kama yule. Alifanya nini sijui kwa tigo akawa anasikia simu zangu zote.Hatari sana! Ila hayo mapenzi ya Nyumba ndogo huwa ni mazito kuliko ya nyumba kubwa sijui kwa nini! ingetokea akakuoa atabadilika kabisaa
Najua siyo vyema kula tonge la mtu nimelijua hilo ndio maana nilijitahid kumuacha siyo vyema kabisa Lakin mwanaume ndio mgumu kuniacha nafanya vituko Vingi ili nimuuzi anichoke aondoke kwangu ndio nimeshindwa nikaja kwenu mnishauri