King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
SIJUI BABANGU, ILA MIE HUWA NAONA KAMA NI MYTH TU, HAINA TOFAUTI NA KUAMINI UKINYWA BAMIA ZILIZOKUWA BLENDED (NATAKA KUTAPIKA HATA NIKIWAZA HII) UTAPONA ULCRES.
Sijafanya utafiti wa kisayansi kuhusu hili, na mie nimekula nyanya chungu toka mtoto na sijui kama zina mchango kwenye hili ama la kwa sababu nadhani hii issue ni genetical zaidi. umenipa challenge, ngoja nikasome (baadae nikiwa stuli ndefu)