Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

Ha ha ha ha, rain coat muhimu.

Katika uchorongaji wa miamba, kuna kitu kinaitwa 'dewatering', lazima uwe na hizi technics, vinginevyo huwezi kuchoronga.

Ha ha haaaa dada sina miee.............you mean money maker mechanical water pump for irrigation purposes!!!!!!!!! Will have to take a rain coat with me!!!!!!!!
 
Mi nakuelewa, jamani kuna wanaume ving'ang'anizi balaa....... Utakuta mume wa mtu anakufuatilia unamtolea nje kistaarabu hadi unaamua kumtusi bado sembuse huyu ambaye ulishamkaribisha na kumhakikishia Kuwa unampenda. Chukua maamuzi magumu, muache, kata mawasiliano, hama mtaa Kama huwezimpiga marufuku Kwako.
 
Mh..hii mpya mimi niliambiwa na doctor ukila nyanya chungu baridi zinaongeza maziwa kama unanyonyesha sasa hii ya leo kali.sijui lakini wacha wengine waseme.

embu kula afu tuone kama itakuwa hivyuo we si umeolewa ... fanya basi practical uje uniadithie
 
kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe !

Kumbuka machozi ya mwanamke ni mabaya!Anahujua husiano wenu upo lakin anasaga goti kwa maombi kwa Mungu wake. Utapata adhabu kama kufiwa na mume wako mapema,kuwa na watoto tahaira,au kukosa kabisa watoto,vifo vyao vya mapema,utapata majanga yatayo tafuna furaha ya maisha yako!

Jamani ya kweli haya.....! Mbona hawa watu hatari sana
 
Kama unataka akuache si upunguze utamu ? Hamu haiishi utamu
 
mwambie umepata mchumba na ameshajitambulisha kwenu,muombe akupe nafasi kidogo la kuenjoy penzi jipya, lazima aelewe kwani wewe na yeye hakuna future hapo, mweleze kabisa hatuna future nataka kuwa na familia,huwezi kunioa na mimi nataka kuolewa, atanuna lakini ni kama ni muungwana ataelewa tu.
 
huyo mzuri maana mkewe hajui , we endelea, zaa , maisha yasonge
 
Habari ndugu zangu,

Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,

Amekuwa akinisaidia sana katika maendeleo yangu mume wa mtu huyu ndie mshauri wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwezi kufika naye mbali tayari yeye ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yangu tutaishi maisha haya mpaka lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpaka leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpaka lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye.
Mbona naona kama jamaa ndiye anayekutumikia? Wewe ndiye mwenye ufunguo wa kumweka huru huyo mtumwa wako wa hiari.
 
Ha ha ha ha, rain coat muhimu. Katika uchorongaji wa miamba, kuna kitu kinaitwa 'dewatering', lazima uwe na hizi technics, vinginevyo huwezi kuchoronga.
Weweee mwehu kabisaaaaa haya ntaenda na absorbent au kitu cha suction pump!!!!!!
 
Wewe kwanza unajua unachofanya ni unyama kwa mwanamke mwenzio, put yourself in her shoes, ungependa mumeo achepuke. Achana na mume wa mtu kuanzia leo, tafuta wa kwako, mbona single tuko wengi hutuoni?

Mkuu wewe huwezi kutoa mpunga wa kutosha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vimada wengi wana watu wengine, ninapoishi kuna sista amezaa na mume wa mtu. Ila anakitembeza kwa jamaa kama wawili hivi. Still, hawara yake anamtimizia kila anachotaka.

Wanawake waone kama walivyo, wengine ni nyoka aisee..
Ni kweli kabisa mkuu..alafu angalia alivyoandika as if she is very inocent
 
Ndio muwe mnachunguza kabla ya kuoa...wengi mkute mnaoa ma divorcee huku mnajitapa kuoa vigoli...chezea wadada wa mujini....kupenda maisha ya juu wakati hawana hata kazi ya maana!

Ila tunakokwenda rate ya divorce itakuwa juu sana...maana ni wanawake wachache wenye moyo wa kuvumilia upuuzi hasa wakiwa financially stable...divorce re-marry yatakuwa ndio maisha....

.... six yrs kimada!!!!
hivi na wewe ukitaka kuolewa utatolewa mahari eeeh... damn it!!
 
Back
Top Bottom